Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

Naam naam
 
Umenena vyema umaskini wa ualimu upo kwenye muda,

Ratiba ngumu kufundisha, usome. Nyumbani uandae kazi ya kesho, hujasahihisha, ratiba nyingine mpaka Jumamosi. Mshahara haungozeki hata mia, no overtime, kwanini usife maskini.
Hahaha
 
Umevuka mipaka mkuu. Sasa ishauri Serikali wafute hii kazi isiwepo kabisa maana imelaaniwa kama unavyodai. Mnapenda kuidharau hii kazi na kuwatukana waalimu wakati watoto wenu mnawepeleka huko huko shuleni kwa waalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…