Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Umewahi kununua bidhaa kwenye Miji ya Wachimbaji/Watalii?

Ukiwa kule ni kawaida kununua Kuku Choma mzima shilingi 23,000 ama nusu wakuuzie Kwa 12,000

Kwahiyo ni vitu vya kawaida huko
Ndio maisha yenu hapo Kahama? Aisee Chadema waje kutangaza maandamano ya kupinga gharama za maisha 😁😁
 
Hakuna Cha shule yeyote hapo,watu layman wanafanya hiyo sana tuu.

Inatakiwa akisharejesha pesa yake ndani ya miaka hiyo 4 ,apunguze bei ya lodge walau ifike 20,000-25,000 na baada tena ya miaka 5 apunguze zaidi iwe kayo ya 10,000-15,000 hapo maintainance costs zinaanza kupanda na vitu vinaanza kuchakaa.
Huenda hao layman uliowasema wapo ila ni wachache.

Pasipo kutanguliza Shule kidogo ama ku-outsource wataalamu basi Kuna chances ya more than 65 ya hiyo biashara kutofanikiwa.

Ndiyo maana pamoja na kutokuwa na Shule kubwa, Bwana Bahresa ameajiri wataalamu wa masuala Mtambuka ili kumsaidia Kukua.
 
Ndio maisha yenu hapo Kahama? Aisee Chadema waje kutangaza maandamano ya kupinga gharama za maisha 😁😁
Fanya utafiti boss, kabla hujapinga.

Wakati Dar es Salaam wanauziwa Maji ya lita 1.6 shilingi 700 basi Maji hayo hayo yakiwa huku Migodini yanauzwa shilingi 1,500 hadi 2,000

Reason behind, ni Mzunguko Mkubwa wa hela
 
Huenda hao layman uliowasema wapo ila ni wachache.

Pasipo kutanguliza Shule kidogo ama ku-outsource wataalamu basi Kuna chances ya more than 65 ya hiyo biashara kutofanikiwa.

Ndiyo maana pamoja na kutokuwa na Shule kubwa, Bwana Bahresa ameajiri wataalamu wa masuala Mtambuka ili kumsaidia Kukua.
Wachache, matajiri wa Nchi hii hata hizo kalamu hawana mda wa kufanya Kwa sababu wanasema wakianza hizo hesabu watajata tamaa.

Nafanya kazi na mkandarasi Fulani yeye Huwa hajui Kwamba mradi x au Y umempa hasara au faidia kiasi gani ,Kwa kuwa anafanya Mingi na pesa zote zinaingia kwenye kibubu Kimoja yeye anachoangalia ni mtaji aliyoweka umezalisha au hapana .

Hizo za sijui mchanganuo mnafanya nyie na ndio sababu za Wasomi wengi kuogopa kujiajiri Kwa sababu za hesabu Kali.

Layman hawana huo mda
 
Fanya utafiti boss, kabla hujapinga.

Wakati Dar es Salaam wanauziwa Maji ya lita 1.6 shilingi 700 basi Maji hayo hayo yakiwa huku Migodini yanauzwa shilingi 1,500 hadi 2,000

Reason behind, ni Mzunguko Mkubwa wa hela
Utapoteza sana kuda kwa much know kama hawa...wazoee wapo wa kutosha!
 
Fanya utafiti boss, kabla hujapinga.

Wakati Dar es Salaam wanauziwa Maji ya lita 1.6 shilingi 700 basi Maji hayo hayo yakiwa huku Migodini yanauzwa shilingi 1,500 hadi 2,000

Reason behind, ni Mzunguko Mkubwa wa hela
Sijapinga nimesema huko Sasa ndio Chadema waende wakafanye maandamano badala ya Mbeya ambako Kuna wali buku jero sahani 😀😀

Lodge ya 30,000 Kwa Mbeya ni level ya Juu sana Ina Hadi breakfast ,na vionjo vingine kibao ila huwezi Kuta hivyo huko kwenye Miji yenye mzunguko mkubwa wa hela
 
Hujui kitu ndio maana umetoa comment ya kijinga.

Biashara ambazo Huwa hazidodi ni fremu za kupangisha zikiwa kwenye prime areas ,ila hizo zingine Zina depreciation rate ya kutosha tuu.
Lakini hizo fremu zenyewe zinaleta Kodi ya shilingi ngapi Kwa Mwaka?

Naomba nikupe homework uje na findings kwanini biashara ya Fremu inalipa kuliko hii ya Lodge, huenda tukapata vitu vya kujifunza kutoka kwako.
 
Sijapinga nimesema huko Sasa ndio Chadema waende wakafanye maandamano badala ya Mbeya ambako Kuna wali buku jero sahani 😀😀

Lodge ya 30,000 Kwa Mbeya ni level ya Juu sana Ina Hadi breakfast ,na vionjo vingine kibao ila huwezi Kuta hivyo huko kwenye Miji yenye mzunguko mkubwa wa hela
Kama umefahamu hivyo ni vyema.

Maana maisha yanatofautiana kulingana na Ukwasi wa eneo husika.
 
At least hao ukiweka hizo CCTV ni rahisi kuwadaka.

Maana wengi wao ndio vile ..... Brain.

Wanaume wengi wajanja wajanja tu.

Kuna biashara zinataka Wanawake tu kuzirun hasa gesti.

Tena tafuta wenye misambwanda weka hata wawili au watatu
Hahaha......ili iwe rahisi wao pia kujiongezea kipato 😅

Ni kweli Wanaume kiasili ni risks taker
 
Wachache, matajiri wa Nchi hii hata hizo kalamu hawana mda wa kufanya Kwa sababu wanasema wakianza hizo hesabu watajata tamaa.

Nafanya kazi na mkandarasi Fulani yeye Huwa hajui Kwamba mradi x au Y umempa hasara au faidia kiasi gani ,Kwa kuwa anafanya Mingi na pesa zote zinaingia kwenye kibubu Kimoja yeye anachoangalia ni mtaji aliyoweka umezalisha au hapana .

Hizo za sijui mchanganuo mnafanya nyie na ndio sababu za Wasomi wengi kuogopa kujiajiri Kwa sababu za hesabu Kali.

Layman hawana huo mda
Ni kweli ulichosema kuwa Layman wengi huwa ni risk taker kwenye Uwekezaji.

Ila pamoja na hivyo, lakini wanakuwa na watu proper wenye taaluma kwenye maeneo tofauti.

Ndiyo maana Bills of Quantities (BoQ) inajazwa na wataalamu ili kuona price anayokoti basi itamlipa.

Huwezi kufanya Mradi bila kujaza Bill zako, kupitia hiyo ndiyo utajua anapata Faida ama laa

Na mara nyingi kama Mradi hauna Faida Wakandarasi wengi huwa hawaombi.

Mimi pia nipo kwenye hii Sekta ya Ujenzi
 
Hao cheap labour wapi Kila sehemu na hawana ushauri wala.uamzi Kwa Tajiri hasa kama kampuni ni family oriented.

Wengine hizo BoQ wanajaza wenyewe kwa.uzoefu wa kazi tuu.

Nawakubali sana layman Kwa spirit ya utafuraji.

Some 2 years back nilitaka nianze mradi wa Lodge Kwa kudumduliza Ili ndani ya miaka 7 niwe nimemaliza ,nikapiga hesabu Kwa mchoro niliochora nikakuta nahitaji kuwa na around mil.100 plus ,nikaghairi 🤣🤣

Ila layman hawezi hata kuthubutu kufanya hivyo,anaanza directly ilimradi wazo likemjia.Ninao wengi sana hawafanyi hizo calculations wataghairi.
 
Ni sahihi Mkuu ila kuwa na Financial advisor/Consultant ni muhimu kwenye Dunia hii ya Kisasa.

Vinginevyo unaweza kukuta umefirisika.

Ndiyo maana Mo Dewji alipelekwa Shule kuja kuongoza mali za familia.

---------------

Kuhusu wazo la kuanzisha hii biashara nakishauri anz kama bado una nia.

Uzuri wa biashara hii ukipata sehemu sahihi Mtaji haichelewi kurudi. Baada ya muda unaanza kula Faida na mwishowe at 20% ama 25 depreciation unauza na kusonga mbele
 
Asante Mkuu

Watanzania wengi sio waaminifu

Baada ya kuichezea Camera saivi analeta hela anayojisikia maana anasema Leo wamelala wateja 7 kumbe wamelala 9

Nimetengeneza mara 3 lakini baada ya muda inaharibika Tena.

Nina hakika ningekuwa nakaa mwenyewe huenda Payback period ingeshuka hadi miaka 2

Maana nahisi napoteza Mapato mengi Kwa Wizi wao Hawa Vijana
Umeongea kwa uchungu sana
Pole sana mkuu naelewa nini unazungumza ila ukiwa unatafuta watu wa kuajiri jitahidi uangalie walau watu wenye hofu japo kidogo ya Mungu .

Pole sana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Jitahidi, kufanya Biashara shirikiana na BodaBoda … wape offer ukileta mteja unachukua 2000… uone kama hautajaza hapo na kama ipo ndani ndani sana wakadrie kwa kuwapa 5000 mbona itajaa kila siku hiyo Lodge mpya… All the Best na Hongera sana Mkuu

Asubuhi sana, Business Consultant.
 
Ukisoma post za nyuma ameeleza.

Faida Moja wapo ya kusajiri Lodge kuwa Kampuni ni kupata punguzo la Kodi.

Mfano gharama nilizotumia hapo 110M zingekuwa ni sehemu ya Mtaji wa Kampuni kwahiyo mwanzoni itakuwa inasoma -negative vs Mapato wakati unafunga hesabu ya Mwaka

Faida ya kusajiri kampuni ni nyingi. Lakini hata kama huna kampuni (sole trader) gharama zote ulizotumia na risiti unazitunza. Baadaye unaziweka kama expenses. Vitu vingi sana vinaingia kwenye expenses. Mishahara yote, umeme, maji, gharama nyingine. Ukarabati wowote, hadi mafuta ya gari, nauli, chakula zikiwa na mahusiano ya kazi. Zinawekwa kwenye gharama (expenses). Zinapunguza kodi pakubwa.
 
Back
Top Bottom