Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

Kila jambo lina pros na cons zake ,kama pros ni kubwa kuliko cons hatuna budi kutekeleza mradi huo,tusiwe wa kulishwa tu taarifa,lazima tuweze kutafakari pia
 
Itatubidi kama Taifa kuweka mikakati madhubuti ya kutekeleza mradi huu.
 
Kila jambo lina pros na cons zake ,kama pros ni kubwa kuliko cons hatuna budi kutekeleza mradi huo,tusiwe wa kulishwa tu taarifa,lazima tuweze kutafakari pia
hapo ndipo siasa inapoingilia taaluma
baada ya muda mje tena kulia Lia humu jukwaani.
binafsi nashauri ipatikane njia mbadala nikiwa kam mdau mkubwa wa rufiji basin
 
Nazani kama sijakosea H.E magu amesema hizo tafiti za namna hiyo zilifanywa enzi za nyerere na sio sasa ndo maana mradi haukutekelezwa
 
Sababu hazina mashiko. Unajua idadi ya miti iliyokatwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara nchi nzima??? So tuache kujenga barabara???
Watu 3000 kukaa porini sio shida. Huko Serengeti na Ngorongoro kuna maelfu ya watu kila siku.
 
Hawa wapuuzi wamesahau Kama Trump amejitoa kwenye mkataba wa mambo ya hali ya hewa

Magufuli Hakikisha tunafanikiwa
before hamjafanikiwa angalieni kwanza impact za hilo swala
kumbuka SIYO wewe unayehitaji kuishi hata samaki na viumbe wa ardhin nao wanastahiki ya kuishi.
pia naomba niongeze SIKU zote msipende kuchanganya siasa na taaluma.
sipingi ujenz wa mradi hapana lakini.je ujenz huo utaweza kwenda sawia na ecology+,mfumo wa bonde la pale?????
SITAKI yajitokeze ya kihansi
 
Wewe na wao kitu kimoja. Hiyo miti mil 2 hata
 

Kenya wanapanga Kujenga Bwawa kwenye Mto Mara
 
Hayo ndiyo madhara ya kutumia madesa,

Nadhani watakua wamekopi na kupesti ripoti za WWF , kuhusiana na huo mradi.
SIYO madesa kiongozi
unayo elimu yoyote kuhusiana na hydrology? achilia mbali mambo ya uhifadhi???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…