Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna akina mama nitilie wanaoishi chumba kimoja wanasomesha watoto English medium kwa Vikoba ukimuuliza kwa nini anakwambia mwingine anasema mimi sitaki mwanangu wa kike aje kuolewa kama mimi asiyejua neno hata moja la kingereza msumbufu huyu tulisoma wote kayumbaKwa mnaosomesha watoto private schools, muwe mnawawekea watoto wenu akiba benki kila mwezi kutoka kipato chako.
Pesa hiyo itamsaidia sana mtoto wako kulipa karo na kukuondolea msongo wa mawazo hata kama umeyumba kiuchumi.
Si bora hata kunuka.Tatizo la shule za kayumbo ni vyoo. Unakuta vyoo vichafu, vinanuka hadi siyo 🤣🤣🤣
Inawezekana wanaongoza sbb huko walipotoka walikua wanafundishwa sasa wamewekwa na wenzao vilaza hawafundishwi vizuri lazima wawaburuze.Toka mke wangu amenishauri kuwaondoa huko na kuja st. Kayumba akili za watoto zimekuwa fire mmoja anaongoza na mwinine hakosi top 10. Watoti wamekuwa ngangali tofauti na mwanzo. Na sijawahi juta kwa uamuzi huu!
The true education is the one which can help u :Nazishukuru shule za kulipia bila hivyo maisha kwangu yange kuwa magumu zaidi na sidhani kama wangevuka kidato cha nne.Nikikuta mtoto hajafaulu ninavyotaka nafoka kweli, hiyo huduma hauwezi kuipata st.kayumba.Na vyote unafanya, nyumba na kusomesha usafiri juu, maisha yanasonga, nyumba na viwaja ni vya nini kama kama mtoto hana elimu niipendayo?
Na nyingi ndo hizoniwe wazi kunashule za serikali si za kupeleka mtoto kabisa.
Huko private ndio wanabokoana sana..Yani sana tu..Yani sanaaa...lakini kama ni English medium awe anaenda na kurudi...maana ziko shule nyingi zina kamera kila sehemu...ila mtoto akikaa bweni..muandalie tu connection ya kina juma lokoleSi bora hata kunuka.
Vitu watoto wanafanyiana huko vyooni utalia.
usilete tofauti za kisiasa.,chadema ni kwa nini hamuwezi kwenda na mada husikaNa nyingi ndo hizo
umeniwahi mkuuHuko private ndio wanabokoana sana..Yani sana tu..Yani sanaaa...lakini kama ni English medium awe anaenda na kurudi...maana ziko shule nyingi zina kamera kila sehemu...ila mtoto akikaa bweni..muandalie tu connection ya kina juma lokole
Top 10 st kayumba ni wa mwisho private school. Halafu mtoto anakuwa top 10 na D zote halafu unajisifia anawaburuza wenzie? Ni CCM au watu wenye mawazo ya ki-CCM tu wanaothubutu kusifia ujingaInawezekana wanaongoza sbb huko walipotoka walikua wanafundishwa sasa wamewekwa na wenzao vilaza hawafundishwi vizuri lazima wawaburuze.
Wakisoma hapo mwaka then ukawarudisha ulipowatoa utashangaa wanakua wa mwisho.
UPE ni nini mkuu?Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walisoma silabasi ya uingereza na mitihani ilitoka Kembriji, ilisahihishwa Kembriji na matokeo yalitokea Kembriji.
Ila yule msanii mpigangoma na mjuaji wa kila lugha ni zao la UPE.
Kila mzazi hufanya utafiti kabla kujua mtoto ampeleke wapi usi generaliseHuko private ndio wanabokoana sana..Yani sana tu..Yani sanaaa...lakini kama ni English medium awe anaenda na kurudi...maana ziko shule nyingi zina kamera kila sehemu...ila mtoto akikaa bweni..muandalie tu connection ya kina juma lokole
🤣🤣🤣🤣🤣 wacha makasiriko tajiri wa JFBaba wenyewe wa watoto wa st Kayumba ndio nyie mnawaza haya maujinga?
Haikusaidii chochote kukashifu watoto wa wenye nazo ila ukweli ni wewe ni masikini unatamani mwanao afatwe na yellow bus kama wa jirani yako ila ndo hivyo yeye tajiri wewe ni choka mbaya na wanao lazima waende shule za watoto wenye wazazi choka mbaya.
Acha kukashifu watoto kisa umasikini wako.
Ukute mwanao anashikishwa ukuta kila siku chooni huko Kayumba unakojifariji nako ila ndani ya moyo unajua kabisa huko hapafai.
Ukute alikua anashindana na jirani au ndugu yake fulani mwishowe yamemshindaHuyo alikuwa ana fake maisha. Mtoto wa Samia, Majaliwa, MO, Bakheresa, Jafo, Mwigulu nchemba na Diamond unaweza kuwakuta kwenye shule za kayumba?
🤣🤣🤣🤣🤣 wacha makasiriko tajiri wa JF
Nakubali hayo mambo yako kila mahali ila bado Kayumba sio rafiki wala salama kwa mtoto.Huko private ndio wanabokoana sana..Yani sana tu..Yani sanaaa...lakini kama ni English medium awe anaenda na kurudi...maana ziko shule nyingi zina kamera kila sehemu...ila mtoto akikaa bweni..muandalie tu connection ya kina juma lokole