Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

Twende taratibu

Najua utatetea kazi yako. Tunashukuru maticha kwa kutulea mpaka hapa tulipofikia.

Ila shule za serikali walimu hawafundiahi kabisa watato wanachomoka kimungu mungu tu.

Kauli yao utasiki "sisi tumesoma kwa shida". Au "hakuna mtu atayekutafunia"

Imagine shule ya mjini mwalimu yupo ila anaingia darasani kwa manati na akiingia anafundisha kwa kujivuta.

itoshe kusema waalimu HAMUIPENDI KAZI YENU.
Tunaipenda sana coz tumefundisha wengi sana!!

Siku hizi walimu tunasimamia kujifunza wanafunzi sio kufundisha!!?

Yaani wizara inataka mwanafunzi awe competent sio awe lelemama!

Yaani tuwe facilitators wa learning process na sio kuwa teacher!!

Vijana wanajua vitabu na materials yalipo wape homework uone kama hawana majibu ya homework hiyo!!
 
Mimi nimefundisha shule zote HADI hizo zenu!!!!

Mwanafunzi ana uwezo wa kutafuta material na yanapatikana !

Kwani hiyo shule HAINA vitabu!!? Library hakuna!!?

Mbona class activity natoa sana na zinajubiwa vizuri na discussion tunafanya na vijana tena wa form one kabisa mkuu!!?

Hao unafundisha ni walemavu wa KUSIKIA,kuona na kutembea!!?

Kuwa serious jamaa!!
Brother , kama ww umekubali kusalim amri kwenye hiyo kazi ya kitumwa ni wewe , ila kaa ukijua hata kwenye ranking za professions katika society mwalimu ndio mtu wa mwisho kabisa kuanzia mazingira ya kazi, malipo, power heshima nk. Kwa kuwa umekubali kufanya hyo kazi ya kifala maisha yako yote well and good komaa nayo .mimi NO!
 
Unaongea usilolijua wewe!! Umewai fundisha wanafunzi wenye uwezo mdogo wewe? Tena shule ya private wamekulipa na ada . Kirahisi rahisi tu uwawekee maswali ubaoni wa discuss sio .hehehe.anyway hujawai kuwa mwalimu so sikulaumu
Jamaa atakua hajawahi kufundisha shule za private,yaani utumie student centred method kwa wanafunzi wanalipa mamilioni?
Wakifeli anajua impact yake?
Hiyo methodology itumike shule za serikali tu,private unatimuliwa.
 
Brother , kama ww umekubali kusalim amri kwenye hiyo kazi ya kitumwa ni wewe , ila kaa ukijua hata kwenye ranking za professions katika society mwalimu ndio mtu wa mwisho kabisa kuanzia mazingira ya kazi, malipo, power heshima nk. Kwa kuwa umekubali kufanya hyo kazi ya kifala maisha yako yote well and good komaa nayo .mimi NO!
Mimi naona walimu wenye changamoto ni wale wanaanza tena wa shule ya msingi labda kwaajili ya mshahara lakini hao wa diploma na degree naona wanamaslahi mazuri tuu
Nyingine ni changamoto ndogondogo tuu
 
Sasa mkuu si uache?
Private tena Advance?? Hapo ukute mshahara mzuri ndio maana nafsi inasita kufanya maamuzi, kwa masikitiko hayo naamini ingekua salary ndogo ungeacha, hata hizo night wengi wanatoa Posho..

Nina mshkaji Anafundisha Private moja kubwa sana ya girls ipo Lushoto huikosi top 10 tena mara nyingne 1-3 au TO, analalamika sanaaa kazi nyingi na kufokewa mbele ya wanagunzi kila akitaka kuacha anawaza anaachaje take home ya 1.5M + Posho ikiwa hana experience ya kitaa? Namuambiaga Wewe unalalamika sbb unataka pesa lakini hutaki kujitoa, ndio maana unaogopa kitaa ..

Haya yote uliyoandika, usipoacha hio Kazi ujue wewe ndio unashida.
 
Sasa mkuu si uache?
Private tena Advance?? Hapo ukute mshahara mzuri ndio maana nafsi inasita kufanya maamuzi, kwa masikitiko hayo naamini ingekua salary ndogo ungeacha, hata hizo night wengi wanatoa Posho..

Nina mshkaji Anafundisha Private moja kubwa sana ya girls ipo Lushoto huikosi top 10 tena mara nyingne 1-3 au TO, analalamika sanaaa kazi nyingi na kufokewa mbele ya wanagunzi kila akitaka kuacha anawaza anaachaje take home ya 1.5M + Posho ikiwa hana experience ya kitaa? Namuambiaga Wewe unalalamika sbb unataka pesa lakini hutaki kujitoa, ndio maana unaogopa kitaa ..
Mkuu naacha, hii kazi ya kifala sana ata ikiwa na malipo mazuri.imagine unafokewa mbele ya wanafunzi , how would you feel.
 
Brother , kama ww umekubali kusalim amri kwenye hiyo kazi ya kitumwa ni wewe , ila kaa ukijua hata kwenye ranking za professions katika society mwalimu ndio mtu wa mwisho kabisa kuanzia mazingira ya kazi, malipo, power heshima nk. Kwa kuwa umekubali kufanya hyo kazi ya kifala maisha yako yote well and good komaa nayo .mimi NO!
KAZI pekee inayoheshimika ni siasa hasa ubunge,uwaziri na n.k

Hakuna KAZI ya professional hapa tz inayolipa vizuri HADI mhusika akajisikia analipwa vizuri mshahara labda mapato na magendo yaliyo nje ya mfumo lakini kuanzia mishahara na posho zote halali ni manung'uniko tu!

Kama taifa na kama nchi tuliamua siasa pekee ndio iwe KAZI inayolipa VIZURI kuliko KAZI nyingine yeyote ndio maana hata madaktari,mainjinia,ma lecture wanakimbilia SIASA!

Professional HAINA thamani TANZANIA mkuu! elewa!

Hata kabudi alitamka pale chuo kikuu alikua jalalani!!!

Huko unapokwenda unaenda kutafuta unafuu ambao huujui kama utaupata we ingia kwenye siasa tu ndio upate hayo maisha unayowaza !lakini KILA profession inalalamika tz fanya utafiti uone!!

Tunachofanya ni kurahisisha maisha KWA kufanya Mengine tu sio kukubali eti proffession inalipa Bongo!!

Ni uk pekee ambapo proffession ina mshahara mkubwa kuliko siasa!na siasa ni KAZI ya ziada kama hobby baada ya kustaafu proffession husika!!!

Fanya utafiti uje na majibu!!
 
KAZI pekee inayoheshimika ni siasa hasa ubunge,uwaziri na n.k

Hakuna KAZI ya professional hapa tz inayolipa vizuri HADI mhusika akajisikia analipwa vizuri mshahara labda mapato na magendo yaliyo nje ya mfumo lakini kuanzia mishahara na posho zote halali ni manung'uniko tu!

Kama taifa na kama nchi tuliamua siasa pekee ndio iwe KAZI inayolipa VIZURI kuliko KAZI nyingine yeyote ndio maana hata madaktari,mainjinia,ma lecture wanakimbilia SIASA!

Professional HAINA thamani TANZANIA mkuu! elewa!

Hata kabudi alitamka pale chuo kikuu alikua jalalani!!!

Gukot unapokwenda unaenda kutafuta unafuu ambao huujui kama utaupata we ingia kwenye siasa tu ndio upate hayo maisha unayowaza !lakini KILA profession inalalamika tz fanya utafiti uone!!

Tunachofanya ni kurahisisha maisha KWA kufanya Mengine tu sio kukubali eti proffession inalipa Bongo!!

Ni uk pekee ambapo proffession ina mshahara mkubwa kuliko siasa!na siasa ni KAZI ya ziada kama hobby baada ya kustaafu proffession husika!!!

Fanya utafiti uje na majibu!!
Sawa lakini hizo professions zingine kamwe huwezi linganisha na ualimu wa primary na sekondari . Ualimu is FAR WORSE!
 
Back
Top Bottom