Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Hio ni FIDIA faini kashindwa kulipa ndomaana kaenda jela.

Mtu alikuwa na bil5.4 ila kashindwa kulipa mil5

Hahahaaa raha sana saivi yani wanakwangua kila kitu
Kwahiyo sisi wafuga kuku pesa tunarudishiwa na DPP au BOT?
 
Ninafurahishwa sana na vjana wenzangu walio kati ya 20+ to 35 kuhusishwa mambo ya pesa ndefu kama hzo iwe in positive or in negative way
Zote hzo ni njia za utafuaji, ila tu isiwe kwa uhuaji[emoji385][emoji385][emoji385][emoji383]
[emoji124][emoji124][emoji124]
IQ yako kiduchu sana. Mtu akikwapua fedha ya mwingine kwa udanganyifu jua ingeweza kutumika kwa mambo muhimu ikiwemo kuokoa maisha. Fikiria out of the box. Akili yako ibamue kidogo.
 
Issue sio pesa tu
Bali tabia iliyoleta usumbufu na sintofahamu kubwa kwenye jamii

wanaita kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kama ana wenzie basi kuunda genge la uhalifu
Udanganyifu upi wakati miradi ilikua inaonekana na ipo vizuri tu. Mpaka masoko walikua nayo tena ya kutosha
 
Alibaba angekuwa hapa,saa hizi yuko lupango,,maana hana duka ila anauza bidhaa sio zake,,hiyo ni piramidi scheme na uhujumu uchumi mkubwa..
The point is not selling vitu visivyo vyako; kosa ni uhalali wa business. Mbona kupinduapindua kila issue lakini??? Ili business ioparet lazima itwmbuliwe kisheria ili lolote likitokea kuna pahali pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom