Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Acha kujipa moyo Kijana wa Rage. Mpira wa miguu ni uwekezaji. Yanga imewekeza sana ndani ya hii miaka 3 iliyopita. Hivyo ni wakati wao sasa wa kuvuna kile walicho/wanachopanda.Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana.
Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi kuliko watu wanavyoipa Simba mtani wetu.
Kwenye mpira kuna mambo mengi sana ni vema tutunze akiba ya maneno, tuipe support timu yetu ishinde kuliko kuwabeza wapinzani wetu.
Wafike, wasifike! Mashabiki bado tutaendelea kuiunga mkono timu yetu.