ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio maisha yenu hapo Kahama? Aisee Chadema waje kutangaza maandamano ya kupinga gharama za maisha 😁😁Umewahi kununua bidhaa kwenye Miji ya Wachimbaji/Watalii?
Ukiwa kule ni kawaida kununua Kuku Choma mzima shilingi 23,000 ama nusu wakuuzie Kwa 12,000
Kwahiyo ni vitu vya kawaida huko
Hujui kitu ndio maana umetoa comment ya kijinga.Ya kwako yenye miaka 5 ushapunguza bei?
(Punguza ujuaji)
Huenda hao layman uliowasema wapo ila ni wachache.Hakuna Cha shule yeyote hapo,watu layman wanafanya hiyo sana tuu.
Inatakiwa akisharejesha pesa yake ndani ya miaka hiyo 4 ,apunguze bei ya lodge walau ifike 20,000-25,000 na baada tena ya miaka 5 apunguze zaidi iwe kayo ya 10,000-15,000 hapo maintainance costs zinaanza kupanda na vitu vinaanza kuchakaa.
Hongera mkuu unayejua kila kitu na mwenye kutoa constructive comments!!Hujui kitu ndio maana umetoa comment ya kijinga.
Biashara ambazo Huwa hazidodi ni fremu za kupangisha zikiwa kwenye prime areas ,ila hizo zingine Zina depreciation rate ya kutosha tuu.
Fanya utafiti boss, kabla hujapinga.Ndio maisha yenu hapo Kahama? Aisee Chadema waje kutangaza maandamano ya kupinga gharama za maisha 😁😁
Wachache, matajiri wa Nchi hii hata hizo kalamu hawana mda wa kufanya Kwa sababu wanasema wakianza hizo hesabu watajata tamaa.Huenda hao layman uliowasema wapo ila ni wachache.
Pasipo kutanguliza Shule kidogo ama ku-outsource wataalamu basi Kuna chances ya more than 65 ya hiyo biashara kutofanikiwa.
Ndiyo maana pamoja na kutokuwa na Shule kubwa, Bwana Bahresa ameajiri wataalamu wa masuala Mtambuka ili kumsaidia Kukua.
Utapoteza sana kuda kwa much know kama hawa...wazoee wapo wa kutosha!Fanya utafiti boss, kabla hujapinga.
Wakati Dar es Salaam wanauziwa Maji ya lita 1.6 shilingi 700 basi Maji hayo hayo yakiwa huku Migodini yanauzwa shilingi 1,500 hadi 2,000
Reason behind, ni Mzunguko Mkubwa wa hela
Sijapinga nimesema huko Sasa ndio Chadema waende wakafanye maandamano badala ya Mbeya ambako Kuna wali buku jero sahani 😀😀Fanya utafiti boss, kabla hujapinga.
Wakati Dar es Salaam wanauziwa Maji ya lita 1.6 shilingi 700 basi Maji hayo hayo yakiwa huku Migodini yanauzwa shilingi 1,500 hadi 2,000
Reason behind, ni Mzunguko Mkubwa wa hela
Lakini hizo fremu zenyewe zinaleta Kodi ya shilingi ngapi Kwa Mwaka?Hujui kitu ndio maana umetoa comment ya kijinga.
Biashara ambazo Huwa hazidodi ni fremu za kupangisha zikiwa kwenye prime areas ,ila hizo zingine Zina depreciation rate ya kutosha tuu.
Kama umefahamu hivyo ni vyema.Sijapinga nimesema huko Sasa ndio Chadema waende wakafanye maandamano badala ya Mbeya ambako Kuna wali buku jero sahani 😀😀
Lodge ya 30,000 Kwa Mbeya ni level ya Juu sana Ina Hadi breakfast ,na vionjo vingine kibao ila huwezi Kuta hivyo huko kwenye Miji yenye mzunguko mkubwa wa hela
Hahaha......ili iwe rahisi wao pia kujiongezea kipato 😅At least hao ukiweka hizo CCTV ni rahisi kuwadaka.
Maana wengi wao ndio vile ..... Brain.
Wanaume wengi wajanja wajanja tu.
Kuna biashara zinataka Wanawake tu kuzirun hasa gesti.
Tena tafuta wenye misambwanda weka hata wawili au watatu
Ni kweli ulichosema kuwa Layman wengi huwa ni risk taker kwenye Uwekezaji.Wachache, matajiri wa Nchi hii hata hizo kalamu hawana mda wa kufanya Kwa sababu wanasema wakianza hizo hesabu watajata tamaa.
Nafanya kazi na mkandarasi Fulani yeye Huwa hajui Kwamba mradi x au Y umempa hasara au faidia kiasi gani ,Kwa kuwa anafanya Mingi na pesa zote zinaingia kwenye kibubu Kimoja yeye anachoangalia ni mtaji aliyoweka umezalisha au hapana .
Hizo za sijui mchanganuo mnafanya nyie na ndio sababu za Wasomi wengi kuogopa kujiajiri Kwa sababu za hesabu Kali.
Layman hawana huo mda
Hao cheap labour wapi Kila sehemu na hawana ushauri wala.uamzi Kwa Tajiri hasa kama kampuni ni family oriented.Ni kweli ulichosema kuwa Layman wengi huwa ni risk taker kwenye Uwekezaji.
Ila pamoja na hivyo, lakini wanakuwa na watu proper wenye taaluma kwenye maeneo tofauti.
Ndiyo maana Bills of Quantities (BoQ) inajazwa na wataalamu ili kuona price anayokoti basi itamlipa.
Huwezi kufanya Mradi bila kujaza Bill zako, kupitia hiyo ndiyo utajua anapata Faida ama laa
Na mara nyingi kama Mradi hauna Faida Wakandarasi wengi huwa hawaombi.
Mimi pia nipo kwenye hii Sekta ya Ujenzi
Ni sahihi Mkuu ila kuwa na Financial advisor/Consultant ni muhimu kwenye Dunia hii ya Kisasa.Hao cheap labour wapi Kila sehemu na hawana ushauri wala.uamzi Kwa Tajiri hasa kama kampuni ni family oriented.
Wengine hizo BoQ wanajaza wenyewe kwa.uzoefu wa kazi tuu.
Nawakubali sana layman Kwa spirit ya utafuraji.
Some 2 years back nilitaka nianze mradi wa Lodge Kwa kudumduliza Ili ndani ya miaka 7 niwe nimemaliza ,nikapiga hesabu Kwa mchoro niliochora nikakuta nahitaji kuwa na around mil.100 plus ,nikaghairi 🤣🤣
Ila layman hawezi hata kuthubutu kufanya hivyo,anaanza directly ilimradi wazo likemjia.Ninao wengi sana hawafanyi hizo calculations wataghairi.
Umeongea kwa uchungu sanaAsante Mkuu
Watanzania wengi sio waaminifu
Baada ya kuichezea Camera saivi analeta hela anayojisikia maana anasema Leo wamelala wateja 7 kumbe wamelala 9
Nimetengeneza mara 3 lakini baada ya muda inaharibika Tena.
Nina hakika ningekuwa nakaa mwenyewe huenda Payback period ingeshuka hadi miaka 2
Maana nahisi napoteza Mapato mengi Kwa Wizi wao Hawa Vijana
Ukisoma post za nyuma ameeleza.
Faida Moja wapo ya kusajiri Lodge kuwa Kampuni ni kupata punguzo la Kodi.
Mfano gharama nilizotumia hapo 110M zingekuwa ni sehemu ya Mtaji wa Kampuni kwahiyo mwanzoni itakuwa inasoma -negative vs Mapato wakati unafunga hesabu ya Mwaka