Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

Kwenye hiyo video sijasikia hata neno moja kuwa kina cha bandari ya dar ni kirefu na meli yeyote kubwa dunian inawez Kutia nanga

HAKUNA

Bandari ya Dsm ni kichochoro ni Bandari ya wilaya kule South Africa hata huko Nchi zingine ni kabandari kalikojibana sana hakafai kwa usitawi wa uchumi kina cha maji ni kifupi sana.
 
Prishaz

Mikataba ni bomu, sabotage to all Tanzanian ports its 100% na hakuna faida.

Kwa kifupi, hakuna maslahi kwa nchi bali kwa waliokuwa wameandaa mkataba na muwekezaji ndiyo wangefaidika.

Viva Taasisi ya Rais, TISS na waliohusika kupindua meza.
 
Bandari ya Bagamoyo iikianza hakuna mtu ataenda Dubai Darban Lamu kutoa mizigo yake Nchi nyingi zitaitumia hiyo Bandari na ina faida kuliko Ndege za kununua kwa cash wajanja wakala 10% kimya kimya.
Ndege hazitawahi kuwa na faida zinaendeshwa kwa ruzuku sasa kwa nchi kama yetu hatukutakiwa kufufua hilo shirika kwa pupa ila kwa kuwa umesema ni mambo ya ukoo wa panya sawa ndivyo nchi yetu ilivyo bila kuwa na taasisi imara tutakuwa tunafanya mambo kwa zima moto hivi hivi bora liende ,kila kiongozi atakachoota usiku akiamka anaamuru kifanyike watu wanapiga makofi na pambio wakiimba wimbo wa maono na maelekezo ya rais
 
Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi hata ZK hajui return ya bandari, na risk ya Bagamoyo kuwa chini ya muwekezaji yeyote yule; awe China, USA, UK, France.

Serikali ya Tanzania hasa taasisi rais wamefanya jambo la msingi kuliko mtu yeyote anavyoweza kueleza na kuandika.

Mfano, Hapo Bagamoyo pakijengwa kwa China kumiliki atakachokifanya ni sabotage to Dar Port hapo Tanzania inakosa mapato yote ya Tanga, Mtwara na Dar Ports.

Viva Taasisi ya Rais, TISS na wote waliohusika kupindua meza.

Kwa hili naipongeza sana Tanzania.
Bandari nyingi siyo kikwazo kwa Bandari zingine, TISS usiwahusishe na hili siyo wajinga hao wanajua faida ya Bagamoyo , kule South Africa kuna Bandari nyingi Capetown, East London, Port Elizabeth na Darban kila Bandari ina kazi yake maalum, mfano Bandari ya Darban kazi yake ni mizigo ya kimataifa Nchi jirani na za kusini mwa Africa, Tambua Bandari zingine haziwezi kufa kisa Bandari ya Bagamoyo hivyo ni visingizio vya kijuha toka kwa cyprian Musiba Le mutuz na wenzao wasiojielewa.
 
Ndege hazitawahi kuwa na faida zinaendeshwa kwa ruzuku sasa kwa nchi kama yetu hatukutakiwa kufufua hilo shirika kwa pupa ila kwa kuwa umesema ni mambo ya ukoo wa panya sawa ndivyo nchi yetu ilivyo bila kuwa na taasisi imara tutakuwa tunafanya mambo kwa zima moto hivi hivi bora liende ,kila kiongozi atakachoota usiku akiamka anaamuru kifanyike watu wanapiga makofi na pambio wakiimba wimbo wa maono na maelekezo ya rais

Ukitaka kujua kwenye ununuzi wa Ndege kuna shida jiulize ni kwa nini CAG haruhusiwi kunusa huko.
 
Bandari ya Dar es salaam inajulikana ina space ndogo ya harbour meli kubwa na kina chake cha maji ni kifupi na ndio maana meli kubwa zinasimama mbali kusubilia kupakuwa meli zilizotangulia . Ku abrogate ujenzi wa bandari ya Bagamoyo usingefanywa haraka hivyo swala hili lingepelekwa bungeni wabunge wakatoa michango yao badala ya kufuta haraka ujenzi wa badari mbadala wa Bagamoyo.
 
Zitto achana na siasa kabla hujaendelea kuaibika

hujui unachokipigania ktk siasa zako,yani upo kama pikipiki unaweza ipanda kwa upande wowote

achana na siasa ndugu yangu uzeeke na heshima kidogo uliyobaki nayo maana tyr heshima yako

ishaanza kuondoka na itapotea yote kama utaendelea kuongea/kuandika mashudu ya namna hiii

Nisikilize mzeeee ifike wakati mambo mengine unyamaze "pia ni jawabu la mtu genius" kukaa kimya

ila kuendelea kuropoka ropoka kwako kutaishia kukufanya uonekane takataka hata usiwekwe ktk historia

ya wana siasa waliojaribu kuwa na u "uthubutu" ktk hii nchi
Mkuu hapo umepinga hoja za Zitto au umempinga Zitto
 
Kuna Meli gani kubwa duniani kwa sasa ambayo haziwezi kutia nanga kwenye bandari ya Dar?

Sikiliza hiyo video, kina cha bandari ya Dar Ni kikubwa zaidi na kinao uwezo wa kuhudumia meli ya ukubwa wowote duniani
Hv unazijua hzo Panamax au umeandika tu, unafikiri kina tu ndio factor ya meli kubwa kuja? una facilities za kushusha containers na ukawa na turn around nzuri? Kuna automation gani ya maana pale port? Hyo Mandela road kwa sasa tu malorry ni kero ikija Panamax itakuwaje?
 
Bandari ya Dar es salaam inajulikana ina space ndogo ya harbour meli kubwa na kina chake cha maji ni kifupi na ndio maana meli kubwa zinasimama mbali kusubilia kupakuwa meli zilizotangulia . Ku abrogate ujenzi wa bandari ya Bagamoyo usingefanywa haraka hivyo swala hili lingepelekwa bungeni wabunge wakatoa michango yao badala ya kufuta haraka ujenzi wa badari mbadala wa Bagamoyo.
Kibaya zaidi bilion 56 zililipwa fidia na baadhi ya wananchi walihama kupisha Bandari ni nani atailipa hiyo hasara? Hiyo pesa itarejeshwa na kenya?
 
simuelewi zitto tena yeye mpk na hoja zake
Ukiwa mnufaika wa mfumo 10% ununuzi wa Ndege, ujenzi wa flyover, reli na miradi yote na ukawa shabiki wa kenya juu ya Bandari ya Lamu huwezi kumuelewa kamwe.
 
As far as the offer stands kwenye ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa upande wa China bado ipo mezani na tena bado wanabembeleza serikari ya Tanzania.

Ina maana serikari ikiweka sign kwenye mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo soon ujenzi utaanza, therefore what would happen strategically to the Lamu port?

Utegemei mtu ataacha kujenga yake kwa sababu Tanzania inajenga au hao wachina kama walikuwa wanampango kufanya Tanzania transit hub wabadili long term goals za Lamu.

For the most part ni pumba tupu kutoka kichwani kwa Zitto.

Mabeberu yanatabia ya kusajili wanasiasa, people close to leaders or journalists; na kuwatumia kupeleka pressure serikarini au ku influence politician katika maamuzi either hao watu kwa kujua wanatumika au la. Zitto has served them well over the years without himself knowing he is being exploited ni yeye pia ndio alikuwa akiwapigia kifua SCHK in the past kwenye sakata la escrow.
 
Wewe Mh. Zitto ni mbunge, sasa ulishindwa kuishawishi serikali ukiwa bungeni? Unaleta habari hii JF ili iweje! Unania ya kuona wananchi wanaichukia serikali yao kwa uongo wako? Una platform kubwa (Bungeni) ya kutoa maoni yako kuliko hii ndogo isiyo na meno. Na kama unarudisha maoni yako JF, ubunge wa nini?
Ni mangap wameshauri huko bungen na ni lin waliwahi kusikilizwa, hebu katafute video ya zzk kuhusu SGR, tafuta kuhusu mambo mbalimbali ya ufisad na uoneshe ni lini walisikilizwa
 
As far as the offer stands kwenye ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa upande wa China bado ipo mezani na tena bado wanabembeleza serikari ya Tanzania.

Ina maana serikari ikiweka sign kwenye mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo soon ujenzi utaanza, therefore what would happen strategically to the Lamu?

Utegemei mtu ataacha kujenga yake kwa sababu Tanzania inajenga au hao wachina kama walikuwa wanampango kufanya Tanzania transit hub wabadili long term goals Lamu.

For the most part ni pumba tupu kutoka kichwani kwa Zitto.
China kila Nchi huenda kivingine huko Lamu wanalenga soko la Ethiopia Sudan kusini Uganda lakini kwa Tanzania kuna Malawi Zambia congo Burundi nk soko la Tanzania ni kubwa zaidi
 
Sasa inadhihirika kuwa Rais Magufuli anatumika dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa maslahi ya Jamhuri ya Kenya. Nitafafanua.
Stop trolling!
Hata hivyo Bandari zote hizi 2 zimekuwa ni Bandari za mizigo inayopita (transit goods) kwa kuwa vina vyake ni vidogo hivyo kuweza kupokea Meli ndogo tu. Meli kubwa kutoka China hufika Singapore na kupakua mizigo kuweka kwenye Meli ndogo zinazokuja kutia nanga Mombasa au Dar es Salaam. Meli kubwa kutoka Ulaya hushusha mizigo kwa Meli ndogo huko Bandari ya Salalah, Oman. Ili kuwezesha Meli kubwa kufika Pwani ya Afrika Mashariki, Nchi ndugu za Kenya na Tanzania zikaanza kuwaza na kuwazua miradi ya kufanya ili kuwa Kituo Kikubwa cha Biashara ya Bahari Eneo la Afrika Mashariki (transshipment hub). Mzozo wa kimkakati ulianzia hapo katika ya Nchi rafiki Kenya na Tanzania.
Labda ulikuwa hufahamu tuu ila ujenzi wa sasa wa bandari ya Dar utajumuisha kuongezwa kwa kina, hivyo hizo generation 4 zitaweza kutia nanga.
Baada ya Utawala wa Awamu ya Tano kuingia madarakani waliokuwa ‘coalition of the willing’ wakajisogeza karibu. Rwanda ikatangaza kuegemea Central Corridor. Tanzania ikabadili mpango wake wa Kujenga Reli kutoka Dar es Salaam kupitia Uvinza mpaka Musongati nchini Burundi na sasa ikaamua kuielekeza reli Isaka kwenda Rwanda. Badala ya Uvinza kuwa Kituo cha Biashara na Mizigo kwa Nchi za Maziwa Makuu, Sasa itakuwa Kigali, Rwanda.
Kwa hiyo ilikuwa kama mazingaombwe tuu, COW ikajisogeza karibu baada ya awamu ya tano kuingia?
Rwanda tayari imefungua Kigali Logistics Platform na Bandari huru ya Masaka (Kigali) yenye thamani ya Dola za kimarekani milioni 35. Bandari hiyo itaendeshwa na Kampuni kubwa duniani ya kuendesha Bandari iitwayo Dubai World. Kwa mkakati huu Rwanda itabeba mzigo wote kutoka DRC na kuhudumiwa kupitia Kigali, na hivyo Uvinza (Kigoma) kujifia kwa kukosa Biashara. Tanzania imepoteza kwa Rwanda.
Kongo kubwa sana hivyo hapo uvinza bado kuna uwezekano wa kujenga kipande kingine huko mbeleni. Upande ule wa Isaka uliharakishwa ili kuikaba COW.
Kenya kwa upande wake ilianza vibaya mahusiano yake na Tanzania ya utawala mpya. Katika hali ya kuweka maslahi ya nchi yao mbele wanasiasa wa Kenya waliamua kuungana katika kile kinachoitwa ‘handshake’, na ndugu Raila Amolo Odinga akapewa rasmi kazi ya kuhakikisha anasimamia hiyo diplomasia ya Kenya inafanikiwa. Propaganda kali dhidi ya Bagamoyo zikaanza na safari za Raila kuja kuonana na Magufuli zikawa nyingi pengine wakikutana Chato na pengine kwa Siri.
Leta hoja za kupangua zile hoja zilizotolewa na serikali sio kuleta bla bla.
 
China kila Nchi huenda kivingine huko Lamu wanalenga soko la Ethiopia Sudan kusini Uganda lakini kwa Tanzania kuna Malawi Zambia congo Burundi nk soko la Tanzania ni kubwa zaidi
Kwa hivyo hakuna hujuma kwa bandari ya Bagamoyo kama kichwa cha habari?
 
Gerald .M Magembe,
Hayo mambo yanajadilika na ukumbuke MoU sio mkataba,ishu ya ardhi ni kwa mujibu wa sheria za tzn na duniani linapokuja suala la uwekezaji mkubwa wa kimataifa

Pili nyingi ya vipengele vile vimekuja kwa vile Tanzania haikuwa na Investment Patner kwa hiyo kinachotakiwa ni serikali kuweka objection ya vipengele ambavyo hawaridhiki navyo lakini wakiwa na notion kwamba wawekezaji wanatafuta faida na pesa zao zirudi, trioni 22 sio mchezo. Mwisho je kwenye nchi zingine mambo ya free port mikataba imekaaje?

Lazima ikumbukwe kwamba investors anaamini nchi itafaidika kwenye multiplier effects itakayotokana na value chain ya investments.Mwekezaji lazima a impose vipengele vinavyolinda maana hakuja kutoa msaada ila kufanya biashara.
 
Mwenyew umeona umejitahd kwl pole sana
Zitto achana na siasa kabla hujaendelea kuaibika

hujui unachokipigania ktk siasa zako,yani upo kama pikipiki unaweza ipanda kwa upande wowote

achana na siasa ndugu yangu uzeeke na heshima kidogo uliyobaki nayo maana tyr heshima yako

ishaanza kuondoka na itapotea yote kama utaendelea kuongea/kuandika mashudu ya namna hiii

Nisikilize mzeeee ifike wakati mambo mengine unyamaze "pia ni jawabu la mtu genius" kukaa kimya

ila kuendelea kuropoka ropoka kwako kutaishia kukufanya uonekane takataka hata usiwekwe ktk historia

ya wana siasa waliojaribu kuwa na u "uthubutu" ktk hii nchi
 
Stop trolling!

Labda ulikuwa hufahamu tuu ila ujenzi wa sasa wa bandari ya Dar utajumuisha kuongezwa kwa kina, hivyo hizo generation 4 zitaweza kutia nanga.

Kwa hiyo ilikuwa kama mazingaombwe tuu, COW ikajisogeza karibu baada ya awamu ya tano kuingia?

Kongo kubwa sana hivyo hapo uvinza bado kuna uwezekano wa kujenga kipande kingine huko mbeleni. Upande ule wa Isaka uliharakishwa ili kuikaba COW.

Leta hoja za kupangua zile hoja zilizotolewa na serikali sio kuleta bla bla.
Visingizio vya Serikali havina mashiko hiyo Bandari ya Dsm ni uchochoro hata wachimbue wapanue vipi ni vigumu Meli kubwa Duniani kutia Nanga hapo na cha ajabu utakuta gharama za kuchimbua chini kuongeza kina cha maji ni kubwa kuliko hata kujenga Bandari mpya hata ndogo kule Lindi kwa ajili ya utalii meli za utalii zitie nanga kama kule Capetown
 
Kwakweli Zitto amewandika mazito ila tu sio mtu wakuaminika... lazima kuna kitu nyuma sio kwa maandalizi ya maandishi hayo, Zitto asingekua mnafiki angekua the best presidential material wa nchi hi, anaupeo mwingi
Kuandika ''mazito'' siyo kuandiak facts. ''Upeo'' wake unakuzwa na aina ya wananchi wa nchi yake i.e. wengi hatuna muda wa kujisomea na kutafakari hivyo inakuwa rais kabisa kutughilibu.
 
Back
Top Bottom