Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa


Maandishi mengi Ila hakuna kitu.

Unajua maana ya ku outsource kweli? Hao watengeneza Bomba sio outsourced. Wana simama kama sub-constructor.

Nachopinga na ambacho hakipo ni kampuni ya nje kwenda kuwafanyia service kwenye vifaa au mitambo yao. Hiyo hakuna.

Na vifaa vinanunuliwa under warranty na service charges plus transportation kwenda kwa supplier au manufacturer inakuwa covered kwenye warranty certificate.

Again acha uongo. Maelezo marefuuuu ili kutetea hoja yako Ila hamna kitu.
 
Nakuuliza tu suali Kwa Nini TBS, SGS, B.VITALIS, CALTES huwa wanaenda YAPI MERKEZ kukagua baadhi ya vifaa vyao hasa ambavyo inatakiwa vifanyiwe calibration, ili wavipatie certification ya kuonyesha vifaa hivyo viko katka ubora gani?, nazoezi hilo inatakiwa lifanyike Kila mwaka Unafikiri Kwa Nini hawavikagui wenyewe?.

Then baada yakujibu Hilo suali ujiite wewe nimjinga.

Nikuongezee tu elimu nyingine Kuna baadhi ya vifaa hata ikiwa nivipya na vinawarant ya miaka mitano haviruhusiwi kutumika mpaka viwe vimechekiwa na third party ambae yupo accredited kwenye service hiyo, na awe ametimiza masharti yote ya ISO 2017 hapa tunazungumzia ubora wavifaa, Sasa. Nahilo linaangaliwa na third party ambae hanufaiki na mradi na nitakwa lakisheria katika nchi yeyote Dunian ambayo nimwanachma wa ISO.
 
Mwendazake kwanini alikurupuka kusaini mikataba huku akijua hamna hela??
Au ndio alikuwa anatafuta kiki
Si ndo maana alikuwa anaminya mishahara ya watu,..anapekua akaunti za watu,..haajiri,..katesa watu mambo yamekuwa vilevile tu!
 

Acha kupotosha. Hawaendi likizo Bali wanasitisha mkataba.
 

TBS anaenda kuchukua sample kupima ubora. Hafanyi calibration ya chochote. Kwanza sio majukumu yake. Hao wengine pia ni watu wa ubora. Na hawajawahi kukagua ubora hapa ndani ya nchi.. Wanatumika huko nje kukagua kabla vitu havijaja huku.

Pili, ni taasisi au idara za Serikali tu ndio zinaenda kufanya calibration, mfano wakalala wa vipimo.. Au watu wa mionzi hukagua mashine zile za kupima density ya udongo ambazo zinakuwaga na radioactive materials.

Hivyo acha uongo, hakuna private company inakwenda kufanya service ya mtambo au kifaa chochote cha mkandarasi.
 
Africa is for africa
 
Mkuu unaenda gugo hata kujielimisha kabla hujaandika vitu, kwanza Tbs ndio government entity pekee inayofanya calibration hapa nchini, nahizo nilizokutajia zote zinafanya calibration. Then ukishajielimisha juu yahizo kazi uje uendelee na mada, nenda gugo andika tu CALIBRATION COMPANY IN TANZANIA then ukimaliza urudi hapa.

Pili wakala wa vipimo hafanyi calibration Bali anafanya VERIFICATION, then ukijua utofaut wa CALIBRATION na VERIFICATION urudi tuendelee na mada.

Soma screenshot hapa chini ili ujue kama TBS kama wanafanya calibration au wanafanyi. Na pili lazima ujue sifa Gani zinazingatiwa ili kampuni ifanye hizo kazi, kwahio YAPI kwenye suala la calibration Wana outsource au hawafanyi?.
 

Attachments

  • Screenshot_20231209-224030.jpg
    128.4 KB · Views: 1

Haujielewi wewe..

Yani TBS ana fanya calibration halafu wakala wa vipimo ana fanya verification?

Wewe kweli wa kupimwa mkojo. Wewe ndio mtu anakuamini uiwakilishe kampuni yake? Hahaaha
 
Mchina alijitolea kugharamia mwanza Dsm, Tabora Kigoma fedha yote, JPM kwa kusaka ten percent akakataa, akaanza kuzunguka kwenye vibenki vya kariakoo kukopa
Oyaa we chawa unajua wakandarasi wa ndani wanadai kiasi gani? Toka September unajua kama hazina hakuna hata pesa ya kulipa mil 200 ya wakandarasi wadogo wa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…