Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

Najiuliza kwanini Magufuli pamoja na kuwapenda kwake wachina na kuwaita marafiki wa kweli lakini bado aliukataa huu mradi wao, nadhani hapa lipo la kutafakari, tusiende kishabiki tu.
Hoja ni uwazi mtakaba uletwe Hapa kwenye bunge la Jamhuri ya JF tuupitie kifungu kimoja baada ya kingine hizo mambo za sijui nani alisema ni porojo
 
Mhe.rais amesema wana anza mazungumzo sio ujenzi..muwe mnaelewa ...wamefufua mazungumzo maana yake yapo yatakayo boroshwa ktk ule mkataba wa awali kama itaonekana haifai bac haitajengwa ....
 
Mhe.rais amesema wana anza mazungumzo sio ujenzi..muwe mnaelewa ...wamefufua mazungumzo maana yake yapo yatakayo boroshwa ktk ule mkataba wa awali kama itaonekana haifai bac haitajengwa ...

Hapo itakuwa sawa....Luangalila wewe ni Great Thinker wa ukweli. Maana watu wengine wanatuchanganya tu
 
Kwanini ile proposal ya kwanza isiwekwe hadharani tusisomee wenyewe? JPM atleast alipoint out vipengele vya kipigaji kusema ni kichaa pekee angeweza kukubali. Waliokuwa wanamshauri JPM wapo wapi? Mama kawatupa nje?

Mama Samia sijui anakuwa guided na nani? Hii ni hatari kwa usalama wa Nchi
JPM alitoa maoni yake baada ya kupitia siwezi kukubali au kukataa kwasabu JPM alisema,uletwe mezani kila mtu aupitie tatizo mikataba ni siri kwanini?
 
Inasikitisha sana kuona rais ambaye ni muisalam ambaye anashinda kutwa nzima amefunika kichwa chake huko China kuna kabila la Uyghurs ambalo wamesema ni haki yako kuabudi uislam wote wamekusanywa na kuwekwa kwenye concentration camp, shame on us!
Hela ndiyo zinaabudiwa kuliko hata imani raisi anayo shinda ana valia ushugi. Hawa ndiyo wawekezaji wa bagamoyo kwa muislam mwingine ambaye ni kama foreigner kwenye nchi yake anayezungukwa na watu masikini hohehahe wa kizaramo, elimu duni na afya mbili. …Magufuli alikuwa na inside informations za madudu yote ndiyo maana amekatishwa uhai wake na hicho ndiyo kisa kilichobaki mfikisha huko aliko
. Kinachofuatia ni kuwamaliza asikali watiifu wa Magufuli period, but time will tell.
 
Raia wa tz anaishiaga,kulalamuka na kupiga kelele tu mawazo yake hata kama yana ukweli
Hayafanyiwi kazi

Ova
 
huu mradi tusipokua makini tutakua Corony wenzetu wanatafuta Ardhinkwa hali na mali
 
Back
Top Bottom