Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Yanga hajawahi kumfunga El Merreikh.We jamaa hivi una akili timamu kweli..? Yanga hii ndio yakuo dolewa na Al Merrick..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga hajawahi kumfunga El Merreikh.We jamaa hivi una akili timamu kweli..? Yanga hii ndio yakuo dolewa na Al Merrick..!!!
Kama hujui bora ukae kimya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe nawe upo dunia ya wapi? Ukiangalia katika mizani kati ya hawa wapinzani, Yanga kapata mpinzani mgumu kuliko Simba. Al Merrikh ni timu yenye uzoefu na michuano ya CAF, ni timu ambayo inachuana na Al hilal kwa misuli ya pesa na kwao kucheza makundi kwao ni swala la kawaida tofauti na ilivyo kwa Power dynamos ambayo wanaonekana ni timu dhaifu sana. Simba kutofuzu ndio itakuwa habari ya kushangaza kwa wadau wa soka. Asilimia kubwa ya mashabiki wanaamini kwa asilimia 92 Simba kafuzu huku yanga akiwa na 50 kwa 50 kwasababu wa Sudan ni timu iliyokomaa kiufundi na mbinu kwenye michuano ya CAF.
Ndo point yangu ilipo, kuna kauepepo flan hivi sasa hivi timu zetu hazipewi opponents wagumu kama ilivyokua zamaniKisport Zaidi
Yanga wasipofuzu mwaka huu basi itabidi wasubiri tena miaka 10 ijayo
Power Dynamo Hana uwezo wa kumzuia Simba on the paper ,labda maajabu ya mpira yatokee kama vile ilivyokua Kwa Saudi vs Argentina
Na vipi kuhusu ndugu zao Raja Casablanca!! Yaani wale ambao mlisababisha mpaka basi la wachezaji kurudi kinyume nyume kwa umbali mrefu! Unayakumbuka matokeo yake?Sa mbona muda mchafu wa kubishana hapa unaupata?
Kama unataka kubishana kwa lengo la kuonesha Simba inafungwa hovyo unatakiwa uwe mfuatiliaji wa mechi na uwe na kumbukumbu.
Ili mtu akisoma hata kama hatoweza kubaliana na perception yako ila at least utakuwa umeweka data sahihi.
Sasa wewe unasisitiza kabisa unasema Wydad alitufunga nje ndani, wakati mechi ya mwisho iliamuliwa kwa penalti.
Kama alikuwa ametufunga nje ndani tuliendaje matuta?
Wydad tulimfunga moja nayeye kule akatufunga moja, tukaingia matuta akatutoa.
Hiyo nje ndani umeitolea wapi??
Bila shaka wewe ni MuhaTimu zote zinazoshiriki mashindano ya African Football League ni level nyingine
Sisi ndio tutamuonesha Madrid alichotakiwa kufanya ili kukata ngebe kusiwepo na midomo midomo kwa mashabiki wa Percy.
Tutawaonesha kwanini Al Ahly wamerudia makosa yale waliyofanya Yanga kwa Bigirimana.
Tutaioneshea Dunia namna isivyo rahisi kucheza na Simba kwenye dimba la Mkapa.
Mbele ya raisi wa FIFA tutaonesha ukubwa wetu tena.
Raja walitufunga nje ndani ila hawakuwa tishio kuliko Wydad ambao wengi waliitazamia kuiona ikitufunga magoli mengi.Na vipi kuhusu ndugu zao Raja Casablanca!! Yaani wale ambao mlisababisha mpaka basi la wachezaji kurudi kinyume nyume kwa umbali mrefu! Unayakumbuka matokeo yake?
CAF champions League hakuna timu dhaifuKama hujui bora ukae kimya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Si uongo kwamba El Merrikh ni timu kubwa ila kwasasa haina tofauti na Mbuni FC kiuwezo uwanjani na sio hao tu hata wenzao Al Hillal nao wapo hoi taabani...na sababu zilizopelekea hali hiyo ni athari za VITA huko kwao na kupelekea wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kukimbia nchi na kubaki na wachezaji duni...
Kwa hapa yanga kapata mteremko tu.....
Huwezi fananisha POWER DYNAMO na timu yoyote ya SUDAN kwa sasa kama una AKILI TIMAMU
Sometimes napata shida kuelewa una akili timamu au zime ruka yaani Simba hii ambayo tangu iumbwe ime stuck robo fainali CAF iifundishe Real Madrid? acha niende kwa nikanywe beer nahangaika na mgojwa wa akili hapaFinally umerudi kwenye asili yako.
Utabiri
Nani huyo ambaye haipi nafasi Simba kwenda makundi? Hao power dynamo wako Hoi bin taabani labda Simba wawadharau lakini watashinda mapema tu... Yanga kutolewa na Al Merrikh inawezekana Ila possiblity ni 1.4 % kulingana na Hali halisi ilivo [emoji16]Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana.
Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi kuliko watu wanavyoipa Simba mtani wetu.
Kwenye mpira kuna mambo mengi sana ni vema tutunze akiba ya maneno, tuipe support timu yetu ishinde kuliko kuwabeza wapinzani wetu.
Kwani somo nalotoa kwa Madrid ni la kuvuka robo au la kumzuia huyo mchezaji wako unayempigia promo kisa aliifunga Madrid?Sometimes napata shida kuelewa una akili timamu au zime ruka yaani Simba hii ambayo tangu iumbwe ime stuck robo fainali CAF iifundishe Real Madrid? acha niende kwa nikanywe beer nahangaika na mgojwa wa akili hapa
Hili jambo mnapenda kulisema pasipokuwa na ushahidi nalo, haya.njoo na list ya wachezaji waliokimbia hapa. Nitajie wachezaji gani muhimu waliokimbia timu.Kama hujui bora ukae kimya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Si uongo kwamba El Merrikh ni timu kubwa ila kwasasa haina tofauti na Mbuni FC kiuwezo uwanjani na sio hao tu hata wenzao Al Hillal nao wapo hoi taabani...na sababu zilizopelekea hali hiyo ni athari za VITA huko kwao na kupelekea wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kukimbia nchi na kubaki na wachezaji duni...
Kwa hapa yanga kapata mteremko tu.....
Huwezi fananisha POWER DYNAMO na timu yoyote ya SUDAN kwa sasa kama una AKILI TIMAMU
Sema tu kuwa mpira wetu umekua kwa sasa,hutapungukiwa kitu usizunguke sana....Ndo point yangu ilipo, kuna kauepepo flan hivi sasa hivi timu zetu hazipewi opponents wagumu kama ilivyokua zamani
Sasa hivi tunapangiwa timu ambazo tunazimudu kabsa tena nyingi kutoka ukanda wetu wa CECAFA wakienda mbali zaidi wataenda labda COSAFA huko ama central Africa ambao kwa sasa tunalingana nao misuli.
Ni kweli ila dharula zipo,na ndio hii iliyoikumba timu za sudanCAF champions League hakuna timu dhaifu
Tatizo umeathirika na magroup ya WhatsApp ya yanga.Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana.
Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi kuliko watu wanavyoipa Simba mtani wetu.
Kwenye mpira kuna mambo mengi sana ni vema tutunze akiba ya maneno, tuipe support timu yetu ishinde kuliko kuwabeza wapinzani wetu.
Mbona umepaniki sasa,twende taratibu bossHili jambo mnapenda kulisema pasipokuwa na ushahidi nalo, haya.njoo na list ya wachezaji waliokimbia hapa. Nitajie wachezaji gani muhimu waliokimbia timu.
Unaandika kama unakalia Kigogo kwa nyumaMpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana.
Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi kuliko watu wanavyoipa Simba mtani wetu.
Kwenye mpira kuna mambo mengi sana ni vema tutunze akiba ya maneno, tuipe support timu yetu ishinde kuliko kuwabeza wapinzani wetu.
Ubora wa Kikosi cha Merreikh msimu huu sio mzuri ikilinganishwa na Ubora wa Yanga kwani wachezaji wengi wazuri wa timu hiyo wameondoka kutokana kutokana na hali ya amani kuwa mbaya nchini humo.Hili jambo mnapenda kulisema pasipokuwa na ushahidi nalo, haya.njoo na list ya wachezaji waliokimbia hapa. Nitajie wachezaji gani muhimu waliokimbia timu.
Tuanzie hoja moja baada ya moja, Unasema ubora wa Al Merrikh umepungua sababu wachezaji wengi wazuri wameondoka. Je ni wachezaji wapi hao wazuri waliondoka?Ubora wa Kikosi cha Merreikh msimu huu sio mzuri ikilinganishwa na Ubora wa Yanga kwani wachezaji wengi wazuri wa timu hiyo wameondoka kutokana kutokana na hali ya amani kuwa mbaya nchini humo.
“Quality ya wachezaji waliopo ndani ya kikosi cha Al-Merrikh kidogo imepungua, kwa sababu wale wachezaji wake wengi nyota waliweza kuvunja mikataba na hiyo timu kutokana na machafuko yanayoendelea nchini Sudan.
“Sio tu wachezaji, bali benchi la ufundi pia, pamoja hata na rais wa timu ya Al-Merrikh aliweza kuondoka nchini Sudan akaenda kuishi uhamishoni nchini Morocco,” .