Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

Hapana Magufuli hakuacha , wanasema mazungumzo yalikuwa yanaandaliwa
Magufuli aliharibu sana kwenye suala la gas.

Baada ya kugundua kuwa ameharinu, akaanza kuhangaika kutaka kuurudisha huo mradi, akagonga mwamba. Mwaka 2020, wawekezaji wakaahidi kuwa wanaweza kurudi tena Tanzania, lakini haitakuwa kabla ya miaka mitano. Lakini kimsingi ni kwamba waliona dhahiri kuwa utawala wa Magufuli siyo wa kuaminika.
 
Rais bora kuwahi kutokea Tanzania🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa tumehama kwenye Point yangu ya Mwanzo..., Is it Diplomatically Correct kwa Tanzania kusema (kusema sio kuwaza) kwamba huu mgogoro ni fursa kwetu ?
Kwani kipi kisichojulikana? Kipi cha kificho? Kwani kansela wa Ujerumani hajatangaza hadharani kusitisha mradi wa Gesi wa Urusi na Ujerumani/ Ulaya?
 
Sio vizuri kumpa lawama! Ni kweli kuna sehemu alikosea Ila kazi ya Samia iwe ni kurekebisha na kwenda mbele
 
Sio 30Million ni $30 Billion, na hiyo kazi kwa sasa inaendelea.
Mkuu mm nimeshangaa tu kuwa jamaa anasema 30Mus$ ni hela ndefu...ila baada ya kusoma comments zako ndo nikaona umemkosoa na kusema 30billion$us...Haya Mambo sio mgeni sa a ingawa sio mfuatiliaji Sana..ila migodi ya dhahabu inagharimu zaidi ya 300mus$ kuanzishwa na watu wanaweka mpunga...ndo maana nikasema kama ni only 30m$ Wala hatuna haja ya muwekezaji. Shida ya hii nchi siasa nyingi Sana. Mm naamini wizara ya nishati na madini wakati ule wangemwacha Muhongo na wakaacha kumuingilia Leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa kwenye gesi...sema nn mkuu ndo maana watu wengi wmefika sehemu wanasema acha nitafute ugali wa watoto wangu tu.
 
Tungeanza toka 2013 leo tungeshaanza uza
 
Kwani hiyo gesi yenyewe mnayo au mshawauzia wengine, haya tanzania mnamiliki asilimia ngapi..
Halafu ina maana hiyo gesi duniani baada ya mrusi, ndio tunayo sisi? Wengine hawana? Afrika nchi ngapi zina gesi?

Nchi hii haiwezi kupiga hatua sababu tumewakabidhi watu wasio na maono na wabinafsi mnooo.
 
Angola, Equatorial Guinea, Gabon, Sudan na Nigeria wote ni wazalishaji wakubwa wa mafuta dunia ila umaskini uliokithiri kwa watu wengi haujaondoka. Sisi ni tofauti sana na Waafrika wengine?

Pia utajiri wa nchi huamiliwa zaidi na aina ya watu wake na akili zao, ndio maana unaweza kuona nchi zenye rasilimali kidogo sana kama Japan, Israel, Singapore, Belgium, Switzerland, Taiwan zimeweza kuendelea zikiwa na rasilimali chache sana
 
Kama watatoa bure kama kawaida yao unategemea hao wadau watakataa ?, Tena huenda wakachukua na kwenda kuwauzia Japana na China....

Shida hatujui what's behind tunalishwa tu mavitu..., USA ana-stake kubwa sana kwenye hii LNG na amewekeza vilivyo na huenda anashangalia yanayotokea Urusi na Urafiki wake na NATO kama issue zikienda pear shaped lazima awabane urafiki wao utakuwa murua zaidi kama wakideal na yeye na LNG yake...
 
Nchi zote ulizozitaja sio Tanzania. Hata Algeria ni Africa ila wanatumia vizuri resources zao

Watanzania tuna akili nyingi sana. Tulip uone matokeo ndo useme
 
Acha nadharia lete uthibitisho
 
Acha nadharia lete uthibitisho
Uthibitisho utoke wapi ? Kuna Mikataba iliyo transparent ?..., Uthibitisho ni yaliyotokea na yanayotokea ni Mkataba gani hii nchi iliyoshawahi kuingia wenye manufaa kwa Taifa ?

Mengine sio sisi tu tunashangaa hata Kiongozi mwenyewe anakuja kushituka..., Au sio sisi hapa Juzi kati iligundulika Mkataba wa Ujenzi wa Meli ulikuwa wa Madalali wa Uturuki....
 
Kumbe Uko kwenye nadharia na sio facts?

Endelea kubwabwaja tu
 
Kwa hiyo kwa maoni yako tuachane na huu mradi wa LNG mpk hilo bwawa liishe?
 
Hapana! Tusingefaidika. Mwaka 2013 hakukuwa na zile sheria zilizotungwa mwaka 2014 ambazo ndo sheria Bora zaidi zinazotuhakikishia kufaidika na rasilimali za Gesi na Mafuta

Ttukitumia vizuri zile sheria zetu, Tutafaidika massively!


Tungeanza toka 2013 leo tungeshaanza uza
 
Utapata sonono kwa kujijazia mambo ya kijinga kichwani kwako
 
Nchi zote ulizozitaja sio Tanzania. Hata Algeria ni Africa ila wanatumia vizuri resources zao

Watanzania tuna akili nyingi sana. Tulip uone matokeo ndo useme
Gesi gani? Tanzania haichimbi gesi, gesi inachimbwa na makampuni na ndio wanaamua wamuuzie nani na kwa gharama gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…