minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Hayo mambo yanajadilika na ukumbuke MoU sio mkataba,ishu ya ardhi ni kwa mujibu wa sheria za tzn na duniani linapokuja suala la uwekezaji mkubwa wa kimataifa
Pili nyingi ya vipengele vile vimekuja kwa vile Tzn haikuwa investment patner kwa hiyo kinachotakiwa ni serikali kuweka objection ya vipengele ambavyo hawaridhiki navyo lakini wakiwa na notion kwamba wawekezaji wanatafuta faida na pesa zao zirudi,trioni 22 sio mchezo.Mwisho je kwenye nchi zingine mambo ya free port mikataba imekaaje? Lazima ikumbukwe kwamba investors anaamini nchi itafaidika kwenye multiplier effects ya
Magufuli yupo na Lamu ya kenya haitaki Bandari ya Bagamoyo, kama kweli angekuwa anaitaka hiyo Bandari angeshakaa na Wachina na hao waarabu wakarekebisha mikataba na kufikia mwafaka Bandari ikaanza kujengwa