ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Hivi serikali itaendelea kuiba hela za wananchi hadi lini? Kwanini wasirudishiwe wenye nazo? Kwani serikali iliwekeza huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo sisi wafuga kuku pesa tunarudishiwa na DPP au BOT?Hio ni FIDIA faini kashindwa kulipa ndomaana kaenda jela.
Mtu alikuwa na bil5.4 ila kashindwa kulipa mil5
Hahahaaa raha sana saivi yani wanakwangua kila kitu
Na kilichofanywa na huyu tapeli ni cha kibinadamu?
IQ yako kiduchu sana. Mtu akikwapua fedha ya mwingine kwa udanganyifu jua ingeweza kutumika kwa mambo muhimu ikiwemo kuokoa maisha. Fikiria out of the box. Akili yako ibamue kidogo.Ninafurahishwa sana na vjana wenzangu walio kati ya 20+ to 35 kuhusishwa mambo ya pesa ndefu kama hzo iwe in positive or in negative way
Zote hzo ni njia za utafuaji, ila tu isiwe kwa uhuaji[emoji385][emoji385][emoji385][emoji383]
[emoji124][emoji124][emoji124]
Ruksa kwenda kuidai. Kitu cha msingi uwe tu na nyaraka halaliKwahiyo sisi wafuga kuku pesa tunarudishiwa na DPP au BOT?
Alibaba angekuwa hapa, saa hizi yuko lupango maana hana duka ila anauza bidhaa sio zake, hiyo ni piramidi scheme na uhujumu uchumi mkubwa..Ni mtu wa kuthubutu. Anakua na business plan alafu anaalika wawekezaji wadogo. Wangeweka usimamizi mzuri ingefaa kuliko kumfilisi
Hata DESI ilikua hivyo hivyo mkuu.Ivi serkali itaendelea kuiba ela za wananchi hadi lini? Kwanini wasirudishiwe wenye nazo?Kwani serkali iliwekeza uko?
Wale walioweka pesa DESI walifuatiliaga pesa zao wakawekwa ndani na kutishiwa kufunguliwa mashtaka walivyotoka hapo ni nduki hakuna aliyekuja kufuatilia hizo pesa tena.Kwahiyo sisi wafuga kuku pesa tunarudishiwa na DPP au BOT?
Ijue nguvu ya SerikaliMr kuku leo hii ameshindwa lipa faini ya 5million?
Hata kama wamepita na hizo za kwenye account,inamaana hakua na upande wa pili ...
Issue sio pesa tuSaa kashindwa vipi wakati kwenye account take kulikuwa na bilioni 5?.
si wangezichukua alafu wamuachie
Ni akili tu wametuzidi ongezea wivu basi balaaAlibaba angekuwa hapa,saa hizi yuko lupango,,maana hana duka ila anauza bidhaa sio zake,,hiyo ni piramidi scheme na uhujumu uchumi mkubwa..
Kwa hio heri wanajamii waendelee kutapeliwa na watu wachache?
Udanganyifu upi wakati miradi ilikua inaonekana na ipo vizuri tu. Mpaka masoko walikua nayo tena ya kutoshaIssue sio pesa tu
Bali tabia iliyoleta usumbufu na sintofahamu kubwa kwenye jamii
wanaita kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kama ana wenzie basi kuunda genge la uhalifu
Waliotoa hela zimerudi?.Udanganyifu upi wakati miradi ilikua inaonekana na ipo vizuri tu. Mpaka masoko walikua nayo tena ya kutosha
Ukiimaliza hiyo 10 unalipa hiyo fainiMimi hata ingekua nilipe 1b & 10 years, ningeenda 10 yrs.
Aaah wapi thubutuuuKwahiyo sisi wafuga kuku pesa tunarudishiwa na DPP au BOT?
The point is not selling vitu visivyo vyako; kosa ni uhalali wa business. Mbona kupinduapindua kila issue lakini??? Ili business ioparet lazima itwmbuliwe kisheria ili lolote likitokea kuna pahali pa kuanzia.Alibaba angekuwa hapa,saa hizi yuko lupango,,maana hana duka ila anauza bidhaa sio zake,,hiyo ni piramidi scheme na uhujumu uchumi mkubwa..
Kama umefungwa kwa kukosa fain, ukitoka umetoka. FIDIA ndiyo lazima ilipwe (in this case) regardless of the imprisonment.Ukiimaliza hiyo 10 unalipa hiyo faini