Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃
 
Looks like wewe ndio shoga
 
Mood ya kumkaza inakata!! Kwa sababu ni dada ake na shoga
Sikiza mwanetu usijipe umuhimu kwa huyo shoga. Mambo ya shoga mwachie shoga na familia yake.

Na kitendo cha kumruhusu shoga aendelee kukaa hapo kwako atakuja kuwaharibu watoto wako na hata ndugu zako wakija kukutembelea.

Ogopa sana ***** akiwa nyumbani kwako. Hayo ******* yana ushawishi mkubwa sana

Kuna mwanangu alikaribisha nyumbani kwake ndugu "anko" wa watoto wake kumbe shoga pasipo kujua.

Usiku si anko akaomba apakuliwe na dogo wa jamaa. Imagine anamuomba mtoto wa dada yake

Na kweli janja akaichapa ila kesho alijuta sana ikabidi amwambie baba yake ndio jamaa kutimuliwa na vikao vya familia karibu mwezi
​
 
Usimfukuze ila tafuta mbinu ya kumnusuru na Hilo jambo. Yaani mpe semina ya kisaikolojia Ili aache kabisa HUO upuuzi
 
Muambie tuuh hamna haja yakumficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…