Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Uvamizi wakuondoa magaidi kama wa UKRO NAZI unasapotiwa DUNIA nzimaUvamizi wa nchi yoyote hapa duniani ninaupinga. Urusi yupo Syria lakini hatuiti uvamizi. Alitakiwa kutumia njia za kidiplomasia au ujasusi kama alivyofanya Belarus lakini sio uvamizi.
Zimeshindwa tungua drone ilizoteketeza refinery yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwaka huu mtamaliza Kila aina ya mitindo ya kujifariji. Yeye azilete tu Kuna s500 na S 550 zinatungua km 400 zinasubiri kuzitungua na zitadondokea kwake ukrein hapo sasa.
Walihitaji kujitawala kwa kila kitu, hawakuwa na uchaguzi mzuri kuliko walichofanyaHawa waukrein sijui ni wazungu wa wapi hawana akili. Yaani akili zao ni kama za africa we unaharibu nyuklia kwa kuahidiwa kulindwa na nchi nyingine.
Utawala wa Nazi ulishaanguka kitambo. Putin na urusi ndio zitaishia shimoni.Uvamizi wakuondoa magaidi kama wa UKRO NAZI unasapotiwa DUNIA nzima
Nyie msio elewa athari za MANAZI na UGAIDI wao ndio mtapinga
Inatakiwa DUNIA yawaliostaarabika iungane na anachokiendeleza RUSSIA pale UKRAINE
Ili tupate kua na DUNIA ilio salama bila MANAZI wenye misimamo mikali
Bora upange nyumba moja na Alshabab Daesh Is kuliko hao UKRO NAZI hao hawafai hata dakika
taifa teule la RUSSIA liachwe liendelee kuwadhibiti hao MAFEDHULI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa kwa utulivu ulione picha linalokuja. Urusi inakaribia kuifahamu nuclear.🤣🤣🤣 Eti mradi wa siri huku ww upo Buza kwa mpalange unajua,dunia hii inavituko🤣🤣🤣
Sawa mcha🐐 wa masuala ya kiusalama ya Ukraine 🤣🤣🤣
Hapo umenukuu vibaya. Kwenye masuala ya silaha ukweli kamili hakuna anayeujua.Sasa kama US hawatangazi wewe ulijuwa kutoka kwenye source hipi kwamba Wamerikani ndio wanamiliki silaha kali Duniani?
Endelea kujiliwaza kwa mashairi mazuri ili ukweli huo hapo😔😔😔Kaa kwa utulivu ulione picha linalokuja. Urusi inakaribia kuifahamu nuclear.
Jisomee hapa, nadhani bado hauna updates.Endelea kujiliwaza kwa mashairi mazuri ili ukweli huo hapo😔😔😔
This is embarassing,source yako uzi wa mtu dah,check hii.Jisomee hapa, nadhani bado hauna updates.
Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire
Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati. Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium. Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na...www.jamiiforums.com
Nitasoma.This is embarassing,source yako uzi wa mtu dah,check hii.
Hyo ni BBC na source yao ni American scientist,yaani mtu awe na mabomu yaliyoexpire alafu aogopewe ama atishie wengine,we yakuingia kichwani?na yangekua yamehaeibika,kama ukraine anaweza kuunda ye anashindwaje vilee??? Soma uje hapa
Samahani mkuu, tupo pamoja - CHEERS.Hapo umenukuu vibaya. Kwenye masuala ya silaha ukweli kamili hakuna anayeujua.
Walihamisha plutonium sio facilities.Anahuisha zipi wakati zote aliambiwa azihamishie Russia baada ya USSR kuanguka? Na waliohusika ni pamoja na hao hao mabwana zake US na West waliokubaliana naye kuzihamishia Russia.
Tanzania kuna usiri sanaWabongo kwa ujuaji,Dunia yote inasubiri.Mnajua siri zote za Serikali zote Duniani lakini hamna mlijualo kuhusu siri za Nchi yenu
Urusi yupo kwenye hali mbaya sana kiusalama.Mabomu kutokea Ukraine mpaka Moscow ni dakika 7 tu. Hayo machuma yataamka wakati mabomu yameshatua.
Kinachomfanya Putin apambane kukamata mashariki ya Ukraine ni katika jitihada za kufanya angalau umbali uongezeke pawe na minimum dakika 10 kabla Kremlin haijawa majivu ili interceptor zao ziweze kuamka mapema kabla mabomu hayajazivuka..
Na alivyo na akili chache anaacha kutumia diplomasia na ushawishi anatumia nguvu.Urusi yupo kwenye hali mbaya sana kiusalama.
Haujanguka vizuri ndio maana tunaushughulikiaUtawala wa Nazi ulishaanguka kitambo. Putin na urusi ndio zitaishia shimoni.
Hatuna shida na diplomasia sisi warusi weupe kwa weusiNa alivyo na akili chache anaacha kutumia diplomasia na ushawishi anatumia nguvu.
Watu milioni tano wamekimbia urusi kwasababu ya vikwazo. Madhara ya matumizi ya nguvu yataendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo.Hatuna shida na diplomasia sisi warusi weupe kwa weusi
Shida yetu UKRAINE pawe majivu tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule mmoja aliamini ushirikina kuliko science mwisho wa siku corona ikapita naye"Ametangazwa kuwa daktari bingwa aliemaliza corona duniani."[emoji16][emoji16][emoji16]