Aende wapi?Yani aende kuomba shuka la kujifunikia mochwari?Aende polisi kutoa taarifa
Lkn tujue tu kuna hukumu siku ya hukumu. Siku ambayo kila mmoja atamkana mwenziweNasasa hivi wamepewa nyundo MTAKIONA CHA CHURA KIZIWI
Mambo ya Mungu tumwachie Mungu, tusitishiane hapa dunianiLkn tujue tu kuna hukumu siku ya hukumu. Siku ambayo kila mmoja atamkana mwenziwe
Habarini wanajukwaa,
Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.
Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.
Sativa aliendelea kusema kuwa Faustine Mafwele na genge lake wana-unfinished business naye na kuongeza kuwa iwapo lolote litamkuta basi Mafwele anahusika.
Soma Pia: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?
Inasikitisha sana na kuogopesha
Nasasa hivi wamepewa nyundo MTAKIONA CHA CHURA KIZIWI
Halafu anatokea mtu anawaambia mabalozi mbona haya mambo hata kwenu yanatokea. Ni kweli yanatokea. Lakini
- Mtu akichukua bunduki akaenda kushambulia watoto shuleni, Anauawa au kukamatwa.
-Ukifanya mauaji, Unauawa Unakakatwa.
-Ukijaribu kuua pia unakamatwa.
Aliandika hotuba ile alidhamiria kabisa kumpotosha maana Research ndogo tu ingetosha kumuambia hapa kuna utofauti mkubwa.
Kama Sativa aliishi baada ya kupigwa risasi ya kichwa basi Mungu ana kusudi nae. Ataishi na adui zake watakutakana na mkono wa Mungu angali bado Sativa yu hai.
Natamani kujua huyu mafwele ni nani na ana impact gani hapa nchini,kwa sababu huyu kijana ameokotwa amejeruhiwa vibaya kiasi samaia akatoa hela za matibabu na mara zote anatamka aliyemtendea hayo ni huyu mafwele.
Kuna ugumu gani kama kuna uchunguzi unaendelea wakaanza na huyu mtu?serikali inasubiri aumize wengine iseme itamtibu tena?ana uchawi wa nchi gani huyu maana hata kama ameloga basi huo uchawi siyo wa sayari hii.
Polisi ipi mkuu?Aende polisi kutoa taarifa
Huko twendako ndio kugumu zaidi. Hapa duniani unaishi miaka 50. Babu wa babu yako tangu afe inawezekana miaka 1000 sasa. Na huko kuna adhabu hakuna inayofafana hata kwa 5% ya hapa dunianiMambo ya Mungu tumwachie Mungu, tusitishiane hapa duniani
Ya MafwelePolisi ipi mkuu?
Wewe utaweza?Vyombo vyetu vy habari vimeshindwa kumfikia Mafwele Kumhoji?
Una Kesi na Imamu unampelekea Ostadh aamue unategemea nini?Aende polisi kutoa taarifa
Tanzania lini ilitoa tamko kukemea hayo mauaji na kuielekeza marekani cha kufanya?Halafu anatokea mtu anawaambia mabalozi mbona haya mambo hata kwenu yanatokea. Ni kweli yanatokea. Lakini
- Mtu akichukua bunduki akaenda kushambulia watoto shuleni, Anauawa au kukamatwa.
-Ukifanya mauaji, Unauawa Unakakatwa.
-Ukijaribu kuua pia unakamatwa.
Aliandika hotuba ile alidhamiria kabisa kumpotosha maana Research ndogo tu ingetosha kumuambia hapa kuna utofauti mkubwa.
Kama Sativa aliishi baada ya kupigwa risasi ya kichwa basi Mungu ana kusudi nae. Ataishi na adui zake watakutakana na mkono wa Mungu angali bado Sativa yu hai.