Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

Huyo ni fisadi kama mafisadi wengine! Nyinyi ndio wale mlikuwa mkiitwa "wanyonge" mnashangilia na kupiga vigelegele
PUMBAV!!!
Huyu ndugu yenu Alie ingia kipi Cha maana alicho fanya tangu mwendazake aondoke?

Matendo ya Mtu huongea Magufuri alikua kujali wanyonge aliboresha Miundombinu, aliondoa mafisadi serikarini na kama ulikupo Moja wapi ya mafisadi na Wala Rushwa huwez kumpenda Magu ni lazima umchukie, lakini sisi wapenda maendeleo ya Taifa tulijivunia Magufuri na tunamkumbuka Daima.
Mafisadi nyie na Wala Rushwa hamuwez kumpenda
 
Hizi nitaarifa mbaya sana Kwa watanzania wenzetu, kaya Zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya Moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-isaka, kusimama, na YAPS MERKEZ kuanza kulipa wafanyakaz wake stahiki zao, batch yakwanza imelipwa ijumatatu iliyopita, batch yapili majina yatatoka Jumatatu yakeshokutwa watu wameshaanza kurudi makwao.
Serekali yetu isiogope kukopa world bank chukueni fedha za kutosha kumaliza mradi mzima na mabehewa na vichwa vyatreni msikope roborobo.

CC,
Mwigulu Nchemba (mb)
Finance ministers!
 
Je hii ni mtifuano na chokochoko baina ya mataifa mawili yanayotaka ushawishi wao Tanzania na ukanda huu wa Afrika?

Balozi Dr. Mehmet Güllüoğlu mtaalamu wa kufanya kazi katika sehemu zenye migogoro dunia atumie uzoefu wake kuhakikisha mradi huu wa SGR reli mpya unafanikiwa azma yake na kuwa suala la DP World toka UAE kuchukua bandari ya Dar es Salaam haifanyi Turkey kuweka mbinyo (pressure) kupitia Yapi Merkezi isusue mradi huu kiaina kutokana na tofauti baina ya Turkey na UAE kugombania ushawishi Tanzania

tarihiyarimada-rQlgQ.jpg

dr-mehmet-gulluoglu-07Pvj.jpg

Mehmet Güllüoğlu​

Head, Disaster and Emergency Management Presidency (AFAD)​

Having graduated from Marmara University Faculty of Medicine, Dr. Mehmet Güllüoğlu successfully completed various training programs such as Family Medicine, Humanitarian Aid and European Union projects and participated in numerous humanitarian activities within the scope of non-governmental organizations.

He worked as a volunteer doctor in Palestine (West Bank and Gaza), Egypt, Jordan, Lebanon, Syria, Qatar, Kenya and Somalia. He worked as a director at Istanbul Provincial Health Directorate and Yeryüzü Doktorları Association.

Currently a Ph.D. student in the Public Health program at Istanbul University School of Medicine, Mehmet Güllüoğlu was also the General Manager of the Turkish Red Crescent between the years 2013 and 2017.

During his service as the General Director of the Turkish Red Crescent, Güllüoğlu led efforts to ensure that three million Syrian guests live in the most humane conditions in our country and played an important role in the implementation of the Migration Services Directorate established within the Red Crescent and many other projects. Dr. Mehmet Güllüoğlu has been involved in all the humanitarian operations in Somalia, Syria, Pakistan and Gaza conducted by the Red Crescent and worked to increase the awareness about such activities by the international humanitarian actors as especially the International Federation of Red Crescent-Red Cross Societies.

Appointed in August 2017, Dr. Mehmet Güllüoğlu currently serves as the Head of the Disaster and Emergency Management Department of the Ministry of Interior in Turkey and is also a member of the Social Policy Board of the Presidency
 
GEOPOLITICS
Masuala ya DP World na SGR reli mpya yanatishia usalama wa nchi

1702130740947.png

Kwa wanaootizama mbali kundi hizi mbili za DP World Dubai UAE na Yerpi Merkez Turkey zinaelekea kukoleza moto nchi kuyumba kiuchumi na hatimaye makubwa kutokea.

Popote pale emerati ya UAE na Uturuki zilipojipenyeza nchi zisipokuwa makini zimeenda kuyumba ...

Nchi hizi mbili zinaushindani za ushawishi baina yao ngambo. Suala la DP World Dubai kupewa bandari zote bure milele na ushoroba (corridors) bandari kavu, njia za ugavi Tanzania huku nchi ya Uturuki pia ikiona reli mpya ya SGR inaweza kumezwa mapesa ya UAE inapelekea Turkey kutofurashishwa na ushindani huu wa ushawishi katika eneo hili muhimu ki jiopolitiki Geopolitics

Baraza la Ulaya la Mahusiano kimataifa - European Council on Foreign Relations ECFR katika pepa lake la kiuchunguzi limeandika ripoti ndefu pana kuhusu ushindani wa nchi hizi mbili katika nchi ngeni za ngambo na madhara wanayoacha ktk nchi hizo ngeni
Turkey and the UAE have engaged in a series of proxy political-military conflicts between the Horn of Africa and the eastern Mediterranean. Beyond this, their rivalry plays out in the halls of Washington and Brussels, the global media discourse, the energy industry, and, lately, ports and the high seas.

Kujipenyeza katika nchi fulani yenye manufaa huzua husuda na kupelekea kutafuta mikakati ya kutibua upenyezi wa mwenzie.

Nina hakika Chuo cha Ulinzi wa Taifa - NDC Tanzania kinaendelea kuwapiga msasa na kutoa somo kwa watendaji serikalini kuhusu maamuzi sahihi kwa manufaa ya taifa

MKUU WA CHUO AELEZEA UPANA WA MAAMUZI
meja jenerali Ibrahim Mhona, mkuu wa chuo cha ulinzi taifa NDC - National Defence College akizungumzia masomo yanayotolewa chuoni hapo
 
Huna unalojua..

Mradi kapewa mchina.. Hivyo mchina ndio atatoa ajira upya. Atafanya recruitment kwa vigezo vyake.

Mradi una Endelea.. Ila mkandarasi ndio amebadilishwa.
mwezi
Kwahio unakubali YAPI MERKEZ anafungasha virago?.

Nawalioajiriwa na YAPI MERKEZ wanaachishwa kazi?.

Nakama kapewa mchina ,hatujui lini mchina ataanza kazi?. Lakini Kwa Nini apewe CCEC nasio CHINA RAILWAY 15 Anaehusika na miradi ha Reli, hata mbeya, Pwani na Lindi kapewa china RAILWAY 15, hata mbeya mwezi wa nne mwakani wataanza marekebuso ya Reli hawahawa CHINA RAILWAY 15,maana ndio kampuni yakichina inayohusika naujenzi wa Reli. Nikusaidie mkuu Mimi kazi zangu nadeala namakampuni mengi ya haya ya nchi mbali mbali hasa ya construction so naelewa nalokuambia.
 
Unless unazungumzia kipande cha kuanzia Isaka , ila Tabora to Kigoma alishinda mchina mpaka Kigoma na wako kwenyee maandalizi ya Camp. Kama Yapi ameshindwa wapewe wachina tu ijengwe kwa mkopo.
Sasa mkuu lot no 4 ni ipi?. Lot no 4 ni TABORA Kwenda ISAKA.
 
Ni kweli kazi wameuza kampuni spain au philipine sina hakika lakini ukweli wanafungashaaa......nadhani lot 3 atapewa mchina pia
Sasa tukiwaeleza watu wanakua wabishi kua tunachafua Serikali, Serikali unaichafua Kwa kusema ukweli?.
 
mwezi
Kwahio unakubali YAPI MERKEZ anafungasha virago?.

Nawalioajiriwa na YAPI MERKEZ wanaachishwa kazi?.

Nakama kapewa mchina ,hatujui lini mchina ataanza kazi?. Lakini Kwa Nini apewe CCEC nasio CHINA RAILWAY 15 Anaehusika na miradi ha Reli, hata mbeya, Pwani na Lindi kapewa china RAILWAY 15, hata mbeya mwezi wa nne mwakani wataanza marekebuso ya Reli hawahawa CHINA RAILWAY 15,maana ndio kampuni yakichina inayohusika naujenzi wa Reli. Nikusaidie mkuu Mimi kazi zangu nadeala namakampuni mengi ya haya ya nchi mbali mbali hasa ya construction so naelewa nalokuambia.

Mradi wa SGR unaendelea.

Mkandarasi tu ndio amebadilishwa. Sasa hayo mengine ni ya kwako Sina ufahamu nayo.
 
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.

Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.
MTANIKUMBUKA
 
Mbowe amekwenda Hanang na kavaa gwanda😎
 
Mwendazake kwanini alikurupuka kusaini mikataba huku akijua hamna hela??
Au ndio alikuwa anatafuta kiki
Kwanini usiseme jamaa alkua na akili ya kutumia raslimali za nchi kwa kuijenga nchi? Vp kama wanagawana pesa na kupotezea miradi
 
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.

Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.
huu uongo huwa mnautoa wapi
 
Back
Top Bottom