Mpira wa Miguu ni Mchezo wenye Maajabu yake Young Africans inayopewa nafasi Kubwa kwenda Makundi Huenda akurumushwa, na Simba isiyopewa nafasi ikafuzu

Simba ikimfunga Al Ahly Dar es Salaam au kumtoa kabisa je mtakuja na kisingizio gani?mtasema Al Ahly mbovu?

Mleta mada kashasema mpira una matokeo ya ajabu
 
Simba haipewi matumaini ya kuingia makundi kuliko Yanga? Umeanza lini fatilia hizi games bwana mdogo?
 
Percy Tau akabwe na Zimbwe? kua na adabu
Labda Al Ahly aingize timu ya kawaida tu lakini akija hapa kutafuta matokeo, Simba mbona hata 5 anachukua Taifa.
 
Mimi ni Simba lia lia ila kwa Al Ahly maji ya shingo labda kama unataka tufarijiane
mpira una matokeo ya ajabu sana. sio mbali sana wydad casablanca walianza kulia kwenye uwanja wao wa mohamed wa v

kwqhiyo usiidharau simba hata kidogo
 
Yanga imewekeza sana ndani ya hii miaka 3 iliyopita. Hivyo ni wakati wao sasa wa kuvuna kile walicho/wanachopanda. Wafike, wasifike! Mashabiki bado tutaendelea kuiunga mkono timu yetu.
Hiyo kauli mbona kama imekaa kujihamihami vile?
 
mpira una matokeo ya ajabu sana. sio mbali sana wydad casablanca walianza kulia kwenye uwanja wao wa mohamed wa v

kwqhiyo usiidharau simba hata kidogo
No easy task kwenye football ila ukifika mda quality ina amua ndio kilicho tokea kwenye mechi yetu na Wydad
 
No easy task kwenye football ila ukifika mda quality ina amua ndio kilicho tokea kwenye mechi yetu na Wydad
saudi arabia vs Argentina nayo quality iliamua sio??
 
Percy Tau akabwe na Zimbwe? kua na adabu
Acheni woga . Mpira unadunda lolote laweza tokea huyo Aly Ahly akafuruhushwa na mkabaki vinywa wazi na kuanza kuweka visingizio vingine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…