Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned.
Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa zinamilikiwa na USSR. Kulikuwa na zaidi ya nukes 1700.
Sasa wamehuisha baadhi kwa msaada wa mataifa rafiki (tangu mwaka 2014) na wanakaribia kuanza kufanya majaribio.
Hizi ndio salamu za Zelensky kwa wavamizi.