Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

Top 10 st kayumba ni wa mwisho private school. Halafu mtoto anakuwa top 10 na D zote halafu unajisifia anawaburuza wenzie? Ni CCM au watu wenye mawazo ya ki-CCM tu wanaothubutu kusifia ujinga
Kabisa yaani.

Mtoto katoka shule ya darasa ni watoto 20 walimu wanne kapelekwa shule ya darasa ni watoto 80 mwalimu mmoja si lazima awe genius wao
 
Kabisa yaani.

Mtoto katoka shule ya darasa ni watoto 20 walimu wanne kapelekwa shule ya darasa ni watoto 80 mwalimu mmoja si lazima awe genius wao
Algore shule za private walimu huwa wanapika matokeo ili kuwa brain wash wazazi.

pride darasa linapo kuwa na watoto wengi inasaidia pia kumchallenge mtoto kwa sababu huo ndio uhalisia katika maisha halisi. Darasa lenye watoto wachache mfano watoto 10 au 20 mtoto hapati changamoto kwa watoto wenzake.

Plus private school watoto wanakuwa spoon fed.

Kumbuka Lengo pekee la kumpeleka mtoto shule ya Msingi sio tu ili afaulu kwenda secondary lakini pia ajifunze kuhusu maisha.

Kumpeleka mtoto kwenye shule ambayo darasani wanakaa watoto watano tu kwanza atakuwa selfish, atakosa network ya watu ( kujuana na watu wengi: It is a proven fact that ur network is ur networth)..

Mtoto aliesoma kwenye shule yenye watoto wengi hawezi kutishwa na uwingi wa candidates lets say kwenye interview ambayo wamekuwa shortlisted watu elfu moja. Jambo hilo linaweza kumu intimidate mtoto alie soma kwenye shule ambayo darasa moja wanakaa watoto8


Kuhusu kujiamini kwenye maisha experience inaonyesha watoto walio soma kayumba hujiamini mara mia ya wale walio soma English Medium.

Wana uthubutu wa kufanya na kujaribu mambo mengi kwa sababu mazingira magumu " tough environment" ya st kayumba yamewashape,tofauti na wa English Medium ambao hawana uthubutu wa kujaribu kwa sababu walizoea kuwa spoon fed na kurahisishiwa mambo.


Mifano: Diamond, Shilole, Mobetto etc.

Mwisho: ni ujinga kumpeleka English Medium mtoto ako akafundishwe na mwalimu ambae amesoma kayumba.
 
Muhindi anasomesha mtoto wa kike tuu wakiume anampa kitengo dukani
Mimi English Medium kama haimilikiwi na Mzungu ( Mmarekani, mwingereza au Mu Australia) sipeleki mtoto wangu n'go.

Yani mtoto wangu afundishwe kwa KIINGEREZA na mtu ambae lugha yake ya mawasiliano kila siku ni kiswahili?

Endeleeni kupigwa mkuu.

Wajinga ndio waliwao
 
Kati ujinga siwezi kufanya ni kumpelekea mtoto hizo shule za washua, watoto wa huko huwa wa hovyo sana kuanzia ukakamavu hata kuongea.

Mimi ni kijana bora na nilisoma kayumba.

Pili hizo shule za mboga 7 hazionyeshi wala kifundisha uharisia.

Ukifa ghafla wakarudi kayumba wanaona wanateseka na watalia maisha yao yote.
 
Ur the true son of ur father
 
Watoto wangu wameniambia baba ni ulimbukeni na mob sychology inayowasumbua watu kupeleka watoto English medium,by Form III everything flatens out inabaki akili ya mtoto tu.Nawaelewa vizuri sasa.Hawa watu wenye Shule za English medium ni matapeli tu wanaotumia ujinga wa watu kujipatia kipato,hamna lolote.
 
ur the true son of ur father.
 
Safi sana mkuu so umewahamishia kayumba? Wapo darasa la ngapi?
 
Biashara ndio yakuwaachia watoto tena wakiwa katika umri mdogo ili uwape miongozo mapema
Ila ukiacha nyumba viwanja yaani ukiondoka tu duniani miaka 10 mingi wameshauza vyoootee
 
Biashara ndio yakuwaachia watoto tena wakiwa katika umri mdogo ili uwape miongozo mapema
Ila ukiacha nyumba viwanja yaani ukiondoka tu duniani miaka 10 mingi wameshauza vyoootee
Huwaachi nyumba tu unawaachia nyumba na shule wanasoma ila wanasoma shule za serikali.
 
Huwaachi nyumba tu unawaachia nyumba na shule wanasoma ila wanasoma shule za serikali.
Sijakataa hizo nyumba labda uwaachie kila mtu na yake na wawe vizuri kiuchumi ili kuziendeleza zaidi ya hapo ni kuzipiga bei tu kipindi haupo
 
sasa upambane kutafuta za nini kama hutaki zitumike kwa wanao,ukifa mashamba na majumba watanyanga'nywa na baba wadogo,warithishe kitu ambacho hawawezi nyang'anywa.acha uwoga wa maisha...
 
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walisoma silabasi ya uingereza na mitihani ilitoka Kembriji, ilisahihishwa Kembriji na matokeo yalitokea Kembriji.
Ila yule msanii mpigangoma na mjuaji wa kila lugha ni zao la UPE.
Ule ung'eng'e wa nyerere watu wanauchukulia poa walisoma kipindi elimu ilikuwa elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…