Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Kuna Moja ipo hapo Ubungo, Kuna wakati bila kufanya booking mapema hupati chumba
Kuna boss mmoja wa mabar ana lodge ndanindani ina vyumba kama 20 hivi, ilikiwa inasuasua akaona akubali wazinzi waitumie kwanza ana kiwanja kikubwa kazungusha fence ndefu kwa ajili ya privacy, chumbani vitanda vya chuma, ndani kuna parking. Reception tu ilibidi aweke wadada (wadangaji classic )waliojaa msambwanda wa kumwagika mpaka kiti hakitoshi. Hiyo lodge inajaa mno. Chumba ni 30k mida ya sikukuu bei inafikaga 40k. Wazinzi wamegeuza sehemu yao ya kupigia mashine. Wadangaji na wenyewe wanapewa commission wakileta mteja. Bodaboda, teksi, bajaj wakileta mteja wanapewa commission. Hiyo lodge inajaa mno, inakuwa fully booked hata mwezi.


Wazinzi ni watu wengine kabisa 🤣, mzinzi anabook chumba siku 3 kwa ajili ya kupigia mashine humo 🤣🤣. Yule boss anasema kapata hela anataka ajenge hoteli kabisa 🤣
 
Mkuu umeupiga mwingi Sana [emoji4]
 
Nadhani hiyo ndiyo ilikuvutia ukaingia kwenye hii biashara (jokes) 😂!.
Hahaha..............jamaa anapiga hela nyingi sana pale.

Chukulia kwamba alikuwa mtumishi wa Umma sasa ndiyo amestaafu, ina maana hatokuwa analia lia kuulizia Pension kama sisi Wazee wenzie sio😜
 
Hahahaha..............Kuna watu wanatumia pesa nyingi sana kwenye mahusiano/ngono

Imagine una date na Manzi ambaye kutokana na quality yake anataka hotel za kuanzia nyota 3 hadi 5

Huyo kama mna ratiba ya kukutana labda Kwa Mwezi wa 3 ina maana utajikuta unatumia zaidi ya laki 3 kwenye hotel

Ukija kupiga hizo gharama Kwa Mwaka utajikuta umepoteza millioni kadhaa za kununua uwanja huko Kigamboni ama Mabwepande 😜
 
Wazinzi wanatajirisha mno wenye hotel, lodge na gesti.
Ila uzinzi ni gharama sana, bora puli 🤣
 
Wazinzi wanatajirisha mno wenye hotel, lodge na gesti.
Ila uzinzi ni gharama sana, bora puli 🤣
Hahaha........pili ndiyo haitakiwi.

Kamata Pisi Moja ya ukweli iweke ndani, jitahidi kumtunza naye atahakikisha anakupatia chakula cha usiku bila kukupimia, sisi watu wa Pwani tunasema anakupa tani Yako 😜
 
Hahaha........pili ndiyo haitakiwi.

Kamata Pisi Moja ya ukweli iweke ndani, jitahidi kumtunza naye atahakikisha anakupatia chakula cha usiku bila kukupimia, sisi watu wa Pwani tunasema anakupa tani Yako [emoji12]
Yaani vile unaongea maneno ya vijana alafu nikicheki ni mzee dah naenjoy sana na kujipa imani na mimi nitakuwa mzee kijana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Yaani vile unaongea maneno ya vijana alafu nikicheki ni mzee dah naenjoy sana na kujipa imani na mimi nitakuwa mzee kijana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hahaha............uki-complicate maisha huchelewi kuanza kuongea peke yako barabarani, vyema kujichanganya na Vijana kama hivi walau ku-buy time 🤗
 
Nyumba za kupanga ni scam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…