Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Senior Inteligency officer gani anapigwa pesheni mchana kweupe? Mwepesi kashavuta kibunda wanataka ku mdump mzee wa watu, hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ya kuandaa Cabinet ilitolewa na MSAGA SUMU nyuzi za msaga sumu hazina ukweli wowote zaidi ya kufurahisha watuBaadhi ya binadamu wa JF wabaya sana....!Nikikumbuka namna hao binadamu walivyokuwa wana'mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa' ndugu Membe hapa jukwaani yaani hata siamini ninachokisoma hapa jukwaani. Wengine, walibadiri hadi Avatars zao hapa JF na kuweka avatar za picha za ndugu B. 'Camillus', huku wakikoleza na hash-tags za #Twende na 'Jamaa' 2020. Hizo avatar sioni hata moja!...
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa ngonjera tamu kwa wanalumba.. bila shaka umevuna Zaidi ya akina mgonjwa mtambuka na bia yangu
Mmbea n mtu anauefikisha taarifa ya kweli bila kutumwaIla wabongomnapenda umbeya kuliko hata maji ya kunywa aisee.
Siyo mwanaume siyo mwanamke- mnapepeta midomo kama mapangaboi
[emoji23][emoji23][emoji23] unatufokea Sasa..BM alitudanganya kwamba yeye Ni mtu makini..kumbe si kweli..tumemkimbia tukiongozwa na ZittoNakumbuka wadau mlimpa Sana BM sifa mitandaoni hasa JF nayeye aliwaamini, Sasa niyeye nae mmempa airtime jukwaani nae kalewa km ilivyokuwa kwa B.M.
wale mliokuwa mnamsapot B.M endeleeni nae acheni "umalaya wakisiasa"
Wanamtesa mzeeNakahurumia ka Pension ka Mwembe kanavyoteketezwa na kina Mzito Kabwela.. Mpaka kampeni ziishe ile Range Rover ya Mwembe itakuwa imeshawekwa sokoni kumnusuru Mwembe na ukata!
N hatai kweikwei in senior Makamba's voice[emoji23][emoji23][emoji23] unatufokea Sasa..BM alitudanganya kwamba yeye Ni mtu makini..kumbe si kweli..tumemkimbia tukiongozwa na Zitto
Kweli ni nini ?Mmbea n mtu anauefikisha taarifa ya kweli bila kutumwa
Pole.Kweli ni nini ?
Kweli. Nadhani dhambi ya kula mafao ya mtu inakaribiana kwa uzito na ile ya kunywa uji wa mgonjwa.Wanamtesa mzee
Suluhu kwa naniHivi hujui kuwa Mwenyekiti wako wa Ccm ameandika barua ya kuomba suluhu
Msaidie Mr much know katelekezwa na cheamani a.k.a disco jokerkwa hivyo unataka tukusaidiaje sasa?!.
Nahis mzee wetu anawaza kwa sauti "si bora tuu ningebaki CCM"Kweli. Nadhani dhambi ya kula mafao ya mtu inakaribiana kwa uzito na ile ya kunywa uji wa mgonjwa.
Wacha wale. Hiyo pesa inayohifadhiwa ughaibuni yaweza kuwa sehemu ya yale mapesa ya escrow yaliyobebwa kwenye sandarusi.Kweli. Nadhani dhambi ya kula mafao ya mtu inakaribiana kwa uzito na ile ya kunywa uji wa mgonjwa.