Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo linachangia, walimu wengi wanafundisha vitu wasivyovijuaVitu ulivisoma advance, ukaenda kuvisoma chuo bado huvielewi mpk upige msuli w akujiandaa na hapo umeshafundisha miaka mitatu. Basi wewe ndiye tatizo.
Malalamishi ya wa Tz kama kawaida.
Usiache mkuu komaaaNafikiria kuacha ualimu,ishu tuu Nina mamikopo kama m 22 hivi
Kwani umepigiliwa msumari mkuu kwenye hiyo kaziHabari za asubui ndugu zanguni,
Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.
Lakini naona kama hii kazi inakua ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience citu vifuatavyo vinavyoniumiza na kunidrain energy yote na morale ya kufanya kazi.
Kwanza nimegundua hii kazi inakugeuza kuwa mwanafunzi kabisa maana unahitaji kusoma mara kwa mara ili uweze kuwa competent katika kufundisha. Sasa hiii ya kusoma mara kwa mara inadrain energy vibaya mno maana kichwa kinahitaji pia kufikiria na mambo mengine ya kimaisha.
Mbaya zaidi vitu tunavofundisha ni ma theory tu kwaiyo unabaki tu kumeza mavitu ili ukayateme darasani lakn haudevelop practical skill yoyote na ukiacha kusoma yanapotea unless uwe umefundisha miak mingi sana ndo material yanastick kichwani.
Pili, Ratiba hasa katika private schools iko so tight unakua na ma vipindi kibao mpaka usiku sometimes. Siku nzima unafanya kazi ya kupiga kelele darasani.
Tatu, kazi ya kukimbizana na wanafunzi, tena hawa ma teenagers ni kazi ngumu sana.
Sijui kama ma teacher wenzangu mmenotice hii kitu kama mimi, Mpwayungu alishaliona hili zamanii sana na kulisemea.
Umeelezea vizuri tatizo alilonalo Mwalimu wetu.Hili nalo linachangia, walimu wengi wanafundisha vitu wasivyovijua
Mimi binafsi nilikuwa nafundisha toka nipo O level
Kwa Sasa sijafundisha O level na A level miaka mitatu ila nikiingia mzigoni siwezi kupata tabu ya kusoma Soma sana
Maana kitu nikikielewa huwa nikiangalia tu nakumbuka
Shida ya kufaulu kwa kukremisha
Wenzako wanapata take home hadi 1m.5 na wapo serikalini.Pesa yote hiyo jamani
Soma theory inaitwa enquiry method.Student centered kwa wanafunzi wa O level? nyie ndiyo mnaua ndoto za watoto masikini. Watoto hawajakomaa kiakili unafanya student centered? Approach za vyuoni mnaleta O level.
Nakumbuka O level tulikua na maticha wa Physics, Chemistry, Biology kama wewe wana selfish approach tulichomoka wachache tena kwa uwezo binafsi maticha hayafundiahi kwa moyo wote😮
SikupingiSoma theory inaitwa enquiry method.
Hio ndio imetengeneza watu kama Elon musk, Billgate.
Teacher centered method ni very outdated approach.
Dunia inaenda kulia nyie mnawaza kushoto.
Teacher centered approach ni njia rahisi ya ufundishaji ndio maana walimu wengi wa TZ wanaing'angania pamoja na serikali kuleta paradigm shift, competence base lakini bado mambo yanaenda kama nwaka 90 katika zama za teknolojia.
Imagine leo tuna AI bot we bado unasisitiza lecture!
Nchi hii itaendelea kuwa na watu bogus kutokana na kuwa vichwa ngumu huku hawajui chochote.
Leo mnashindwa kuendesha bandari, umeme wa mgao, ukulima duni haya yote yanatokana na njia mbovu za ufundidhaji na ujifunzaji zisizo chochoea ubunifu na utatuzi wa matatizo.
Problem solve approach ndio itatutoa hapa tulipo sio kukariri notes za mwalimu.
mnafurahia ufaulu wa ukariri usio na faida yoyote katika ushindani wa ajira.
Watoto wa wenzetu huko wanatumia mitandao kujielimisha nyie mnakazania kumsikiliza mwalimu, hii ni karne ta kukaa unamsikiliza mwalimu muda mwingi ? Dunia ya sasa ina mambo mengi ya kujifunza hivyo ni sahihi watoto wajitafutie kila kona.
Kuna njia inaitwa project base approach. Huwezi ona walimu wakiitumia halafu tunataka tuwe na wabunifu, Labda wabunifu wa uchambuzi wa mpira wa simba na yanga.
Hapa walimu wanatukanwa kila siku mnategemea waipende kazi yao? Kila siku mnawaambia hawana akili hawajiongezi, wakijiongeza ndio kama hivyo wanaonekana darasani kwa nadra mana wanakua kwenye shughuli zingine za kuongeza kipato. Tusiwalaumu walimu tulaumu mfumo wa elimu yetu.Twende taratibu
Najua utatetea kazi yako. Tunashukuru maticha kwa kutulea mpaka hapa tulipofikia.
Ila shule za serikali walimu hawafundiahi kabisa watato wanachomoka kimungu mungu tu.
Kauli yao utasiki "sisi tumesoma kwa shida". Au "hakuna mtu atayekutafunia"
Imagine shule ya mjini mwalimu yupo ila anaingia darasani kwa manati na akiingia anafundisha kwa kujivuta.
itoshe kusema waalimu HAMUIPENDI KAZI YENU.
Mazinde juu st. Mary's hiyoSasa mkuu si uache?
Private tena Advance?? Hapo ukute mshahara mzuri ndio maana nafsi inasita kufanya maamuzi, kwa masikitiko hayo naamini ingekua salary ndogo ungeacha, hata hizo night wengi wanatoa Posho..
Nina mshkaji Anafundisha Private moja kubwa sana ya girls ipo Lushoto huikosi top 10 tena mara nyingne 1-3 au TO, analalamika sanaaa kazi nyingi na kufokewa mbele ya wanagunzi kila akitaka kuacha anawaza anaachaje take home ya 1.5M + Posho ikiwa hana experience ya kitaa? Namuambiaga Wewe unalalamika sbb unataka pesa lakini hutaki kujitoa, ndio maana unaogopa kitaa ..
Haya yote uliyoandika, usipoacha hio Kazi ujue wewe ndio unashida.
Mshahara 750,000 na degree ? kama ni kweli walimu watakuwa ni maskini sanaWatu wanatafuta kazi za ualimu nyie mnazichezea mshahara 750000 Kwa degree diploma na msingi pia sio haba
Mnataka mpewe nini
Si bora Kuna watu wana degree hawana ajiraMshahara 750,000 na degree ? kama ni kweli walimu watakuwa ni maskini sana
Sio kweli kuwa ni kazi yenye laana! Mwanga wote tumepata kupitia walimu. Hapo shida ni serikali kutokutoa kipaumbele kwa elimu.ualimu is a cursed job accept it or not ,it is. mm pia ni teacher nimeona kwa macho yangu.
Watu wanatafuta kazi za ualimu nyie mnazichezea mshahara 750000 Kwa degree diploma na msingi pia sio haba
Mnataka mpewe nini
Kama unaona ni kazi kufanya kazi basi acha kazi uone ilivyo kazi kukaa bila kaziAcha kazi uone ilivyo ngumu kupata kazi
Hao private mkuu, walimu wa serikali hasa advanced wana muda mwingi.Umenena vyema umaskini wa ualimu upo kwenye muda,
Ratiba ngumu kufundisha , usome . Nyumbani uandae kazi ya kesho , ujasahisha , ratiba nyingine mpaka jumamosi . Mshahara aungozeki hata mia ,no overtime,kwa nini usife maskini
Habari za asubui ndugu zanguni,
Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.
Lakini naona kama hii kazi inakua ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience citu vifuatavyo vinavyoniumiza na kunidrain energy yote na morale ya kufanya kazi.
Kwanza nimegundua hii kazi inakugeuza kuwa mwanafunzi kabisa maana unahitaji kusoma mara kwa mara ili uweze kuwa competent katika kufundisha. Sasa hiii ya kusoma mara kwa mara inadrain energy vibaya mno maana kichwa kinahitaji pia kufikiria na mambo mengine ya kimaisha.
Mbaya zaidi vitu tunavofundisha ni ma theory tu kwaiyo unabaki tu kumeza mavitu ili ukayateme darasani lakn haudevelop practical skill yoyote na ukiacha kusoma yanapotea unless uwe umefundisha miak mingi sana ndo material yanastick kichwani.
Pili, Ratiba hasa katika private schools iko so tight unakua na ma vipindi kibao mpaka usiku sometimes. Siku nzima unafanya kazi ya kupiga kelele darasani.
Tatu, kazi ya kukimbizana na wanafunzi, tena hawa ma teenagers ni kazi ngumu sana.
Sijui kama ma teacher wenzangu mmenotice hii kitu kama mimi, Mpwayungu alishaliona hili zamanii sana na kulisemea.
Elewa kuwa kusoma wakati wote ni sehemu ya maisha, na umesema kuwa ndio msingi wa kuwa mahiri (competent). Hacha uvivu wa kusoma.Kwanza nimegundua hii kazi inakugeuza kuwa mwanafunzi kabisa maana unahitaji kusoma mara kwa mara ili uweze kuwa competent katika kufundisha. Sasa hiii ya kusoma mara kwa mara inadrain energy vibaya mno maana kichwa kinahitaji pia kufikiria na mambo mengine ya kimaisha.
Fundisha kwa kufuata mitaala. Haufanyi practical kwa sababu ya uvivu au shule kukosa vifaa au fedha, practical sio tu kwenye masomo ya sayansi, kwani kuna kufanya study tours pia. Kuwa mbunifu.Mbaya zaidi vitu tunavofundisha ni ma theory tu kwaiyo unabaki tu kumeza mavitu ili ukayateme darasani lakn haudevelop practical skill yoyote na ukiacha kusoma yanapotea unless uwe umefundisha miak mingi sana ndo material yanastick kichwani.
Ratiba tight maana yake more pay. Mwambie mwajiri wako, hataki timua!Pili, Ratiba hasa katika private schools iko so tight unakua na ma vipindi kibao mpaka usiku sometimes. Siku nzima unafanya kazi ya kupiga kelele darasani.
Kumbuka kuwa una jukumu la kulea kwa ajili ya Taifa zuri la kesho. Badala ya kukimbizana, tekeleza sheria za shule zinazowabana hao vijana.Tatu, kazi ya kukimbizana na wanafunzi, tena hawa ma teenagers ni kazi ngumu sana.
Shule ya msingi cheti ni 479000 na wanajenga na magari juuMmh 750,000/= kweli?? Hivi kwa mshahara huo huyu mwalimu atakaa ajenge kweli? Au tuseme atafanya kazi miaka mingapi aje angalau kununua gari ya milioni 15? [emoji17][emoji17]