Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

ni kama dunia imeendelea kupoteza ladha yake. AI (Artificial Intelligence) inasababisha kila kitu kiende ki-roboti, roboti.

angalia mtu kama Haland kuna nini mule sasa!
Kuna kufunga kwani DROGBA alikuwa anajua chenga au PETER CROUCH?
 
YouTube ata jobe wa Simba ni hatari sana
 
Hahaha... ukimuuliza kama aliangalia fainali ya Liverpool na AC Milan UCL, kwa Liverpool iliyoitwa Liverpool kweli atajidai alikuwepo kabisa uwanjani...kumbe alikuwa tumboni bado

Utoto unamsumbua huyu 🤣🤣🤣
 
Hii mada haihusiani na mpira ila umeileta kwenye mpira ukiona mwanaume anaongelea sana hayo mambo ujue Kuna tatizo mahali huwezi kukuta mwanaume wa kweli anatajataja hayo mambo
Eeeeh naona Shoga umejitokeza baada ya mimi kuonyesha kukerwa na ufirauni wenu siyo? Ndo maana nimesikia harufu ya mavi, kumbe ni wewe umekuja kwenye comment yangu?
 
Mkuu unapoteza muda tu kubishana na hao jamaa kizazi cha takwimu hawaelewi

Kikubwa umeelewa hao wajinga waache
Sasa tusifuate takwimu labda kumpiga kichwa materazi ndiyo kipaji namba hazidanganyi na individual achievement pia
 
Sema Barcelona Bora iliwika miaka hiyo hiyo 2008-14 hapo ndo tuliona pass zinavopigwa hatati sana
 
Kipaji na mafanikio kamzidi
Cha kwanza kwangu Mimi hapana.
Kuhusu mafanikio hiyo ni debatable. Kama ni mafanikio ya pesa ni jinsi unavyo bargain mikataba na nguvu ya ushawishi ya management yako kukupandisha hadhi. Mane alikuwa anakula pesa ndogo kuliko bench warmers wengi pale Liverpool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…