Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Ushauri wa hovyo kabisa..
Kama ni wahovyo chagua kati ya mawili either huyo mke wewe ni ndugu yake kwahyo unamtetea or wewe ndo huyo jamaa uliyefanya huo upuuzi kwa mke wa jamaa.

NB; Acha kukusoa watu, wewe umeombwa kutoa ushauri tu, muhusika ndo muamuzi wa ushauri gani unamfaa.
 
We mwanamke katili aisee....![emoji119][emoji119][emoji119]

...
Ila wee mwanaume ni nini?
Tusidanganyane hapa tiba ya usaliti ni kisasi, haijalishi nani katenda kosa.

Hebu nikuulize, hivi ingekua huyu mwanaume ndo kafumwa na mkewe ungetoa ushauri gani?
 
Sidhani kuchepuka ni moja ya haki za mwanamke.Wanaume tunadumisha fine tradition ya wazee wetu,kuchepuka ni jadi .
Sasa km wanaume kuchepuka ni jadi, basi huyu mwanamke hana kosa lolote, maan kachepuka na mwamaume pia, hajachepuka na mwanamke mwenzie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhani utakua umeelewa pia.
 
Wanaume wengi ni wepesi kulaumu na kusema vibaya wanawakee wanaochepuka..yes ni kweli mwanamkee anaye chepuka hafai kuwa ktk ndoa ..lakini je wanaume mlioko ktk ndoa mmekuwa mkiwajali wake zenu kihisiaa?..au mnaishi nao kimazoea?...what I know wanaume wengi ni chanzo kikubwaa cha kuwafanya wake zao wachepuke..hakuna kitu kinatesa wanawakee kama kuchukuliwa poa na waume zao pamoja na upweke...Usikurupuke kufanya maamuzi tafakari..Mshirikishe Mungu kwa kuwa hilo jaribu ndio kwanza umekutana nalo....
 
Sijaoa lakini sidhani kama naweza kuvumilia nikijua mke wangu kanisaliti na nikae nae kwa amani kabisa.
Na nilishajiapiza kwamba nikioa mimi sitachepuka na kama mke wangu akichepuka sitapepesa macho kuachana nae papo hapo, hata kama tuna watoto 10 tutalea tu tukiwa tumetengana.
 
Aisee, hukuua ?
 
Ndoa ngumu guys ,yaani acha tu tunapitia mengi sana.mwisho wa siku namalizia kusema , wanawake ni viumbe vya ajabu kuliko tunavyofikilia
Kuna pande mbili kwa kila story. Hasa story za ndoa/mahusiano.
Huyo mke wa jamaa akija nae kusimulia story ya upande wake, unaweza ukahisi anaishi na shetani.
Kuwa makini sana ku draw conclusion kwa story ya upande mmoja kwenye mambo ya mahusiano.
 
mfano mungu angeweka PIN code kwenye mbususu ya kila mwanamke.kila mwanaume anapewa namba ya Siri ya mbususu ya mke wake.na PIN zisingeingiliana .

pale kwenye mbususu kwa juu kunakuw na sehem ya kujaza pin code,ukimaliza tuu inafunguka unajilia vyombo ukimaliza inajilock.nadhan usalit ungepungua kwa Kias kikubwa.
 
Aisee, hukuua ?
 
Huyohuyo Liza au mke gani
 
Piga chini, ukimwacha atakuletea huyo jamaa hapo chumbani kwako.
 
Hivi nyie huwa mko timamu kichwani? Mbna huyu mwanaume ana cheat sana nje huko, hamu mpi lawama? Khaaaaah
Sisi tunaoa hadi wanne, vipi upande wenu? Na je, wewe uliolewa hujanjunjana? Jamaa kasema huyo mchepuko anampango wa kuoa mke wa pili , shida iko wapi?
 
Hakika ndugu 99.99% tena matukio ya dharau. Ilinitokea 2016 nikatemana nae kwa shida sana....mpaka leo huwa ananikumbuka mana bado hajaolewa mimi nishaoa tayari
Siombi initokee, ila ikitokea nimeachana na mke...
Sitaoa mwanamke mwingine....

Nitajipanga kivingine, nifurahie sehemu ya maisha iliyobaki hapa duniani..

Mke wa kwanza ni mke wa kwanza tu...hawezi kufanana na mwanamke mwingine atakayefuata..
 
Japo iko km movie Fulani Ila isikutokee kwani inauma Sana na ktk makosa uasiyovumilika kwa ndoa ni hili ukisema uliache atakutesa Sana mbeleni vyema ukaamua leo wamekata viungo vya mwili na maisha yakaendelea iweje mke

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa km wanaume kuchepuka ni jadi, basi huyu mwanamke hana kosa lolote, maan kachepuka na mwamaume pia, hajachepuka na mwanamke mwenzie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhani utakua umeelewa pia.
Hata kama ni hivyo lakini sio achepuke na Mke wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…