Mpira wa Miguu ni Mchezo wenye Maajabu yake Young Africans inayopewa nafasi Kubwa kwenda Makundi Huenda akurumushwa, na Simba isiyopewa nafasi ikafuzu

Mpira wa Miguu ni Mchezo wenye Maajabu yake Young Africans inayopewa nafasi Kubwa kwenda Makundi Huenda akurumushwa, na Simba isiyopewa nafasi ikafuzu

Simba ikimfunga Al Ahly Dar es Salaam au kumtoa kabisa je mtakuja na kisingizio gani?mtasema Al Ahly mbovu?

Mleta mada kashasema mpira una matokeo ya ajabu
 
Simba haipewi matumaini ya kuingia makundi kuliko Yanga? Umeanza lini fatilia hizi games bwana mdogo?
 
Mimi ni Simba lia lia ila kwa Al Ahly maji ya shingo labda kama unataka tufarijiane
mpira una matokeo ya ajabu sana. sio mbali sana wydad casablanca walianza kulia kwenye uwanja wao wa mohamed wa v

kwqhiyo usiidharau simba hata kidogo
 
Yanga imewekeza sana ndani ya hii miaka 3 iliyopita. Hivyo ni wakati wao sasa wa kuvuna kile walicho/wanachopanda. Wafike, wasifike! Mashabiki bado tutaendelea kuiunga mkono timu yetu.
Hiyo kauli mbona kama imekaa kujihamihami vile?
 
mpira una matokeo ya ajabu sana. sio mbali sana wydad casablanca walianza kulia kwenye uwanja wao wa mohamed wa v

kwqhiyo usiidharau simba hata kidogo
No easy task kwenye football ila ukifika mda quality ina amua ndio kilicho tokea kwenye mechi yetu na Wydad
 
No easy task kwenye football ila ukifika mda quality ina amua ndio kilicho tokea kwenye mechi yetu na Wydad
saudi arabia vs Argentina nayo quality iliamua sio??
 
Back
Top Bottom