Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi gani ni rahisi? Ukiona imekushinda hujalazimishwa unaweza kuacha ukatafuta kazi nyingine
Lakini si unalipwa mwisho wa mwezi hilo ndo kubwa nduguhakuna kazi rais ndugu,lakin hii kazi ina drain akili sana especially ukiwa kwenye taasisi inayobana,amini nakwambia hauwezi kuwa mwalimu competent unless u devote akili yako yote na nguvu katika masomo unayofundisha na usifikirie kitu kingine.Pia kazi zingine kama kusahisha madaftari,class management ,kuandika ma lesson plan ,kujaza log books ,kusimamia zam etc .Ukumbuke kazi ya ualimu ni kutumia akili 100% sasa unapokua na activities zingine zinazokubana bado na personal life issues ni ngum sana ku focus.
Mkuu hapa nilipo salary ni nzuri kiasi chake lakini this job nooo!Hujui malupulupu ya ualimu wewe.
Kwahiyo unanitisha au?Acha kazi uone ilivyo ngumu kupata kazi
Upo sahihi kabisa kiongoz, kama una ishu ingine mfano business ya kukuingizia hata kipato kidogo achana na hiyo kazi ya laana, naijua vizuri kabla sijaingia kwenye business niliifanya for almost 10 years, a totoal waste of time!Habari za asubui ndugu zanguni,
Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.
Lakini naona kama hii kazi inakua ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience citu vifuatavyo vinavyoniumiza na kunidrain energy yote na morale ya kufanya kazi.
Kwanza nimegundua hii kazi inakugeuza kuwa mwanafunzi kabisa maana unahitaji kusoma mara kwa mara ili uweze kuwa competent katika kufundisha. Sasa hiii ya kusoma mara kwa mara inadrain energy vibaya mno maana kichwa kinahitaji pia kufikiria na mambo mengine ya kimaisha.
Mbaya zaidi vitu tunavofundisha ni ma theory tu kwaiyo unabaki tu kumeza mavitu ili ukayateme darasani lakn haudevelop practical skill yoyote na ukiacha kusoma yanapotea unless uwe umefundisha miak mingi sana ndo material yanastick kichwani.
Pili, Ratiba hasa katika private schools iko so tight unakua na ma vipindi kibao mpaka usiku sometimes. Siku nzima unafanya kazi ya kupiga kelele darasani.
Tatu, kazi ya kukimbizana na wanafunzi, tena hawa ma teenagers ni kazi ngumu sana.
Sijui kama ma teacher wenzangu mmenotice hii kitu kama mimi, Mpwayungu alishaliona hili zamanii sana na kulisemea.
Mmh ni kweli mkuu?upo sahihi kabisa kiongozi.kama una ishu ingine mfano business ya kukuingizia ata kipato kidgo achana na iyo kazi ya laana , naijua vzr kabla sijaingia kwenye business niliifanya for almost 10 years, a totoal waste of time !
Walimu wanajenga nyumba wanausafiri na maendeleo mengi tuu90% ya waliochagua ualimu wametoka familia za kawaida ambao walivyutwa na mkopo na ajira za uhakika otherwise hakuna anayependa ualimu ni asilimia chache sana ya watoto wa kishua wanaoenda ualimu kwasababu hakuna future mi siwalaumu walioenda huko ni familia zetu ndio zimesababisha yote hayo hakuna anayependa ada million 3 kwa mwaka ya kam college itatoka wapi.
kwaiyo kazi ya kukariri madesa unaiona nyepesi sio,Huo uvivu wako wa kazi usikufanye uka generalize kwa wote, eti kazi ya ualimu ni ngumu! Nitajie kazi rahisi ni ipi?
whatever, hii sio kazi.inatakiwa iwe last option kama umekosa kila kitu ndo uwe mwalimu .Advance!?masomo GANI hayo!?
Usi complicate mambo kufundisha simple sana!
TENA advance!unatumia mbinu gani!?au we BADO unatumia teacher centred Ili uwaonyeshe upo deep sio!!?
Mi napiga chemistry na bios ordinary level and never suffocate!!
Ugumu unaufanya wewe mwenyewe!!!
"Easy does it" norman vincent peale!!
Kabla hujasema ulichosemea unapaswa kwanza kujiuliza je Kuna kazi unayoweza kufanya zaidi ya hiyo?kwaiyo unanitisha au?
WALIM wa wapi hao!!?Huyu jamaa huwa yupo right asilimia 96 yaani Mwl. hata akikuhaidi kitu usikitilie maanani sana. Yaani ni kana huwa wanekataa tamaa halafu wanamajungu mno na kufuatilia maisha ya wenzao yaani mwl. huwa anapenda mwl. Mwenzake ateseke.
ndio nna business ndogo ndogo za kuniingizia pesa ya kula.lakini hata ningekua sina chochote mkuu nimefikia point of no return ! siwezi kurudi kwenye hii kazi.Hii sio kazi ni utumwa!Kabla hujasema ulichosemea unapaswa kwanza kujiuliza je Kuna kazi unayoweza kufanya zaidi ya hiyo?
Umeshaiacha mkuundio nna business ndogo ndogo za kuniingizia pesa ya kula.lakini hata ningekua sina chochote mkuu nimefikia point of no return ! siwezi kurudi kwenye hii kazi.Hii sio kazi ni utumwa!
Tulishaga wambia lakini hamtaki kuelewa ualimu sio kazi ni utumwa wa mwili na akili, ondoka haraka sana kwenye hiyo kazi ya kitumwa! mke wangu alikaa mwaka mmoja tu akasalim amri ,sasa ivi ameajiriwa sheli kama pump operator vyeti vya ualimu katupa huko.huwa najaribu kumuuliza kimtego ,hiyo kazi ya sheli si ni ngum sana bora urudi kwenye ualimu anasema BORA KUKESHA SHELI KULIKO KUFANYA KAZI YA LAANA!Habari za asubui ndugu zanguni,