Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

Mwalimu yyte ili uwe competent
Lazima usome , nakwambia ivi lazima usome tena mara kwa mara .labda ualimu wa government huko ambako nobody cares unachofundisha darasani lakini private you must read. Hamna cha sijui mwalimu failure wala nn, hata vyuo vikuu maprofessa wanasoma constantly.jidanganye!
Kusoma in details is for your personal gain, mwanafunzi kwa level yake anahitaji kujua vitu basic ambavyo vipo ndani ya silabasi yake na huhitaji msuli mkubwa kumwelewesha kwa sababu you have much more details kuliko anachohitaji mwanafunzi.
 
Habari za asubuhi ndugu zanguni,

Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.

Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na kunidrain energy yote na morale ya kufanya kazi.

Kwanza nimegundua hii kazi inakugeuza kuwa mwanafunzi kabisa maana unahitaji kusoma mara kwa mara ili uweze kuwa competent katika kufundisha. Sasa hiii ya kusoma mara kwa mara inadrain energy vibaya mno maana kichwa kinahitaji pia kufikiria na mambo mengine ya kimaisha.

Mbaya zaidi vitu tunavyofundisha ni ma theory tu kwahiyo unabaki tu kumeza mavitu ili ukayateme darasani lakini haudevelop practical skill yoyote na ukiacha kusoma yanapotea unless uwe umefundisha miaka mingi sana ndo material yanastick kichwani.

Pili, Ratiba hasa katika private schools iko so tight, unakuwa na ma vipindi kibao mpaka usiku sometimes. Siku nzima unafanya kazi ya kupiga kelele darasani.

Tatu, kazi ya kukimbizana na wanafunzi, tena hawa ma teenagers ni kazi ngumu sana.

Sijui kama ma teacher wenzangu mmenotice hii kitu kama mimi, Mpwayungu alishaliona hili zamanii sana na kulisemea.
Pole sana mkuu, bado pia utapigwa na kitu kizito kichwani siku ambayo utakuja kustaafu kutokana na kikokotoo "kausha damu".
 
Mmh 750,000/= kweli?? Hivi kwa mshahara huo huyu mwalimu atakaa ajenge kweli? Au tuseme atafanya kazi miaka mingapi aje angalau kununua gari ya milioni 15? [emoji17][emoji17]
Hapo lazima ataingia CCM, na kuwa diwani au MP au post nyingine za kuteuliwa na kupiga fedha za wananchi kama hana akili nzuri!
 
Kusoma in details is for your personal gain, mwanafunzi kwa level yake anahitaji kujua vitu basic ambavyo vipo ndani ya silabasi yake na huhitaji msuli mkubwa kumwelewesha kwa sababu you have much more details kuliko anachohitaji mwanafunzi.
Huyo ni mvivu wa kusoma tu. Inawezekana yeye ndio shida!
 
Umevuka mipaka mkuu. Sasa ishauri Serikali wafute hii kazi isiwepo kabisa maana imelaaniwa kama unavyodai. Mnapenda kuidharau hii kazi na kuwatukana waalimu wakati watoto wenu mnawepeleka huko huko shuleni kwa waalimu.
Ni formality tu ila dunia ya leo mtoto anasoma hata kupitia computer na anasoma practical zaidi kuliko huko darasani kwenye kumezeshwa mataputapu yasiyo na tija katika ulimwengu wa leo.
 
Ualimu is a cursed job accept it or not, it is. Mimi pia ni teacher nimeona kwa macho yangu.
Ualim os not a cursed job shida waali
mu hatujui thamani yetu na we dont put a price tag on ourselves,as a result tunaacha mtu mwingine aweke thamani kwetu......kutana na mwalimu anajua thamani yake ukweli atalipwa kulingana na thamani yake.
Nature has its own rewarding system
TAFUTA MWALIMU AMBAE KWELI NI MWALIMU ANAEIJUA THAMANI YAKE THEN UTANIAMBIA
Hata Afya na maisha marefu ni moja ya reward waalimj wamepewa na nature.....
 
wakati wewe unalalamika muda , mimi ni mwalimu kama wewe asubuhi hiii naenda kushughulikka mkopo kama milion 20 hivi na kazini siendi na ruhusa siombi, so inategemea sana na aina ya shule na kiwango cha akili cha mkuu wako wa kituo , kama mkuu ni maskini sana atakubana sana n atataka ushinde kituoni
 
Hakuna kazi rahisi, wewe acha kazi uone ilivo kazi kupata kazi, kazi rahisi labda uwe kwenye system kubwa, ufanye kazi central gov....kidogo hawachoki na kibunda kipo.
 
Hakuna kazi rahisi, wewe acha kazi uone ilivo kazi kupata kazi, kazi rahisi labda uwe kwenye system kubwa, ufanye kazi central gov....kidogo hawachoki na kibunda kipo.
Hii mentality imefanya maelfu ya watu wamebaki kushikilia dead end jobs kw hofu ya kuhadhirika kimaisha. Sikatai unapoacha kazi kuna kuyumba kiuchumi lakn lazma tukubali kuwa hamna jambo lenye mabadiliko lisilokua na risk
 
Wana mikopo hao kila benki unayoijua nchi hii. Hilo nina uhakika nalo mkuu.

Walimu ndiyo kada inayoongoza kwa watu wake kuwa na stress zaidi maana ukimwangalia usoni mwalimu unapata real image ya kilichomo mawazoni mwake.
Hahahah
 
Back
Top Bottom