ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio maisha yenu hapo Kahama? Aisee Chadema waje kutangaza maandamano ya kupinga gharama za maisha 😁😁Umewahi kununua bidhaa kwenye Miji ya Wachimbaji/Watalii?
Ukiwa kule ni kawaida kununua Kuku Choma mzima shilingi 23,000 ama nusu wakuuzie Kwa 12,000
Kwahiyo ni vitu vya kawaida huko