Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Uvamizi wakuondoa magaidi kama wa UKRO NAZI unasapotiwa DUNIA nzimaUvamizi wa nchi yoyote hapa duniani ninaupinga. Urusi yupo Syria lakini hatuiti uvamizi. Alitakiwa kutumia njia za kidiplomasia au ujasusi kama alivyofanya Belarus lakini sio uvamizi.
Nyie msio elewa athari za MANAZI na UGAIDI wao ndio mtapinga
Inatakiwa DUNIA yawaliostaarabika iungane na anachokiendeleza RUSSIA pale UKRAINE
Ili tupate kua na DUNIA ilio salama bila MANAZI wenye misimamo mikali
Bora upange nyumba moja na Alshabab Daesh Is kuliko hao UKRO NAZI hao hawafai hata dakika
taifa teule la RUSSIA liachwe liendelee kuwadhibiti hao MAFEDHULI
Sent using Jamii Forums mobile app