Kweli
Na alivyo na akili chache anaacha kutumia diplomasia na ushawishi anatumia nguvu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na alivyo na akili chache anaacha kutumia diplomasia na ushawishi anatumia nguvu.
Vipi mradi unaendeleaje?Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned.
Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa zinamilikiwa na USSR. Kulikuwa na zaidi ya nukes 1700.
Sasa wamehuisha baadhi kwa msaada wa mataifa rafiki (tangu mwaka 2014) na wanakaribia kuanza kufanya majaribio.
Hizi ndio salamu za Zelensky kwa wavamizi.
Majibu utayapata muda si mrefu.
Kama haziekwi mitandaoni hizo zaugumu wamaisha umezipatia wapiMaisha urusi ni magumu sana sasa hivi. Ile nchi ni ya kidikteta ndio maana taarifa haziwekwi sana mitandaoni. Pia makampuni mengi ambayo yangeihabarisha dunia yameshaondoka kule.
Vipo vyanzo vingine vya kuaminika.Kama haziekwi mitandaoni hizo zaugumu wamaisha umezipatia wapi
TAIFA TEULE MAISHA MEMA KABISA
Sent using Jamii Forums mobile app