Mpira wa Miguu ni Mchezo wenye Maajabu yake Young Africans inayopewa nafasi Kubwa kwenda Makundi Huenda akurumushwa, na Simba isiyopewa nafasi ikafuzu

Acha kujipa moyo Kijana wa Rage. Mpira wa miguu ni uwekezaji. Yanga imewekeza sana ndani ya hii miaka 3 iliyopita. Hivyo ni wakati wao sasa wa kuvuna kile walicho/wanachopanda.

Wafike, wasifike! Mashabiki bado tutaendelea kuiunga mkono timu yetu.
 
Unabisha ili uonekane unabisha au una fact?
Kwani nabisha nini?

Mchezaji kuifunga Madrid haina maana kila timu akicheza nayo lazima afunge.

Wala haina maana timu yake haiwezi kufungwa kisa tu aliifunga Madrid.

Amecheza tarehe 3 na Al Masry kwa dakika 120 lakini alikuwa ana on target moja, hakuna goli hakuna assist.

Kwanini rekodi yake ya kuifunga Madrid haikumsaidia kuifunga Al Masry?

Sijaona sababu ya kum praise high
 
Nje ndani kwenye mashindano gani?

Taja na mwaka
Kwani msimu uliopita si mlipasuliwa nje ndani na Raja Casablanca, pamoja na ndugu zao wa Wydad Casablanca!! Au kichwa kimeshapoteza network!!
 
“Naomba mkalitazame na hili”
 
Kwani msimu uliopita si mlipasuliwa nje ndani na Raja Casablanca, pamoja na ndugu zao wa Wydad Casablanca!! Au kichwa kimeshapoteza network!!
Wydad alitufunga nje ndani?
 
Wydad alitufunga nje ndani?
Aliwafunga wapi? Nje, au ndani? Weka kumbukumbu sasa! Au unafikiri nina muda mchafu wa kukumbuka kama mlipigwa nje ndani, au la!!
 
Aliwafunga wapi? Nje, au ndani? Weka kumbukumbu sasa! Au unafikiri nina muda mchafu wa kukumbuka kama mlipigwa nje ndani, au la!!
Sa mbona muda mchafu wa kubishana hapa unaupata?

Kama unataka kubishana kwa lengo la kuonesha Simba inafungwa hovyo unatakiwa uwe mfuatiliaji wa mechi na uwe na kumbukumbu.

Ili mtu akisoma hata kama hatoweza kubaliana na perception yako ila at least utakuwa umeweka data sahihi.

Sasa wewe unasisitiza kabisa unasema Wydad alitufunga nje ndani, wakati mechi ya mwisho iliamuliwa kwa penalti.

Kama alikuwa ametufunga nje ndani tuliendaje matuta?

Wydad tulimfunga moja nayeye kule akatufunga moja, tukaingia matuta akatutoa.

Hiyo nje ndani umeitolea wapi??
 
Simba na Yanga wote watakwenda group stage, sioni changamoto yoyote kutoka kwa timu watakazokutana nazo kwenye hii hatua ya mwisho ya mtoano... otherwise ni uzembe wao ndo utawazuia wasipite
 
Acha kujipa moyo Kijana wa Rage. Mpira wa miguu ni uwekezaji. Yanga imewekeza sana ndani ya hii miaka 3 iliyopita. Hivyo ni wakati wao sasa wa kuvuna kile walicho/wanachopanda.

Wafike, wasifike! Mashabiki bado tutaendelea kuiunga mkono timu yetu.
Mkuu nitake Radhi mimi sio Kolo
 
Simba na Yanga wote watakwenda group stage, sioni changamoto yoyote kutoka kwa timu watakazokutana nazo kwenye hii hatua ya mwisho ya mtoano... otherwise ni uzembe wao ndo utawazuia wasipite
Kisport Zaidi
Yanga wasipofuzu mwaka huu basi itabidi wasubiri tena miaka 10 ijayo
Power Dynamo Hana uwezo wa kumzuia Simba on the paper ,labda maajabu ya mpira yatokee kama vile ilivyokua Kwa Saudi vs Argentina
 
Unapenda kujifariji mimi pamoja na usimba wangu nakili Al Ahly ni level nyingine tunaweza kushinda home ila kuwatoa ni ngumu sana
ni sawa na power dynamo kuwatoa Simba
 
Kisport Zaidi
Yanga wasipofuzu mwaka huu basi itabidi wasubiri tena miaka 10 ijayo
Power Dynamo Hana uwezo wa kumzuia Simba on the paper ,labda maajabu ya mpira yatokee kama vile ilivyokua Kwa Saudi vs Argentina
Ud Songo na Jwaneng walikuwa na huo uwezo on paper ?
 
We jamaa hivi una akili timamu kweli..? Yanga hii ndio yakuo dolewa na Al Merrick..!!!
 
Unapenda kujifariji mimi pamoja na usimba wangu nakili Al Ahly ni level nyingine tunaweza kushinda home ila kuwatoa ni ngumu sana
Timu zote zinazoshiriki mashindano ya African Football League ni level nyingine

Sisi ndio tutamuonesha Madrid alichotakiwa kufanya ili kukata ngebe kusiwepo na midomo midomo kwa mashabiki wa Percy.

Tutawaonesha kwanini Al Ahly wamerudia makosa yale waliyofanya Yanga kwa Bigirimana.

Tutaioneshea Dunia namna isivyo rahisi kucheza na Simba kwenye dimba la Mkapa.

Mbele ya raisi wa FIFA tutaonesha ukubwa wetu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…