Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

fukuza, mbona sisi wengine tumeweka jaman bila ya kuomba ushauri????

NASEMA HIVI "" NITAOA HATA WANAWAKE 50,ATAKAE CHEPUKAN TARAKA INAMUHUSU HAKUNA CHA KIKAO WALA MAJADIRIANO HAPO""
 
Sasa kumbe na wewe unachepuka na amekutajia haon wanawake unaotoka nao na wewe umekubali it's true Sasa hapo si ngoma droo we unalalamika nini Sasa?
Shangaa na wew mwenzangu, Dunia ina maajabu hii hatareeh lol
 
Haya ni mashairi kabisaa umeandika hapa...
Bado beat tu..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]
 
bora ukae na Salma tuu
 
Ubarikiwe sana.
 
We mwanamke katili aisee....![emoji119][emoji119][emoji119]

...
 
Hahahahahaha mwenyewe limeshangaa mkuu nimefungua tu mlango kabigwa na butwaa anawahi kuchukua ndoo aende bafun nikapiga kibao
Ila niliendelea ishi nae lakini imani kwake ilinitoka na tukazinguana tukaachana na mwisho aliombaga kurudi kipindi icho nipo kwenye stress za mapenz za kutendwa nikaona funika kombe mwanaharam apite ludi mama alafu alikua na mwanangu wa 2yrs
 
Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...
Hakika ndugu 99.99% tena matukio ya dharau. Ilinitokea 2016 nikatemana nae kwa shida sana....mpaka leo huwa ananikumbuka mana bado hajaolewa mimi nishaoa tayari
 
We tulia nae tu Kama unataka mpe pyschological torture Hadi ajirudi mwenyewe then mpe mkataba mmoja mgumu Sana

Wakati unampa psychological torture mwanamke, andaa kabisa jeneza lako.

Ni rahisi kufanya hilo kwa mwanamume na ukabaki salama, kwa mwanamke hakuna guarantee.

Unashinda au kupotezwa mazima. Hawatabiriki hasa wanapokuwa wamekata tamaa. Nafasi ya kujirudi ni ndogo sana kuliko ya kuamua liwalo na liwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…