Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #21
Vita vya nyuklia ni hatari sana kwa dunia yote na ndio maana hatuungi mkono uvamizi aliofanya urusi.Lakini mkuu kuna muda ukifika tuache ushabiki kuhusu Vita vya nuclear Kwa Sababu dunia nzima itaathirika hata afrika.Kwa mfano Ukraine akishambulia urusi kama anauwezo huo na urusi hataacha kushambulia Ukraine Tu hata walioko nyuma ya Ukraine yaani NATO alafu inakuwa Vita vya dunia na urusi ndo anasilaha za nuclear advanced kuliko yoyote.vibomu vidogodogo vya nuclear havimtishi mrussia.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kuhusu ukali wa silaha za aina yoyote hapa duniani hakuna anayemfikia mmarekani. Urusi hana uchumi wa kuweza kumaintain advanced nuclear weapons nyingi.