Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
Watanzania walioamka pekee
Back in the days kuna member mmoja hapa JF aliwahi kudai kwamba miaka 40 ni mingi mno... hadi miaka 40 inaishia, Bandari itakuwa imeshachakaa!! Nikamuuliza ikiwa anafahamu Bandari ya Dar es salam imejengwa lini lakini bado kesho ndiyo tegemeo letu... hakujibu!!!Mkuu nadhani na ww hujamuelewa zitto..... Anachosema hapa Kulikua na competition kati ya TZ na Kenya hivyo kama Bandari ya bagamoyo ingekuwa developed wakati huu tungeliwahi soko la melo kubwa kabla ya Kenya.
Shida anayosema hapa ni kwamba Kenya wamegeuka monopoly hivyo bandari ya TZ itamalizwa nguvu hata bila ya "unyonyaji" wa bagamoyo.
Kwa kusummarise tu anadai Bandari ya bagamoyo hta kama sio viable kwetu ni "better than nothing". Mara 10 hayo mabilioni yaishie bagamoyo tunaponyonywa kuliko yaishie Lamu tukose vyote.
Kingine faida ya bandari haipimwi kwa kodi na mapato ya moja kwa moja ila kuna multiplier effect zinazokuja mfano ajira,tender, makampuni mfano ya logistics,Yard za bandari,warehousing, Tax consultants, taasisi za fedha, real estates, Clearing & forwarding n.k kuweka kambi hapa nchini ambayo yatalipa kodi pia n.k hivyo hta kama tusipopata mapato mwanzoni spillover effect yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata mapato ya TPA kwa Dar es salaam.
Ni hayo tu
Asante. Uwekezaji wa aina gani hapa unazungumzia? Uwekezaji wa bandari? Uwekezaji wenye masharti kwa mwenye ardhi? Mtawadanganya waliolala siyo wenye wenye maoni. Makuadi mnakumbuka atumbo yenu tu. Nilishasema tena na nitasema tena: Hakuna mwanasisa hatari kama Zitto wenye hii nchi. Ni mbaya sana na ubaya wake ni ule wa kichinichini. Anajijali yeye tu.Jinsi ulivyo mwenye akili finyu kutofahamu kwamba sheria ya nchi ndiyo inaruhusu mtu kutumia ardhi hadi miaka 99 kwa malengo ya uwekezaji.
You are Schizophrenic get some help....
Angalia akili za Kilumumba hizi! Eti kuendeleza kwao!
Unyonyaji wa watu wanaotaka vya bure kama wewe. Watu wavivu wanaofikiri kukodisha kila raslimali waliyo nayo kwa watu ili wafaidike. Kwao kufanya kazi wanaona ni adhabu na kuhalalisha hilo wanakuambia tunahitaji wawekezaji. Tulifukuza wakoloni wa nini basi kama hatuwezi kuijenga nchi yetu wenyewe. Anyways najua wengi mnaotetea huu uchafu mna kaliba za Kikwete, za kipwani pwani za kutaka mtelemko tu. Ndiyo maana hata Dar mmeuza ardhi mliyomiliki na kuhamia kwenye vibanda nje ya jiji huku wageni wakiwatawala jiji la asili yenu.Unyonyaji wake ni upi?! Hivi suala la tax holiday kwako ni jipya?! Hivi suala la hatimiliki ya miaka 99 kwako ni jipya?! Unaweza kutaja aina ya huo unyonyaji ambao kwako wewe ni unyonyaji mpya ambao haupo kwenye ulimwengu wa unyonyaji?!
Jibu maswali niliyokuuliza wewe!! Ulitarajia bandari ikajengwe Dodoma?!Huyu mkwere alikuwa na upendeleo na kwao zaidi ya wote waliomtangulia; unajua kulikuwa na NGOs ngapi wilaya ya Bagamoyo enzi ya Urais wake kabla ya kuanzisha wilaya yake ya Chalinze? Hata Chuo cha usimamizi wa fedha IFM nacho kilikuwa kinajenga campus kule!! Mradi ule baada ya kutumia fedha nyingi kuwafidia ndugu zake [ kwenye eneo hilo kuna makaburi ya babu zake] sizidhani kama unaendelea tena!!
Hata Elimu wako vizuri hawana wasomi feki wanunua vyeti kama Tanzania
Soma vizuri mkuu, kuna maeneo nimekutajia amabayo kenya ipo mbele ya nchi zote za EA.
labda kwa faida yako Kenya ipo mbele katika maeneo yafuatayo:-
kwanza, Mentally,(ina watu ambao ni very smart upstairs),
Pili, Politically( Kenya inathamini sana democrasia kuliko nchi yoyote EA mfano kumbuka kipindi cha uchaguzi wa kenya),
Tatu, economically( uchumi wa kenya ni mkubwa sana kuliko nchi zingine za EA).
Nne, Socially( Kuna huduma nzuri hospitalini na kuna experts wa kutosha mfano ishu na tatizo la ommy dimpoz hospitali iliyogundua tatizo lake ipo nchini Kenya wakati nchini kwake alisema ana cancer wakati siyo kweli, TL alitibiwa nchini kenya kabla ya kwenda Beligium, n. k.)
Umeshindwa kujenga hoja naona unaanza kukashifu watu wa pwani. Hivi mtu mbaguzi kama wewe ndiyo mtetezi wa hii serikali ??? Kuna shida pahala....Unyonyaji wa watu wanaotaka vya bure kama wewe. Watu wavivu wanaofikiri kukodisha kila raslimali waliyo nayo kwa watu ili wafaidike. Kwao kufanya kazi wanaona ni adhabu na kuhalalisha hilo wanakuambia tunahitaji wawekezaji. Tulifukuza wakoloni wa nini basi kama hatuwezi kuijenga nchi yetu wenyewe. Anyways najua wengi mnaotetea huu uchafu mna kaliba za Kikwete, za kipwani pwani za kutaka mtelemko tu. Ndiyo maana hata Dar mmeuza ardhi mliyomiliki na kuhamia kwenye vibanda nje ya jiji huku wageni wakiwatawala jiji la asili yenu.
Kumbe wa jamaa ni lofa namna hii... TOO LOW TO ARGUE WITH!! Yaani seriously unataka kuleta suala la ukanda hapa!!! Hivi huko kwenu ambako hampendi mteremko mbona ni maskini wa kutupwa vile vile?! Kama hamuuzi ardhi, mbona bado kesho mnaishi kwenye vijumba vya hovyo tena kuliko hata vya huko pwani?!Unyonyaji wa watu wanaotaka vya bure kama wewe. Watu wavivu wanaofikiri kukodisha kila raslimali waliyo nayo kwa watu ili wafaidike. Kwao kufanya kazi wanaona ni adhabu na kuhalalisha hilo wanakuambia tunahitaji wawekezaji. Tulifukuza wakoloni wa nini basi kama hatuwezi kuijenga nchi yetu wenyewe. Anyways najua wengi mnaotetea huu uchafu mna kaliba za Kikwete, za kipwani pwani za kutaka mtelemko tu. Ndiyo maana hata Dar mmeuza ardhi mliyomiliki na kuhamia kwenye vibanda nje ya jiji huku wageni wakiwatawala jiji la asili yenu.
I will get no problem... Keep on gaping!Get some help,
Your Schizophrenia is off the limits.
Hoja gani unajiona umejenga? Hoja ya kukaa kibarazani na kutegemea wageni waje wakufanyie kazi? Unang'ang'ana na keyboard eti ''wanajenga kwa fedha zao hivyo tusikatae''. Ndiyo hoja hii? Kuna cha bure dunia hii?Umeshindwa kujenga hoja naona unaanza kukashifu watu wa pwani.
Yaani nimemdharau sana huyo jamaa... leo ndo nimegundua kwanini huwa anatetea hata mambo ya kijinga... anasukumwa na "...unyumbani!"Get some help,
Your Schizophrenia is off the limits.
Niko naww mkuu, kuna watu wa ajabu kweli,.... Yan hawa ndyo waliokua wanasaini mikataba ya madini miaka 200 kwa kupata 5% alafu 95% faida kwa wawekezajiHoja gani unajiona umejenga? Hoja ya kukaa kibarazani na kutegemea wageni waje wakufanyie kazi? Unang'ang'ana na keyboard eti ''wanajenga kwa fedha zao hivyo tusikatae''. Ndiyo hoja hii? Kuna cha bure dunia hii?
Just look at his train of thought: Sasa hawa ndiyo vijana wa awamu ya tanoKumbe wa jamaa ni lofa namna hii... TOO LOW TO ARGUE WITH!! Yaani seriously unataka kuleta suala la ukanda hapa!!! Hivi huko kwenu ambako hampendi mtelekemko mbona ni maskini wa kutupwa vile vile?! Kama hamuuzi ardhi, mbona bado kesho mnaishi kwenye vijumba vya hovyo tena kuliko hata vya huko pwani?!
Hakika ni mpumbavu tu ndie anaweza kukejeli eneo moja la Tanzania manake kwa mwenye akili timamu anafahamu huko Tanzania hii kila mahali kuna umaskini wa kutupwa!!! Halafu ungekuwa na akili sijui kama ungeweza kuzungumzia suala la vibanda!!
Anyway, wacha nikupuuze manake sikufahamu kwamba una mawazo ya kijinga namna hii!!! No wonder unatetea kila kitu hata kama ni cha kipumbavu kwa sababu anayefanya ni "wa nyumbani"
Aibu sana hii!!! Unaacha kujenga hoja unaleta viroja!!
We endelea tu kutetea mambo hata kama ni ya kipumbavu manake leo nimepata jibu kwamba unasukumwa na ukabila!!!Hoja gani unajiona umejenga? Hoja ya kukaa kibarazani na kutegemea wageni waje wakufanyie kazi? Unang'ang'ana na keyboard eti ''wanajenga kwa fedha zao hivyo tusikatae''. Ndiyo hoja hii? Kuna cha bure dunia hii?
Kunitukana mimi hakutazuia bandari ya Bagamoyo kujengwa: Ni suala muda tu na wewe utashuhudia Raisi Magufuli akitia saini na utakuja hapa kumsifia. Hivyo sina wasiwasi kabisa...I will get no problem... Keep on gaping!
Na wale waliosema wanawadai Acacia Sh trilioni 425 halafu wakaja kukubali ahadi ya 700 billioni ni akina nani wale?!Niko naww mkuu, kuna watu wa ajabu kweli,.... Yan hawa ndyo waliokua wanasaini mikataba ya madini miaka 200 kwa kupata 5% alafu 95% faida kwa wawekezaji