Kusoma in details is for your personal gain, mwanafunzi kwa level yake anahitaji kujua vitu basic ambavyo vipo ndani ya silabasi yake na huhitaji msuli mkubwa kumwelewesha kwa sababu you have much more details kuliko anachohitaji mwanafunzi.Mwalimu yyte ili uwe competent
Lazima usome , nakwambia ivi lazima usome tena mara kwa mara .labda ualimu wa government huko ambako nobody cares unachofundisha darasani lakini private you must read. Hamna cha sijui mwalimu failure wala nn, hata vyuo vikuu maprofessa wanasoma constantly.jidanganye!
Pole sana mkuu, bado pia utapigwa na kitu kizito kichwani siku ambayo utakuja kustaafu kutokana na kikokotoo "kausha damu".Habari za asubuhi ndugu zanguni,
Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.
Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na kunidrain energy yote na morale ya kufanya kazi.
Kwanza nimegundua hii kazi inakugeuza kuwa mwanafunzi kabisa maana unahitaji kusoma mara kwa mara ili uweze kuwa competent katika kufundisha. Sasa hiii ya kusoma mara kwa mara inadrain energy vibaya mno maana kichwa kinahitaji pia kufikiria na mambo mengine ya kimaisha.
Mbaya zaidi vitu tunavyofundisha ni ma theory tu kwahiyo unabaki tu kumeza mavitu ili ukayateme darasani lakini haudevelop practical skill yoyote na ukiacha kusoma yanapotea unless uwe umefundisha miaka mingi sana ndo material yanastick kichwani.
Pili, Ratiba hasa katika private schools iko so tight, unakuwa na ma vipindi kibao mpaka usiku sometimes. Siku nzima unafanya kazi ya kupiga kelele darasani.
Tatu, kazi ya kukimbizana na wanafunzi, tena hawa ma teenagers ni kazi ngumu sana.
Sijui kama ma teacher wenzangu mmenotice hii kitu kama mimi, Mpwayungu alishaliona hili zamanii sana na kulisemea.
Hapo lazima ataingia CCM, na kuwa diwani au MP au post nyingine za kuteuliwa na kupiga fedha za wananchi kama hana akili nzuri!Mmh 750,000/= kweli?? Hivi kwa mshahara huo huyu mwalimu atakaa ajenge kweli? Au tuseme atafanya kazi miaka mingapi aje angalau kununua gari ya milioni 15? [emoji17][emoji17]
Huyo ni mvivu wa kusoma tu. Inawezekana yeye ndio shida!Kusoma in details is for your personal gain, mwanafunzi kwa level yake anahitaji kujua vitu basic ambavyo vipo ndani ya silabasi yake na huhitaji msuli mkubwa kumwelewesha kwa sababu you have much more details kuliko anachohitaji mwanafunzi.
Wewe ni Mwalimu pia usiyejua hata kutofautisha neno 'malupulupu' na 'marupurupu'?Hujui malupulupu ya ualimu wewe.
Ualimu ndiyo kazi nyepesi zaidi kuipata Tanzania maana inachukua hadi failures wote.Hakuna kazi amby haina uncerteinities? Pambana maana TZ marais wote ni walimu aisee.
Ni formality tu ila dunia ya leo mtoto anasoma hata kupitia computer na anasoma practical zaidi kuliko huko darasani kwenye kumezeshwa mataputapu yasiyo na tija katika ulimwengu wa leo.Umevuka mipaka mkuu. Sasa ishauri Serikali wafute hii kazi isiwepo kabisa maana imelaaniwa kama unavyodai. Mnapenda kuidharau hii kazi na kuwatukana waalimu wakati watoto wenu mnawepeleka huko huko shuleni kwa waalimu.
Wana mikopo hao kila benki unayoijua nchi hii. Hilo nina uhakika nalo mkuu.Walimu wanajenga nyumba wanausafiri na maendeleo mengi tuu
Ualim os not a cursed job shida waaliUalimu is a cursed job accept it or not, it is. Mimi pia ni teacher nimeona kwa macho yangu.
Sio kweli, niliyonayo ni nzuri. Acheni maneno ya kukaririshwa.Kazi ni mbaya ukiwa nayo.
Kuna kazi nyingine unaweza kufanya tofauti na hiyo?
Ifanye hiyo kazi kwa muda huku ukitengeneza serving.kwaiyo kazi ya kukariri madesa unaiona nyepesi sio,
Ualimu ni kazi ya kipimbavuUalimu ndiyo kazi nyepesi zaidi kuipata Tanzania maana inachukua hadi failures wote.
Sawa mkuu ushauri mzuri. Nna savings kiasi na nna biashara tayari ilishaanza .na quit anyatime soon!Ifanye hiyo kazi kwa muda huku ukitengeneza serving.
Hii mentality imefanya maelfu ya watu wamebaki kushikilia dead end jobs kw hofu ya kuhadhirika kimaisha. Sikatai unapoacha kazi kuna kuyumba kiuchumi lakn lazma tukubali kuwa hamna jambo lenye mabadiliko lisilokua na riskHakuna kazi rahisi, wewe acha kazi uone ilivo kazi kupata kazi, kazi rahisi labda uwe kwenye system kubwa, ufanye kazi central gov....kidogo hawachoki na kibunda kipo.
Hii mentality inachochea sana umaskini.mtu yupo kwenye kazi yenye maslahi mabovu lakn anashikilia hyo hyo miaka nenda rudi.anakuja kushtuka uzeeni hana kitu.Sio kweli, niliyonayo ni nzuri. Acheni maneno ya kukaririshwa.
HahahahWana mikopo hao kila benki unayoijua nchi hii. Hilo nina uhakika nalo mkuu.
Walimu ndiyo kada inayoongoza kwa watu wake kuwa na stress zaidi maana ukimwangalia usoni mwalimu unapata real image ya kilichomo mawazoni mwake.