Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndo inavyotakiwa iwe, kuwe na team ya kupitia mkataba na uwekwe wazi kwa wananchi kwa sababu nchi hii si viongozi pekee.
Dhalimu aliyeko motoni aliweka mikataba wazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo inavyotakiwa iwe, kuwe na team ya kupitia mkataba na uwekwe wazi kwa wananchi kwa sababu nchi hii si viongozi pekee.
Hatuko hapa kutetea mtu. Huyu dhalimu mimi simjui lakini mabadiliko ni muhimuDhalimu aliyeko motoni aliweka mikataba wazi?
Hatuko hapa kutetea mtu. Huyu dhalimu mimi simjui lakini mabadiliko ni muhimu
Nimekwambia dhalimu simjuhi...wewe endelea tu na yakoUlikuwa wapi kutaka mabadiliko kipindi dhalimu anaonea watu na kufanya atakavyo?
Hoja ni uwazi mtakaba uletwe Hapa kwenye bunge la Jamhuri ya JF tuupitie kifungu kimoja baada ya kingine hizo mambo za sijui nani alisema ni porojoNajiuliza kwanini Magufuli pamoja na kuwapenda kwake wachina na kuwaita marafiki wa kweli lakini bado aliukataa huu mradi wao, nadhani hapa lipo la kutafakari, tusiende kishabiki tu.
Kwahiyo hutaki wakosoeShida ni kwamba Kuna kuhoji kwa kutuka kufaham na kuhoji kwa kutaka kukosoa
Mhe.rais amesema wana anza mazungumzo sio ujenzi..muwe mnaelewa ...wamefufua mazungumzo maana yake yapo yatakayo boroshwa ktk ule mkataba wa awali kama itaonekana haifai bac haitajengwa ...
Nimekwambia dhalimu simjuhi...wewe endelea tu na yako
JPM alitoa maoni yake baada ya kupitia siwezi kukubali au kukataa kwasabu JPM alisema,uletwe mezani kila mtu aupitie tatizo mikataba ni siri kwanini?Kwanini ile proposal ya kwanza isiwekwe hadharani tusisomee wenyewe? JPM atleast alipoint out vipengele vya kipigaji kusema ni kichaa pekee angeweza kukubali. Waliokuwa wanamshauri JPM wapo wapi? Mama kawatupa nje?
Mama Samia sijui anakuwa guided na nani? Hii ni hatari kwa usalama wa Nchi
Bahati nzuri silazimishwi kuelewa kwa sababu mimi si under-ageUtamuelewa tu mbona.
Bahati nzuri silazimishwi kuelewa kwa sababu mimi si under-age
ccm wana majibu watoe password zao kwenye mikata tuipitie wenyeweKwa kuna mkataba ulisha wahi kuwekwa wazi hapa Tz?
Mbona ndege zilinunuliwa kimya na hukusema?
Hana siku nyingi za kuishi atakufa na kisukari kinachomsumbua kwa muda mrefuMfuasi wake ndugai anasema alipotoshwa
Tangu lini iliwahi kuwa laini