Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😄

Una watoto hapo nyumbani kwako?
Kawaida ya watu waliojiharibu hutamani na wengine pia waharibikiwe.
Je,uko tayari kuharibikiwa na wewe?
Watakao kuwa wanakuja kufuata kisamvu hapo nyumbani kwako hata mkeo hawata muacha salama,watamtumia tena mbele na nyuma.
Vipi,uko tayari kuyavumilia?
CHAGUA MAISHA.
 
Skuhiz ukiona mtoto wakiume anatengeneza content za kujifanya mwanamke ujue imeisha hiyo, ameshaleft kitambo.
Sema inachukuliwa kama trend fulani ivi ya kawaida ila ndo ivyo mkanye mwanao mapema
 
Mkuu inakuje UNAMFUATILIA hivyo Shemeji yako tena WAKIUME kama wewe?
 
Hatari sana! Shida tokea sekondari yawezekana keshawaharibu na wengine kitambo tu
 
Mkuu inakuje UNAMFUATILIA hivyo Shemeji yako tena WAKIUME kama wewe?
Anaishi nyumbani kwangu kwaiyo mambo anayofanya sio rahisi kuyaficha kwa asilimia šŸ’Æ ndo mana nilimuona alipokuwa live Tiktok rejea uzi wa jana
 
Skuhiz ukiona mtoto wakiume anatengeneza content za kujifanya mwanamke ujue imeisha hiyo, ameshaleft kitambo.
Too sad sasa kuna hawa wanajiita mashoga mikazo hawa huwezi wajua lakin wapo wengi kuliko hawa wenye girlish behavior...unakuta limwanaume limekaza kijeba mpaka una sema kidume si hiki halafu unakuta linakuomba ulikaze au unagundua wanalikaza.
 
Sasa we unashindwa kumtandika boloyang mkeo sababu ya bwabwa mnalea hapo.
Au uligusagusa huko ukiwa unambana.?
Acha wivu wewe ushapita humo
 
Akiondoka hapa ataenda kuishi kwingine na bado atakuwa na tabia hiyo hiyo

Mhimu nimsaidiaje aache ushoga?
 
Huwa nashangaaga hii Hali inatokeaje ni vishawishi, njaa ,kupenda vya mteremko au kitu gani kinachopelekea Hali Kama hii

Mkuu pole sana lakini nadhani huyo mpaka umtafutie watu wa kumjenga kisaikolojia maana tayari kashaharibika kisaikolojia
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri
 
Akiondoka hapa ataenda kuishi kwingine na bado atakuwa na tabia hiyo hiyo

Mhimu nimsaidiaje aache ushoga?
Sidhani kama utaweza 🤣🤣

Ngoja tuone utakuja kunipa mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…