Tiba ipo na Haina gharama ni kama kumtibu mraibu wa madawa ya kulevya huanza kwa kumpa ushauri na kumjenga psychology nadhani pia Kuna dawa dawa wanampa we fika muhimbili hospital au Amana utapata maelekezo zaidiKumbe tiba ipo vipi inaitwaje? Na inaweza gharimu pesa ngapi? Niunganishe na wataalam hao tafadhari🙏
Swali zuri! Shoo mbovu inahusiana vipi na hali ya shemeji yake?Hii inahusianaje na mada yako kwenye uzi
Haujui Kama dunia ilipo fikia mtoto wa kiume ndo wa kuchungwa zaidi kuliko hata mtoto wa kikeMkuu inakuje UNAMFUATILIA hivyo Shemeji yako tena WAKIUME kama wewe?
Mkuu mambo ya ajabu sana haya aiseeHivi shemeji yako akiwa shoga ndio ushindwe kumkaza dada yake?
Shemeji yako?Haujui Kama dunia ilipo fikia mtoto wa kiume ndo wa kuchungwa zaidi kuliko hata mtoto wa kike
Mbona Kama unajizima data
Huyo anatakiwa apate watu wa kumjenga kisaikolojia maana hata ukisema umfukuze haitasaidia ndo kwanza utakuwa Kama umemfungulia mlangoNashukuru kwa ushauri mzuri
🥴Itakuwa haujaipata kitambo pole sana 🤣🤣
Tutajitahidi sana tufike anaweza rekebiswaTiba ipo na Haina gharama ni kama kumtibu mraibu wa madawa ya kulevya huanza kwa kumpa ushauri na kumjenga psychology nadhani pia Kuna dawa dawa wanampa we fika muhimbili hospital au Amana utapata maelekezo zaidi
Mbona povu jingi halafu mbona Kama unamtetea huyo shoga vp mwenzetu Kuna usalamaShemeji yako?
Yaani unakosa kazi unaanza kufuatilia makaka wa mkeo kama ni mashoga?
Mkuu wewe Kama unao ushauriNdugu mleta mada kama haya unayoongea yanaukweli basi napata wasiwasi juu ya uanaume wako pengine huyo dogo ndio wewe umeamua kuleta tangazo kimkakati.
Jinsi ulivyoleta ile mada ya jana na leo ukaleta huu muemdelezo, zaidi kilichonishangaza ni namna unavyojibu wadau! Yaani wewe kama kichwa cha familia mpaka dakika hii umekosa maamuzi kwa huyo kijana? Au nawewe ndio walewale?
Eti nawaza nimwambie dada yake lakini sijui nianzie wapi, nyoko nyoko and nyoko nyoko...
Na nyie wadau mnaumshauri huyu mwamba hamjagundua tu kwamba huyu ndio mwenyewe anajitangaza kimkakati? JF ya sikuizi sijui imekuwaje! Aaaagghr
Elewa hivi hii ishu imenitatiza sana ndo mana nikaileta humu suala la shoo mbovu ni matokeo ya hili sualaSwali zuri! Shoo mbovu inahusiana vipi na hali ya shemeji yake?
Toa ushauri nini kifanyike kumsaidia huyu shemeji yangu tafadhari🙏Ndugu mleta mada kama haya unayoongea yanaukweli basi napata wasiwasi juu ya uanaume wako pengine huyo dogo ndio wewe umeamua kuleta tangazo kimkakati.
Jinsi ulivyoleta ile mada ya jana na leo ukaleta huu muemdelezo, zaidi kilichonishangaza ni namna unavyojibu wadau! Yaani wewe kama kichwa cha familia mpaka dakika hii umekosa maamuzi kwa huyo kijana? Au nawewe ndio walewale?
Eti nawaza nimwambie dada yake lakini sijui nianzie wapi, nyoko nyoko and nyoko nyoko...
Na nyie wadau mnaumshauri huyu mwamba hamjagundua tu kwamba huyu ndio mwenyewe anajitangaza kimkakati? JF ya sikuizi sijui imekuwaje! Aaaagghr
Hiyo morning glory ilikuwa lazima uandike mkuu?😔
Mi sijaambulia kitu!Inasikitisha sana