Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

Ile dhambi ya uuaji ameitubia lini mpaka aruhusiwe kuwawekea mikono watu kichwani?
Mikono iliyomwaga damu
Nani aliyechora mstari unaotenganisha kilicho dhambi na kisicho dhambi?
 
Huyu mpuuzi alindwe kwa lipi?
 

Watz si watu wa visasi,hizo roho zimeletwa na wakuja. Atahukumiwa na mahakama ya Jamii.
 
Maisha kweli ni mzunguko mkali, toka walinzi 10 wanakuzunguka asbh hadi ucku na mashine zao mabegani na viunoni ... Leo hata mgambo mmoja wa jiji no...aaaahhh
 
Nilifikiri tumeshafunga ukurasa huu.

Mwenyewe yuko huku anaendelea na ukurasa mpya we endelea na makombo
Hapa ndipo UKristo unapodharaulika,haya makanisa ya kuchezeachezea wanayatoa wapi?
Nkurunziza alikuwa jumapili anaimba kwaya na kuhubiri akitoka hapo anakwenda kuuwa watu.Viongozi wa Kikristo ndio wamechangia uwepo wa udikteta Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…