Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

Mwendazake kwanini alikurupuka kusaini mikataba huku akijua hamna hela??
Au ndio alikuwa anatafuta kiki
Kiki gani lile ni Jembe kwa hakika WaTz hatutomsahau kwa mema aliyo yafanya, Magufuri alifanya makubwa sana ambayo hayakufanywa na Viongozi wengine waliopita.

Alidhibiti mafisadi ama kwa hakika Leo angekuwopo Magu huo Mradi mpaka saivi ungekuwa umeshakamilika. Ila kwa vile Kuna mafisadi, Rushwa nyingi Hela zinatolewa watu wanakula naa hakuna anaye wafuatilia ndo maana miradi ya Magu alioianzisha haiendi, kwa sabab hamna anayeisimamia.

Mungu amkumbuke huko aliko Mzee Magu watanzania tunamkumbuka sana kwa mema yake
 
Huyo ni fisadi kama mafisadi wengine! Nyinyi ndio wale mlikuwa mkiitwa "wanyonge" mnashangilia na kupiga vigelegele
 
Kiki gani lile ni Jembe kwa hakika WaTz hatutomsahau kwa mema aliyo yafanya, Magufuri alifanya makubwa sana ambayo hayakufanywa na Viongozi wengine waliopita.
Alidhibiti mafisadi ama kwa hakika Leo angekuwopo Magu huo Mradi mpaka saivi ungekuwa umeshakamilika. Ila kwa vile Kuna mafisadi, Rushwa nyingi Hela zinatolewa watu wanakula naa hakuna anaye wafuatilia ndo maana miradi ya Magu alioianzisha haiendi, kwa sabab hamna anayeisimamia.
Mungu amkumbuke huko aliko Mzee Magu watanzania tunamkumbuka sana kwa mema yake
Bado unaishi nyikani.Usije mjini utasumbua wananchi.
 
Hizi nitaarifa mbaya sana Kwa watanzania wenzetu, kaya Zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya Moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakaz wake stahiki zao, batch yakwanza imelipwa ijumatatu iliyopita, batch yapili majina yatatoka Jumatatu yakeshokutwa watu wameshaanza kurudi makwao.
Kwa hiyo batch ya pili majina yatatoka Ijumatatu pia?
 
Hizi nitaarifa mbaya sana Kwa watanzania wenzetu, kaya Zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya Moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakaz wake stahiki zao, batch yakwanza imelipwa ijumatatu iliyopita, batch yapili majina yatatoka Jumatatu yakeshokutwa watu wameshaanza kurudi makwao.
10%
 
Nazungumza jambo nililo na uhakika nalo.
.

Huna unalojua..

Mradi kapewa mchina.. Hivyo mchina ndio atatoa ajira upya. Atafanya recruitment kwa vigezo vyake.

Mradi una Endelea.. Ila mkandarasi ndio amebadilishwa.
 
Hizi nitaarifa mbaya sana Kwa watanzania wenzetu, kaya Zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya Moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakaz wake stahiki zao, batch yakwanza imelipwa ijumatatu iliyopita, batch yapili majina yatatoka Jumatatu yakeshokutwa watu wameshaanza kurudi makwao.
Huku leo mabilioni yameteketezwa kwenye shamrashamra za uhuru
 
Hizi nitaarifa mbaya sana Kwa watanzania wenzetu, kaya Zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya Moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakaz wake stahiki zao, batch yakwanza imelipwa ijumatatu iliyopita, batch yapili majina yatatoka Jumatatu yakeshokutwa watu wameshaanza kurudi makwao.
watakuwa wamekimbia mvua tu inanyesha mno. ama la, mkataba unakuwa umevunjwa hapo, aidha wao au sisi kuna mmoja anakuja kulipa mabilioni hapo mbeleni. hii ndio Tanzania.
 
Back
Top Bottom