Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

Twende taratibu
Mshahara kiasi gani?
Kwako kazi rahisi ni Kama ipi?
hamna kazi rahisi ila nature ya hii kazi kudeal na teenagers, kusoma mara kwa mara kumeza ma theory, shughuli nyingine za kishule/kitaaluma amini nakwambia ivi vtu combined vina drain sana akili huwezi elewa unless umewai kuwa teacher.
 
Back
Top Bottom