The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Sawa sawa fanyia kazi.Sawa mkuu ushauri mzuri. Nna savings kiasi na nna biashara tayari ilishaanza .na quit anyatime soon!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa fanyia kazi.Sawa mkuu ushauri mzuri. Nna savings kiasi na nna biashara tayari ilishaanza .na quit anyatime soon!
Unaelewa maana ya huo msemo nilioandika au wewe ndie uliekariri bila kuelewa.?Sio kweli, niliyonayo ni nzuri. Acheni maneno ya kukaririshwa.
Naam naamHabari za asubuhi ndugu zanguni,
Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.
Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na kunidrain energy yote na morale ya kufanya kazi.
Kwanza nimegundua hii kazi inakugeuza kuwa mwanafunzi kabisa maana unahitaji kusoma mara kwa mara ili uweze kuwa competent katika kufundisha. Sasa hiii ya kusoma mara kwa mara inadrain energy vibaya mno maana kichwa kinahitaji pia kufikiria na mambo mengine ya kimaisha.
Mbaya zaidi vitu tunavyofundisha ni ma theory tu kwahiyo unabaki tu kumeza mavitu ili ukayateme darasani lakini haudevelop practical skill yoyote na ukiacha kusoma yanapotea unless uwe umefundisha miaka mingi sana ndo material yanastick kichwani.
Pili, Ratiba hasa katika private schools iko so tight, unakuwa na ma vipindi kibao mpaka usiku sometimes. Siku nzima unafanya kazi ya kupiga kelele darasani.
Tatu, kazi ya kukimbizana na wanafunzi, tena hawa ma teenagers ni kazi ngumu sana.
Sijui kama ma teacher wenzangu mmenotice hii kitu kama mimi, Mpwayungu alishaliona hili zamanii sana na kulisemea.
NaamUalimu is a cursed job accept it or not, it is. Mimi pia ni teacher nimeona kwa macho yangu.
HahahaUmenena vyema umaskini wa ualimu upo kwenye muda,
Ratiba ngumu kufundisha, usome. Nyumbani uandae kazi ya kesho, hujasahihisha, ratiba nyingine mpaka Jumamosi. Mshahara haungozeki hata mia, no overtime, kwanini usife maskini.
HahahaNasikia walimu walitandikwa bakora na grinigadi huko wilayani Tarime.
DuuuhWatu wanatafuta kazi za ualimu nyie mnazichezea mshahara 750,000 Kwa degree, diploma na msingi pia sio haba.
Mnataka mpewe nini
Umevuka mipaka mkuu. Sasa ishauri Serikali wafute hii kazi isiwepo kabisa maana imelaaniwa kama unavyodai. Mnapenda kuidharau hii kazi na kuwatukana waalimu wakati watoto wenu mnawepeleka huko huko shuleni kwa waalimu.
Obvious ...Kuna kazi nyingine unaweza kufanya tofauti na hiyo?
Labda anafundisha boys schoolHujui malupulupu ya ualimu wewe.