Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

Hivi ubaweza hata kumeza chakula kweli ukimuona hapo home?
 
Huyo shemeji yako sio mtoto wako mwambie mkeo mdogo wako hapa kwangu Hana nafasi tena sababu ni shoga,,usisubiri awaharibu na wanao
 
Hivi ndivyo fikra zenu zilivyo? Kwamba ukiishi na shoga nawee utakua shoga hata km huutaki? Mna matatizo gani nyie Waja? Lol
 
Too sad sasa kuna hawa wanajiita mashoga mikazo hawa huwezi wajua lakin wapo wengi kuliko hawa wenye girlish behavior...unakuta limwanaume limekaza kijeba mpaka una sema kidume si hiki halafu unakuta linakuomba ulikaze au unagundua wanalikaza.
😂😂😂😂😂
 
Kuwa na mtoto au ndugu akawa anafilwa inafedhehesha sana. Kuna mzee mmoja ni jirani yangu ,kijana wake ni shoga ~ huyu mzee anadhoofika sana kutokana na kijana wake kuwa shoga.

Pole sana
Adhoofike kisa nn? Huyo mzee hana maisha yake? Hivi sielewagi mtu aumie eti kisa mtoto wa kiume kuwa GaY,
Inahusuuuu?
 
Ukitaka kujua wengi wanakaangwa Ingia Grindr na tinder ujionee watoto wa chuo wanavyogawa bottom
Facebook pia ukifanya tafiti vizuri utashtuka wengine wapo vijijini huko wala sio kwenye majiji makubwa tunayofikiri labda ndio yanawaharibu.
 
Pole Sana. Kwahiyo aliamua yeye mwenyewe kuwa shoga au ni mazingira yalimlazimisha?...Binafsi siwezi kuishi nyumba moja na mtu aliyeamua mwenyewe kuwa shoga, kama anataka kubadilika naweza kuingia hizo gharama za huo mchakato lakini kama ameamua ndiyo maisha Yake na anataka aendelee kuwa hivyo basi lazima aondoke nyumbani arudi kwao, siwezi kuvumilia.
 
Baada ya siku 90 nitaleta maelezo kamili kuhusu;

1.Historia yake ilikuwaje akawa shoga(nimemuuliza kanipa maelezo kidogo ila taratibu atafunguka kamili nimempa muda)

2. Mrejesho kuhusu nimeupokeaje ushauri kuhusu hili jambo kutoka kwa wadau tofauti tofauti hasa humu jukwaani

3.Hatua nilizoanza kuzichukua kumrekebisha (amesema hapendi kuwa shoga) nina mpango nimpeleke kwa wataalamu apewe ushauri nasaha

4.Hitimisho tumefikia wapi litaletwa hapa hapa JF

💥Kwa sasa wacha tuipambanie nchi yetu kwanza!!

Oktoba hakuna uchaguzi!! Utayeyuka shwaaa🤓 yatatokea mauza uza
 
Huyo janja alikua ana umri gani? Na huyo anko pia umri wake? Ili nidadavue kitu.
 
Umekuja hapa kuchangamsha kijiwe, au laah muhusika ni wee mwenyewe, unajaribu kuona waja wanasema nn kuhusu, Lol
Poleeee 😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…