inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Quran imeagiza kuhukumu kwa haki,mfano wako huu ni mfu,ungetumia labda wa wakatoliki,mtoto kalawitiwa na padre kwenda kigangoni kushtakiUna Kesi na Imamu unampelekea Ostadh aamue unategemea nini?
Quran imetoa mwongozo ktk kutoa hukumuUna Kesi na Imamu unampelekea Ostadh aamue unategemea nini?
Mkuu mimi sina taaluma hiyo.Wewe utaweza?
😭😭😭😭Nasasa hivi wamepewa nyundo MTAKIONA CHA CHURA KIZIWI
Surat Al-Ma’idah (5:8): "Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtoapo ushahidi msije mkachochewa na chuki za watu kuto hukumu kwa haki. Hukumuni kwa uadilifu, hilo ni karibu zaidi na uchaji Mungu. Na muogopeni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo habari za mnayoyatenda."Quran imeagiza kuhukumu kwa haki,mfano wako huu ni mfu,ungetumia labda wa wakatoliki,mtoto kalawitiwa na padre kwenda kigangoni kushtaki
Nasikia huyo mafwele ndio aliowakimbiza majambazi Arusha,,panyaroad dar na wale wahuni wa mkuranga na kibitiNatamani kujua huyu mafwele ni nani na ana impact gani hapa nchini,kwa sababu huyu kijana ameokotwa amejeruhiwa vibaya kiasi samaia akatoa hela za matibabu na mara zote anatamka aliyemtendea hayo ni huyu mafwele.
Kuna ugumu gani kama kuna uchunguzi unaendelea wakaanza na huyu mtu?serikali inasubiri aumize wengine iseme itamtibu tena?ana uchawi wa nchi gani huyu maana hata kama ameloga basi huo uchawi siyo wa sayari hii.
ThubutuuuuuAende polisi kutoa taarifa
Wamefungwa?N
Nasikia huyo mafwele ndio aliowakimbiza majambazi Arusha,,panyaroad dar na wale wahuni wa mkuranga na kibiti
Hivi Mbowe na team huwa mnafanya nini? Hamuwezi hata kuajiri investigative journalists wabobezi wawaandikie report /documentary ya kuhusu Habari hizi na nyingi nyinginezo; kama ya Lisu, Kibao, ya huyu Sativa, Mbeya nk. Kila kitu mnacho kuwaa-indict hawa washenzi CCM na system yao. Tumieni fursa hizi hawa washenzi waondoke.Habarini wanajukwaa,
Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.
Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.
Sativa aliendelea kusema kuwa Faustine Mafwele na genge lake wana-unfinished business naye na kuongeza kuwa iwapo lolote litamkuta basi Mafwele anahusika.
Soma Pia: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?
Nature itamuondoa kama ilivyomuondoa Jiwe.Huyu bibi kaharibu sana amani ya nchi.watu wanaishi Kwa hofu Kila kukicha
Wewe Ni mpumbavuAende polisi kutoa taarifa
Bora nature ifanye haraka ili kuiponya nchiNature itamuondoa kama ilivyomuondoa Jiwe.
Hapo sasa ni kuamua moja, ufanye mipango ukimbie nchi ama uwaache tu wakuue.Habarini wanajukwaa,
Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.
Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.
Sativa aliendelea kusema kuwa Faustine Mafwele na genge lake wana-unfinished business naye na kuongeza kuwa iwapo lolote litamkuta basi Mafwele anahusika.
Soma Pia: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?
Kwa serikali makini ingetambua kwamba huyu ameshakuwa cancer.N
Nasikia huyo mafwele ndio aliowakimbiza majambazi Arusha,,panyaroad dar na wale wahuni wa mkuranga na kibiti
Na ni lini marekani ili omba msaada wa kifedha marekani kama Tanzania inavyoombaomba?Tanzania lini ilitoa tamko kukemea hayo mauaji na kuielekeza marekani cha kufanya?
Kwa hiyo unataka wavamie hapo kwenye interview na kuzua taharuki?Ingekua kweli wanamtafuta wangeshampata hana ulinzi huo wa kuwindwa kila siku na asipatikane, kama hadi muda wa kufanya interview anao basi hakuna anaemtafuta
Tangu lini magaidi na vibaka aina ya panyaroad wakafungwa..??Wamefungwa?