Al Ahly ya Kongwa?Nani huyo ambaye haipi nafasi kubwa Simba kufika makundi?
Simba kwenye kufika makundi hatuna wasiwasi hata kidogo hususani na mpinzani wetu tayari ana tiketi yetu.
Sisi tunafikiria nusu fainali ya AFL baada ya kumpiga Al Ahly tutakutana na Mamelody au mwenzake??
Kawaulize waliopanga draw ya AFLAl Ahly ya Kongwa?
Inawauma nyie vibonde wa utopolo nyie ni WA mchangani tuAl Ahly ya Kongwa?
Mimi ni Simba lia lia ila kwa Al Ahly maji ya shingo labda kama unataka tufarijianeInawauma nyie vibonde wa utopolo nyie ni WA mchangani tu
Percy Tau akabwe na Zimbwe? kua na adabuKawaulize waliopanga draw ya AFL
Al Sahaf wa JF.😀😀Nani huyo ambaye haipi nafasi kubwa Simba kufika makundi?
Simba kwenye kufika makundi hatuna wasiwasi hata kidogo hususani na mpinzani wetu tayari ana tiketi yetu.
Sisi tunafikiria nusu fainali ya AFL baada ya kumpiga Al Ahly tutakutana na Mamelody au mwenzake??
Wewe nawe upo dunia ya wapi? Ukiangalia katika mizani kati ya hawa wapinzani, Yanga kapata mpinzani mgumu kuliko Simba. Al Merrikh ni timu yenye uzoefu na michuano ya CAF, ni timu ambayo inachuana na Al hilal kwa misuli ya pesa na kwao kucheza makundi kwao ni swala la kawaida tofauti na ilivyo kwa Power dynamos ambayo wanaonekana ni timu dhaifu sana. Simba kutofuzu ndio itakuwa habari ya kushangaza kwa wadau wa soka. Asilimia kubwa ya mashabiki wanaamini kwa asilimia 92 Simba kafuzu huku yanga akiwa na 50 kwa 50 kwasababu wa Sudan ni timu iliyokomaa kiufundi na mbinu kwenye michuano ya CAF.Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana.
Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi kuliko watu wanavyoipa Simba mtani wetu.
Kwenye mpira kuna mambo mengi sana ni vema tutunze akiba ya maneno, tuipe support timu yetu ishinde kuliko kuwabeza wapinzani wetu.
Kwani huyo Percy ye anachezea melini?Percy Tau akabwe na Zimbwe? kua na adabu
Viti maalumuInawauma nyie vibonde wa utopolo nyie ni WA mchangani tu
Hamsa ndani njeKwani huyo Percy ye anachezea melini?
Ana maajabu gani au ananyolea panga?
Mtampotea siku hiyo
Kasha cheza UEFA champions League, kaifunga Real Madrid ikiwaena Ramos na Marcelo golini yupo kipa wa Dunia CothourKwani huyo Percy ye anachezea melini?
Ana maajabu gani au ananyolea panga?
Mtampotea siku hiyo
Mlisema hivyo hivyo wakati tumepangwa na WydadHamsa ndani nje
Hata Bigirimana alishawahi cheza New CastleKasha cheza UEFA champions League, kaifunga Real Madrid ikiwaena Ramos na Marcelo golini yupo kipa wa Dunia Cothour
Akili Yako imejaa togwa mix na k vant ya buku Simba ni kibonde wa Utopolo?Inawauma nyie vibonde wa utopolo nyie ni WA mchangani tu
Unabisha ili uonekane unabisha au una fact?Hata Bigirimana alishawahi cheza New Castle
We don't dwell in past
HahahahahaAl Sahaf wa JF.😀😀