Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna boss mmoja wa mabar ana lodge ndanindani ina vyumba kama 20 hivi, ilikiwa inasuasua akaona akubali wazinzi waitumie kwanza ana kiwanja kikubwa kazungusha fence ndefu kwa ajili ya privacy, chumbani vitanda vya chuma, ndani kuna parking. Reception tu ilibidi aweke wadada (wadangaji classic )waliojaa msambwanda wa kumwagika mpaka kiti hakitoshi. Hiyo lodge inajaa mno. Chumba ni 30k mida ya sikukuu bei inafikaga 40k. Wazinzi wamegeuza sehemu yao ya kupigia mashine. Wadangaji na wenyewe wanapewa commission wakileta mteja. Bodaboda, teksi, bajaj wakileta mteja wanapewa commission. Hiyo lodge inajaa mno, inakuwa fully booked hata mwezi.Kuna Moja ipo hapo Ubungo, Kuna wakati bila kufanya booking mapema hupati chumba
Mkuu umeupiga mwingi Sana [emoji4]Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni.
Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja ambacho kilikuwa kipo katikati ya Makao Makuu ya Wilaya. Kiwanja kina Ukubwa wa mita 35 Kwa 43.5.
Kilinigharimu kiasi cha shilingi 11.8M kukinunua.
Bahati nzuri nilisanifu mwenyewe ramani niliyodhani ingefaa kujenga nyumba ya Wageni pamoja na mahitaji muhimu ya mashimo ya Maji machafu/Parking n.k
Niliweza kupata ramani ya vyumba 10 pamoja na Chumba cha Mhudumu/stoo/Public Toilet n.k
Baada ya kukamilisha taratibu za Vibali kutoka Halmashauri nikaanza Ujenzi. Nilitafuta Mafundi Kwa makundi kadri ya mahitaji.
Ujenzi uliweza kuchukua miezi 12 hadi kukamilika kwake. Hii ilitokana na Changamoto ya Fedha.
Nashukuru Mungu Mwaka Jana Mwezi September, 2023 nilikamilisha Mradi wangu wa Lodge ikiwa na accessories zote tayari Kwa kuanza kutoa huduma.
Jumla ya gharama nilizotumia zimefika shilingi 110,787,700TShs.
Baada ya kuanza huduma trend ya Mapato ghafi ilikuwa shilingi millioni 3.6 Kwa Mwezi.
Ambapo nimekadiria kuweza kukusanya shilingi 43,200,000 Kwa Mwaka ambapo nimechukulia kuwa Kila Siku watalala Wageni 4 kati ya Vyumba vyote 10.
Ikitokea wamelala wateja 10 itasaidia kufidia Siku ambazo hakutakuwa na mteja aliyelala ama walipolala pungufu ya Idadi tarajiwa.
Hata hivyo ninatumia kiasi cha shilingi 987,000 Kwa Mwezi kwaajili ya Mishahara pamoja na gharama nyingine za Uendeshaji sawa na shilingi 11,844,000 Kwa Mwaka.
Ili kujua kama fedha niliyowekeza itarudi ama itapotea nilijaribu kufanya tathmini Kwa kuangalia;
~Muda wa Kurejesha kiasi cha fedha nilichowekeza (Payback Period on investment)
Ambapo nilichukua kiasi cha Mtaji nilichowekeza÷Kiasi cha Faida ninachokadiria kupata kama Faida
=110,787,700/31,356,000
PBP= 3.53Years
Utaona naweza Kurejesha kiasi nilichotumia kwenye Uwekezaji wangu Kwa kipindi cha miaka 3 na nusu hivi.
VIPI KAMA INGEKUWA NYUMBA YA KUPANGISHA?
Gharama ningetumia hizo hizo ama zingepungua kidogo Kwa kuondoa gharama za Kununua TV/Magodoro/Vitanda/Ving'amuzi n.k ambapo pengine ingepungua labda 16M kutoka kwenye gharama za awali ya shilingi 110,787,700 na kuwa 94,787,700
Hivyo kupata muda wa kurudisha fedha uliyotumia kuwekeza ukizingatia bei ya Chumba self chenye hadhi hiyo hutozwa shilingi 60,000 Kwa Mwezi
Hivyo ningezalisha kiasi cha shilingi 600,000 Kwa Mwezi Kwa Vyumba vyote 10 na shilingi 7,200,000 Kwa Mwaka.
Hivyo Payback Period yetu ingekuwa = 94,787,700÷7,200,000
Miaka 13.2 hivi
Kwa kuifanya Nyumba ya Kupangisha ingenichukua miaka 13.2 hivi kuweza kurudisha Mtaji wangu wote niliyowekeza.
Kwa Kuhitimisha utaona Biashara ya Lodge ina unafuu Mkubwa kwenye Uwekezaji hasa Kwa kuangalia muda mchache wa kurudisha fedha uliyotumia kuwekeza (3.5yrs) kuliko Biashara ya Nyumba za Kupangisha(13.2yrs).
Nimeambatisha mchanganuo wa gharama nilizotumia,Mapato na Matumizi niyafanyayo (O&M).
Changamoto nilizopitia kwenye Biashara hii ni;
....Kutoaminika na Mabenki hasa kwenye start up project. Mabenki hayakopeshi Kwa biashara inayoanza ila Kwa biashara inayoendelea.
.....Wizi Kwa Wahudumu, licha ya kufunga CCTV Camera bado Mhudumu anaiba Kwa kuharibu Camera isifanye kazi.
All in all Biashara ya Lodge ni nzuri sana hasa Ukipata eneo lenye Mzunguko Mkubwa wa Watu.
Nadhani hiyo ndiyo ilikuvutia ukaingia kwenye hii biashara (jokes) 😂!.Kuna Moja ipo hapo Ubungo, Kuna wakati bila kufanya booking mapema hupati chumba
Hahaha..............jamaa anapiga hela nyingi sana pale.Nadhani hiyo ndiyo ilikuvutia ukaingia kwenye hii biashara (jokes) 😂!.
Hahahaha..............Kuna watu wanatumia pesa nyingi sana kwenye mahusiano/ngonoKuna boss mmoja wa mabar ana lodge ndanindani ina vyumba kama 20 hivi, ilikiwa inasuasua akaona akubali wazinzi waitumie kwanza ana kiwanja kikubwa kazungusha fence ndefu kwa ajili ya privacy, chumbani vitanda vya chuma, ndani kuna parking. Reception tu ilibidi aweke wadada (wadangaji classic )waliojaa msambwanda wa kumwagika mpaka kiti hakitoshi. Hiyo lodge inajaa mno. Chumba ni 30k mida ya sikukuu bei inafikaga 40k. Wazinzi wamegeuza sehemu yao ya kupigia mashine. Wadangaji na wenyewe wanapewa commission wakileta mteja. Bodaboda, teksi, bajaj wakileta mteja wanapewa commission. Hiyo lodge inajaa mno, inakuwa fully booked hata mwezi.
Wazinzi ni watu wengine kabisa 🤣, mzinzi anabook chumba siku 3 kwa ajili ya kupigia mashine humo 🤣🤣. Yule boss anasema kapata hela anataka ajenge hoteli kabisa 🤣
Wazinzi wanatajirisha mno wenye hotel, lodge na gesti.Hahahaha..............Kuna watu wanatumia pesa nyingi sana kwenye mahusiano/ngono
Imagine una date na Manzi ambaye kutokana na quality yake anataka hotel za kuanzia nyota 3 hadi 5
Huyo kama mna ratiba ya kukutana labda Kwa Mwezi wa 3 ina maana utajikuta unatumia zaidi ya laki 3 kwenye hotel
Ukija kupiga hizo gharama Kwa Mwaka utajikuta umepoteza millioni kadhaa za kununua uwanja huko Kigamboni ama Mabwepande 😜
Hahaha........pili ndiyo haitakiwi.Wazinzi wanatajirisha mno wenye hotel, lodge na gesti.
Ila uzinzi ni gharama sana, bora puli 🤣
Yaani vile unaongea maneno ya vijana alafu nikicheki ni mzee dah naenjoy sana na kujipa imani na mimi nitakuwa mzee kijanaHahaha........pili ndiyo haitakiwi.
Kamata Pisi Moja ya ukweli iweke ndani, jitahidi kumtunza naye atahakikisha anakupatia chakula cha usiku bila kukupimia, sisi watu wa Pwani tunasema anakupa tani Yako [emoji12]
Hahaha............uki-complicate maisha huchelewi kuanza kuongea peke yako barabarani, vyema kujichanganya na Vijana kama hivi walau ku-buy time 🤗Yaani vile unaongea maneno ya vijana alafu nikicheki ni mzee dah naenjoy sana na kujipa imani na mimi nitakuwa mzee kijana
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Safi kabisaHahaha............uki-complicate maisha huchelewi kuanza kuongea peke yako barabarani, vyema kujichanganya na Vijana kama hivi walau ku-buy time [emoji847]
Ndiyo Mkuu
Nachaji shilingi 30,000 tu Kwa Usiku Mmoja
Nyumba za kupanga ni scamMwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni.
Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja ambacho kilikuwa kipo katikati ya Makao Makuu ya Wilaya. Kiwanja kina Ukubwa wa mita 35 Kwa 43.5.
Kilinigharimu kiasi cha shilingi 11.8M kukinunua.
Bahati nzuri nilisanifu mwenyewe ramani niliyodhani ingefaa kujenga nyumba ya Wageni pamoja na mahitaji muhimu ya mashimo ya Maji machafu/Parking n.k
Niliweza kupata ramani ya vyumba 10 pamoja na Chumba cha Mhudumu/stoo/Public Toilet n.k
Baada ya kukamilisha taratibu za Vibali kutoka Halmashauri nikaanza Ujenzi. Nilitafuta Mafundi Kwa makundi kadri ya mahitaji.
Ujenzi uliweza kuchukua miezi 12 hadi kukamilika kwake. Hii ilitokana na Changamoto ya Fedha.
Nashukuru Mungu Mwaka Jana Mwezi September, 2023 nilikamilisha Mradi wangu wa Lodge ikiwa na accessories zote tayari Kwa kuanza kutoa huduma.
Jumla ya gharama nilizotumia zimefika shilingi 110,787,700TShs.
Baada ya kuanza huduma trend ya Mapato ghafi ilikuwa shilingi millioni 3.6 Kwa Mwezi.
Ambapo nimekadiria kuweza kukusanya shilingi 43,200,000 Kwa Mwaka ambapo nimechukulia kuwa Kila Siku watalala Wageni 4 kati ya Vyumba vyote 10.
Ikitokea wamelala wateja 10 itasaidia kufidia Siku ambazo hakutakuwa na mteja aliyelala ama walipolala pungufu ya Idadi tarajiwa.
Hata hivyo ninatumia kiasi cha shilingi 987,000 Kwa Mwezi kwaajili ya Mishahara pamoja na gharama nyingine za Uendeshaji sawa na shilingi 11,844,000 Kwa Mwaka.
Ili kujua kama fedha niliyowekeza itarudi ama itapotea nilijaribu kufanya tathmini Kwa kuangalia;
~Muda wa Kurejesha kiasi cha fedha nilichowekeza (Payback Period on investment)
Ambapo nilichukua kiasi cha Mtaji nilichowekeza÷Kiasi cha Faida ninachokadiria kupata kama Faida
=110,787,700/31,356,000
PBP= 3.53Years
Utaona naweza Kurejesha kiasi nilichotumia kwenye Uwekezaji wangu Kwa kipindi cha miaka 3 na nusu hivi.
VIPI KAMA INGEKUWA NYUMBA YA KUPANGISHA?
Gharama ningetumia hizo hizo ama zingepungua kidogo Kwa kuondoa gharama za Kununua TV/Magodoro/Vitanda/Ving'amuzi n.k ambapo pengine ingepungua labda 16M kutoka kwenye gharama za awali ya shilingi 110,787,700 na kuwa 94,787,700
Hivyo kupata muda wa kurudisha fedha uliyotumia kuwekeza ukizingatia bei ya Chumba self chenye hadhi hiyo hutozwa shilingi 60,000 Kwa Mwezi
Hivyo ningezalisha kiasi cha shilingi 600,000 Kwa Mwezi Kwa Vyumba vyote 10 na shilingi 7,200,000 Kwa Mwaka.
Hivyo Payback Period yetu ingekuwa = 94,787,700÷7,200,000
Miaka 13.2 hivi
Kwa kuifanya Nyumba ya Kupangisha ingenichukua miaka 13.2 hivi kuweza kurudisha Mtaji wangu wote niliyowekeza.
Kwa Kuhitimisha utaona Biashara ya Lodge ina unafuu Mkubwa kwenye Uwekezaji hasa Kwa kuangalia muda mchache wa kurudisha fedha uliyotumia kuwekeza (3.5yrs) kuliko Biashara ya Nyumba za Kupangisha(13.2yrs).
Nimeambatisha mchanganuo wa gharama nilizotumia,Mapato na Matumizi niyafanyayo (O&M).
Changamoto nilizopitia kwenye Biashara hii ni;
....Kutoaminika na Mabenki hasa kwenye start up project. Mabenki hayakopeshi Kwa biashara inayoanza ila Kwa biashara inayoendelea.
.....Wizi Kwa Wahudumu, licha ya kufunga CCTV Camera bado Mhudumu anaiba Kwa kuharibu Camera isifanye kazi.
All in all Biashara ya Lodge ni nzuri sana hasa Ukipata eneo lenye Mzunguko Mkubwa wa Watu.
Smart lock agiza China au watembelee kampuni iko pale ITV huwa inajihusisha na kuuza makufuli ya YaleShukrani Kwa Ushauri wako Mkuu.
Hizo Smart lock, Kuna Kampuni unajua wanazalisha? Nitafurahi kupata mawasiliano yao kama hautajali