Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
Watanzania walioamka pekee
Mojawapo ya sifa za kiongozi, tena yule alie bora ni pamoja na hii kitu inaitwa CREDIBILITY. Yaani unakuta kiongozi anaweza hata kujifunika kwa shuka la siafu. Hangatwi hata na yeyote yule licha ya uchokonozi ulio wazi. Hata akijifunikia mchwa, mijoka... et al. Hangatwi kamwe. Hata hivyo kina dudus hao, mchwa, siafu na wenzio ni highly organized, ndio maana kila mmoja na majukumu yake. Ukiwa mwenzao, hungatwi, labda ushikwe ugoni. Shubamit!
Ukijidanganya wapo waliolala na NYIE ni negation ya hao, haupo serious. Jando mmekwenda nyie?